Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Mambo vipi wakuu? Mara baada ya kupitia lile group letu la series kiukweli nimeona nihitimishe kwenye huu uzi wangu. Series nilizoangalia mpaka sasa na kuzipa nyota 5, ambazo pia nakushaur...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Siku hizi imekuwa kero kuzisikiliza baadhi ya nyimbo nyingi za muziki wa kizazi kipya hapa Tanzania kwani nyimbo hizi zimejaa mashairi yaliyobeba maudhui yenye matusi. Mbaya zaidi nyimbo hizi...
1 Reactions
49 Replies
8K Views
Habari za sasa wakuu.. Hivi nyimbo za hip hop ni lazima ziwe na punchlines Mimi kwa mtazamo wangu naona ni lazima kuwepo na hizo Punch lines. Ili zinoge na kuleta flavour halisi ya kihiphop...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ok
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Usipokua na hela, kupendwa usahau Mapenzi yatakukera, utaambulia dharau Kisa huna mshahara, mapenzi yanakuwa jau Ukiwa mzuri wa sura, hapo kidogo angalau Sie wenye sura kama chura, tuile tu pilau
4 Reactions
35 Replies
3K Views
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Collabo hizi za ndani ya Afrika kama zikitokea ni hatari saana....Ni muziki mzuri.. Diamond Platinumz ft Wizkid. Simi Ft Wizkid Vanesa mdee ft Burna Boy Alikiba ft Davido Patoranking ft...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habarini, Muumba aendelee kuwaepusha na korona! amina! Tumeshasikia sana na tunaendelea kusikia kuhusu 'dodo' huko mtaani na kuanza kulipwa kwa kodi kwa zile kaya maskini 500 huko tandale. hebu...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
TVE, mmekonga nyoyo za watazamaji! Na Mwl Sylvester, George Wambura Twitter @PGGeorgeJr Instagram @pg_georgejr +255716109169 georgesylvester35@yahoo.com Tukiwa bado katika sekeseke la ugonjwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kweli corona imekita, kudanganya haifai. Dunia yote walia, hata wenye utajiri. Wenzetu wanapambana, Siye bado hatujali. Pazuri pakipotea, tuje kumlaumu nani? Mlioshika madaraka, hivi...
2 Reactions
8 Replies
587 Views
baada ya kumpoteza lyrical and freestyle king ngwair,nmesikia mtu wa karibu anaeitwa mswaki akisema alikua anamsubir arud toka south watoe ngoma.Sasa nawahamasisha wasanii wa muziki aina zote...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Uzi huu kwa ajili ya kutaja character wa movie yoyote ile aliekuwa anafanya mauaji! Bila kosa lolote, yani yeye anamvizia mmoja mmoja anaua! Mimi naanza kuna Jason yeye movie zake ni za Friday...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Series zenye scene za mapenzi kama Spartacus, Banshee, Game of thrones na nyingine nyingi zenye mfanano na hizo ni series zilizobeba uhalisia kulinganishwa na zile nyingine ambazo hazina scene za...
2 Reactions
13 Replies
11K Views
Wapi nitapata free hii movie amecheza kira noir......Au mwenye nayo msaada please Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
22 Replies
14K Views
…Natumaini ni wazima wa afya. Habari zenu, ni vipindi gani vinakuvutia clouds fm pia tv, presenter gani bora pale mawingu. vitu gani wanavifanya mpaka redio kupendwa sana na vijana, redio zengine...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Guys hivi ni nyimbo gani kaliii za taratibu ambazo zinafaa kusikiliza hasa mida ya usiku..Ngoma laini zile zilizoimbwa kwa hisia kali. Mfano. Ed Sheeran_Thinking out loud Ed Sheeran_Perfect...
2 Reactions
40 Replies
17K Views
Tumeshazoea kuwaona wanamuziki mbali mbali wa Gospel wakimwimbia na kumtukuza Mungu, ila kwa mwanamama kutoka ireland , Enya Patricia Brennan aliyezaliwa mnamo 17 May 1961 , kwake ni tofauti...
4 Reactions
113 Replies
13K Views
Natumia smartphone naombeni namna ya kudownload series yangu with English subtitle anayejua atoe maelezo yakutosheleza please
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom