Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Habari za mda wana jamvi, natumai mapambano dhidi ya mvamivi Corona yanaendelea tena kwa ufasaha mkubwa . Leo baada ya kuperuzi playlist yangu nimeibuka na ngoma ya mnyamwezi Breezy , inayoitwa...
2 Reactions
2 Replies
970 Views
Wadau hii channel ya Wasafi TV mbona haionekani kwasisi tunaotumia DStv now app, wakati king'amuzi kimeshalipiwa au wameshaitoa!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Twajaa utimamu wa uwazimu, bila dhima twamhukumu imamu Huzunini twajifanyia karamu, Ramadhani twabugia kharamu Wenye wehu tumewapa hatamu, dhiki yetu itadumu dawamu Maumivu yatujia kwa jamu...
0 Reactions
1 Replies
666 Views
Patricia Hillary nakukumbuka kwa wimbo huu. Hauchuji leo wala kesho ni classic sana Chakushangaza niliambiwa wimbo huu Patricia aliutunga akiwa Tukuyu Kiwira magereza kwa wanyakyusa huko Mbeya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Sean Paul ft Kelly Rowland - How Deep is your love 2. Rick Ross ft Drake & Chrissete Michelle - Aston Martin Music 3. Rihanna - Man Down 4. Chris Brown - Back to sleep 5. Kranium ft...
2 Reactions
7 Replies
822 Views
IMEANDIKWA NA : HUSSEIN ISSA TUWA ********************************************************************************* Simulizi : Bondia Sehemu Ya Kwanza (1) Lango kuu la gereza la Ukonga jijini...
2 Reactions
16 Replies
6K Views
Kwanza kabisa niwapongeze kwa kazi nzuri na jitihada mnazozifanya kuhakikisha ulimwengu wa burudani unakua kwa kiwango cha 5G. Studio zenu kiukweli ni studio kali ambazo nilishawai kuziona hapa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wadau, Napenda kuwapongeza Clouds TV - State of Arts - Kwisa kwa kuanzisha kipindi chenye mikasa ya kutisha ambayo ni ya kweli iliyowatokea watu. Episode ya kwanza ilikuwa jamaa(bodaboda)...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Devil kingdom ya Kanumba, nimejaribu kufekenyua u-tube hadi snaptube wapi. Mwenye link yake anisaidie
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Musiq Soulchild - Say I Do . Taylor Swift - Superstar . Michael Bolton - I Promise . Maroon5 ft Gwen Stephen - My Heart is Open . One Direction - Ready to Run . One Direction - Story of My Life...
2 Reactions
5 Replies
822 Views
Leo katika pekua pekua kwenye kumbukumbu zangu, nikakutana na karatasi, nilikua nimeandika majina ya wanamuziki ambao nikua na kanda zao, (Tap) Nikaona ni share na member wenzangu hapa, nadhani...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika series nilizoangalia na kuinjoy hii inaingia katika list ikiongozwa na baba la series PRISON BREAK. Kwenye character wa hii series niliyemkubali ni mtu mzima DENVER hasa lile cheko lake...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Mimi nitaangalia movie categories zote ila category ya Science Fiction (Sci-Fi) inanipa tabu sana kuangalia movie zake. Nilianza kuangalia movie za Sci-Fi za Spider-Man, miaka hiyo Spider-Man ni...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
FUMBO (01) PUA za Leila ziliipokea harufu ya manukato iliyopozwa na kiyoyozi, mara baada ya kufungua mlango na kuingia ofisini. Chini, sakafu ilifichwa na zulia la sufi. Juu, taa zenye rangi...
4 Reactions
10 Replies
5K Views
SEHEMU YA 1 Sitausahau mwaka 1978. Nina sababu tatu za kutousahau mwaka huo. Sababu ya kwanza ni kuwa kulitokea vita vya Kagera. Majeshi ya Iddi Amin aliyekuwa Rais wa Uganda yalivamia nchi yetu...
18 Reactions
161 Replies
138K Views
Hili swala huwa linanisumbua sana, hivi bongo movie walikosea wapi mpaka hawa wakorea wameteka soko. Kuanzia Nyumbani, kwenye usafiri, vibanda umiza kote ni Korean drama. Popote kwenye Tv na deki...
2 Reactions
38 Replies
9K Views
Wizkid ft Chris Brown__African Bad Gyal. Wizkid ft Drake_Come Closer. Wizkid ft Ty Dolla Sign__One For Me. Wizkid Ft Ty Dolla Sign__Dirt Wine Wizkid ft Major Lazer__Naughty Ride Wizkid ft...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
" Sasa hivi kumbi na baa zimefungwa hatupigi muziki kwa sababu ya Corona, nimewasaidia kuwalipa mshahara wanamuziki wangu kwa mwezi mmoja na mimi nimeishiwa nina wasanii zaidi ya 40, wengine...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika kibao chake kiitwacho Baba Lao, nyota wa muziki anayepeperusha vyema bendera ya Tanzania Diamond Platnumz ameimba maneno haya katika moja ya verses kwenye wimbo huo "Eeeh! Tumewachapa...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimewawekea video hapa chin, toa maoni yako, inapendeza wagonjwa wana afya nzuri kabisa.. [emoji116][emoji116][emoji116] Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Back
Top Bottom