Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Baada ya sifa nyingi nikaamua kulipia wasafi ili nione nini kipya Dah! Target yangu ilikua nianze na kipindi cha BIG SUNDAY LIVE.. nimesikitishwa sana kwa tv chanel inayosifiwa sana na vijana...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Habarini wakuu, nitakuwa hapa kuwaletea simulizi hii "Niacheni nikufuru" mpaka pale itakapoisha. Yote itaishia hapahapa Jukwaani. Kila siku nitakuwa naachia kipande kimoja kulingana na maelekezo...
4 Reactions
188 Replies
22K Views
Habari zenu wakuu naomba msaada wa beat ya wimbo huu wa y-tjukuta ulioimbwa na kikundi cha uhuru toka SA. Nimejaribu kuutafuta mtandao lakini sijafanikiwa, ntashukuru endapo nikiupata
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Waandishi wa filamu walikuwa na vionjo vyao katika maisha ya mateso ambayo mtazamaji anaweza jikuta anamwaga machozi wakati anaangalia filamu. Hali hii ilikuwepo hata Tanzania kipindi filamu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Movie hii inaitwa "Cannibal Holocaust" Itafute Ni movie yenye kutisha mno na matukio yake yakiwa kama yana ukweli ndani yake. Baada ya movie hii kutoka Director wa movie hii alikamatwa na...
2 Reactions
59 Replies
15K Views
Hizi chanell hapo chini nimeangalia video zao zote walizo upload 1.just4laugh gags Hawa ndiyo wa Kali wa zile prank dunia nzima hakuna Kama Hawa 2.Drew Binsky, Hii ni travel vlog huyu jamaa...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Unapozungumzia ulimwengu wa burudani basi industry ya filamu imetutendea haki sisi ambao ni movie goers. Hivyo basi kuna watu wamejaaliwa katika kuunda script za story hadi inatengenezwa movie...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari Wakuu za Wakati huu? Natumaini wazima wa Afya. Okey, Mimi bwana katika Wanamuziki ninaowakubali ana Mmoja wapo ni huyu Bwana Oliver Ng'oma, huyu jamaa tumuache tu, Nikiwa nipo home...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama unataka kuskiliza wimbo utakaokutoa stress either za kutemwa na pisi yako au kudaiwa kodi, ama ada ya shule ya mtoto tarehe 29 .. Basi tafuta huu wimbo. Ibrahnation -naamini. Thank me later...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasalam.... Huu mziki nimeanza ufuatilia kitambo sana na nimetokea kuukubali sana. Huwa nazielewa sana zile Booming Basses(808). Baadhi ya midundo ninayoikubali ni hii hapa. 1. Meek Mill -...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Paul Mwangosi (beaat na baadhi ya maneno japo kapiga Kiswahili Debora Lukalu
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Moja kati ya Tv Show tamu sana kwa wakati huu, jamaa wamecheza. The Oval pia nasikia iko sawa ila sijabahatika kuipakua. Yeyote mwenye utaalamu rahisi wa namna ya kupakua HD Series I mean it HD...
0 Reactions
3 Replies
991 Views
Wadau habarini za saa hii, kuna wimbo fulani nimekua nikiutafuta kwa muda mrefu YouTube bila mafanikio kutokana na kwamba sifahamu jina la wimbo huo ila naifahamu baadhi ya mashairi yake. Wimbo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Tukiachilia mbali mafanikio mwanamuziki pekee hasa katika hiphop ambae hajawai kuchuja ni Mr Blue. Huyu jamaa ni noma anajua anachofanya na ukijaribu kumshirikisha kakufunika mfano ule mwimbo...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
WCB napenda kama zote hivi ila chache za Lavalava. Queen Darleen zizijui kabisa nisiwe muongo. Usiende Mbali by Juliana Kanyomozi Posa ya Bolingo by Alicios Theluji Mpita Njia by Alicios na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kabla ya kujibu nakupa mda uingie youtube hakika ndugu ukiwa na stress ndugu ingia youtube uangalie tu utasuuzika mtima Karibuni dude hilo wazee
1 Reactions
49 Replies
9K Views
Kuna mistari inasema "Nimwage Wese,Unesenese Kwenye Rungu la komredi kipepepe" Wazee hapa jamaa alilenga maudhui gani? Nyimbo za siku izi bwana!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom