Wakuuu hawa jamaa wameachia nyimbo yao mpya inaitwa kaka tuchati aisee ni bonge moja la ubunifu wanastahili pongezi gusa link hapo chini ukaicheki
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mkali wa malovedavi kati miaka ya 2006/7 yu wapi make ngoma zake hadi leo hii ukizisikiliza bado ni za moto haswa japo hatumskii wala kumuona mitandaoni.
Je, ndio kusema Tip-top connection...
Hii ni tamthiliya ya kitanzania ikiwa na masuparstars kibao wa bongo movie inayooneshwa na DStv katika channel ya Maisha bongo ki ukweli ni nzur Sana kwenye hili na wasifia bongo movie na...
Leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa mwanamama Tshala Muana, mmoja kati ya wanamuziki nguli na nguzo muhimu kwa muziki wa rhumba barani Afrika. Jina lake halisi ni Elizabeth Tshala Amedeus...
Wakuu
Ni mdau wa hip hop na ninapata shida sana kwa kutokuwa nimesikiliza nyimbo za dr Unju, baba malcom, zohani, mzee wa kudisi Nikki mbishi tangu alipoiachia project yake ya Sam magoli...
Mwenye huu wimbo naomba anitumie naupenda Sana, hapa nimefanya kuunga vipande tu ili niupate wimbo kamili. Vipande vyenyewe nilirecodi kwenyeTBC siku ya muungano mwaka 2014 na 2015 walipiga...
Mademu wanene wazuri ..wanatamanisha moyoni.
Mwendo wao wakinguli ..wananikosha rohoni.
Wamefungasha Kama roli..nanyuma wamesheheni.
Watam Kama mtori..asie jua ni nan?
Ila kitandani wapo tuli...
SEHEMU YA KWANZA.......01
BASED ON SOMEONE’S TRUE STORY
(simulizi ya mtu yenye uhalisia ndani yake)
simu: 0684024387
na TUMAINI ERNEST STANSLAUS
June 1, 2019.
“Maskini Happy!!!!!, looh...
SHAIRI:NANI KAMA MAMA.
MTUNZI:MSANII JOTO LA MOTO.
Mama hutunza uhai, kiumbe kuwasilisha.
Tisa miezi tumboni, unayaanza maisha.
Bila mama hatujai, duniani tutakwisha.
Yupo nani kama Mama, katika...
Wasalam wakubwa.
Mimi ni mpenzi wa simulizi lakini nimekua napata uvivu kuziona katika jukwaa hili na kushindwa kugundua ni ipi stori maridhawa.
Naomba waliowah kusoma na zikawaacha mdomo wazi...
SIMULIZI FUPI: MWALIMU WA ZAMU
MTUNZI: XAVERY LUOGA *AUTHOR XAV*
Namba: 0672493994
==================================
*********
Simulizi hii ni mwanga kwa kuendeleza Imani ya kumwabudu mungu...
Wakuu salaam
Unajua nimekuwa nikijiuliza hivi ni nani aliyesema msanii ni kioo cha jamii? au kuna maana gani unaposema msanii ni kioo cha jamii? au ni wakati gani msanii anakuwa ni kioo cha...
MWANDISHI: ALLY AYUBU KATALAMBULA
GIZA nene na mvua kubwa iliyoambatana na upepo, haikumzuia wala kumpa rapsha kiumbe mmoja, mwanadamu, aliyekuwa amelala kifudifudi, ametulia tuli kwenye tawi la...
Hii ni kwa wale wapenzi wa Series movies.
Netflix wanakuja na series kali inayokwenda kwa jina la Queen Sono
-------------------------------
Queen Sono is a South African crime drama web...
Inapatikana kwenye Digital platform Zote
Karibu sapot wasanii wa Tanzania tasnia yetu isonge mbele..
Msanii kutoka Konde Gand "Ibrah" anakuja na EP yake - JamiiForums
Sent using Jamii Forums...
I hope everyone is fine..
Ngoja niende mmoja kwa mmoja kwenye mada.
Kuna wakati unakuwa katika hali fulani ngumu. Pengine katika maisha, mahusiano au situation zingine tu, halafu kwenye nyakati...
Linapokuja suala la kupenda aina muziki inashangaza kidogo. Kuna ambao ikipigwa reggae watatikisa kichwa we mpaka utahisi ni vichaa, wengine ikipigwa singeli ndio wanavua hadi chupi na kanga...
Unaweza kuta list ya movie 200 tatizo ikaja hujui movie hii itakupendeza nk.
Naku-recomand uangalie movie hizi kadhaa, unaweza enjoy kidogo.
1)TRIPLE FRONT
Hii inahusu washkaji walikuwa wazee wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.