Kuna mfalme alijaliwa kupata mtoto wa kiume. Yule mtoto alikuwa na afya njema, sura ya kuvutia alivutia hata wageni waliofika kwa mfalme. Mfalme alimpenda yule mtoto kama roho yake.
Mtoto yule...
Habarini wakuu,
Nipo hapa namalizia movie ya contagion ase ,wakuu hii kitu asilimia 98. imeresemble hii hali tunayopitiaa
sasaa ya janga la coronaa
Wakuu naona wenzetu hukoo...wanatufikisia...
Ni takriban miaka zaidi ya 60 imepita tangu kupata uhuru. Nyerere, raisi wa kwanza alifanya juhudi kubwa kuuondoa ukabila na kuweka utaifa mbele. Kwa hili alifanikiwa Sana.
Katika kipindi hiki...
Ep Ina Ngoma 5 na Makorabo ya Kimataifa
Hapa Ep ya Zuchu Inaenda kufunikwa..
Baada ya Ramadhani Kings Music Nao watadondosha Ep toka kwa Wasanii wao..
Wcb tuliwaacha acha msikike kwa ushindani...
Binafsi toka Tz ipate Uhuru nyimbo nyingi sana nzuri nimezikubali ila kuna nyimbo nasema hakuna itakayotokea nikaipenda kama hiyo (toa suala la kuchuja), nazungumzia nyimbo pale imetoka ipo kwenye...
Kama hujaziona IP Man zote nne fanya kuzitafuta, Humu Don Yean anaonesha umuhimu wa hekima, busara na kupinga uonevu! Jamaa ni very simple guy with nice family, lakini upiganaji wake unaangusha...
MIKE MARTIN 1958-1996 (1)
ILIKUWA ni alfajiri yenye mawingu mazito angani. Kila mtu alijua mvua ingenyesha siku hiyo kwani dalili zote za mvua zilikuwepo angani. Waliokuwa wamelala walizidi...
RIWAYA; MTUHUMIWA
MTUNZI; HUSSEIN TUWA
SEHEMU YA KWANZA.
Daily News, Julai 12 (Imetafsiriwa):
Jambazi hatari linalojishughulisha na biashara ya madawa ya kulevya huko Marekani ya Kusini...
Kenya tumejinoa vikali kwenye muziki, wasanii kadhaa wa kadhaa wamejionyesha kuwa hao ndo mastaa wa Afrika Mashariki na ndo hawa:
1: Sautisol
2: Khaligraph Jones
3: Boondocks Gang
4: Otile Brown...
Wasafi, Media House iliyokosa ubunifu yakinifu!
Na Mwl Sylvester, George Wambura
Twitter @PGGeorgeJr Instagram @pg_georgejr
+255716109169
georgesylvester35@yahoo.com
Ukiiongelea Wafasi Media...
K’naan (KEINAN ABDI WARSAME) ni msanii kutoka CANADA na pia ni mzaliwa wa SOMALIA mjini Mogadishu. Watu wengi wanamtambua kwa nyimbo yake maarufu ya waving flag ambayo aliitunga kwaajili ya...
Mwandishi: Erick Shigongo
MIKE MARTIN 1958-1996
ILIKUWA ni alfajiri yenye mawingu mazito angani. Kila mtu alijua mvua ingenyesha siku hiyo kwani dalili zote za mvua zilikuwepo angani. Waliokuwa...
Ni lipi jina la nyimbo?
Raha
Nani anazungumziwa?
Mwanamme
Tabia gani amebebeshwa mwanamme (katika wimbo huu)?
Mwanamme amebebeshwa sifa mbili nzuri na mbaya kwanza amezungumziwa kama ni...
Completely, wanna give my love, completely
I'd rather be alone than be in love just half the way
I want to find someone that I can trust, completely
Wanna give my heart, completely
To someone...
Kwanza shikamoni wakubwa waliochini ya hapo habari zenu ndugu.
Kwa majina naitwa Aman Ibrahim mimi ni msanii na mwandishi pia wa nyimbo.
Kiukweli nina kipaji cha muziki japo naelewa kuwa wapo...
Kwa wale wanazi au wapenzi wa Drama kutoka pande za Korea Kusini nadhani mtakuwa mnafahamu kuhusu Joseon. Taifa lililokuwepo miaka ya 1300 - 1800 k.m.
Nimeandaa Drama kali 10 ambazo zinaelezea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.