Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Naangalia hapa wasafi TV muda huu naona wana fanya kipindi kama vile vya East Africa tv. Wame copy kipindi cha kali za kale cha Eatv kinachopiga au kuwaleta kina Dula na muunganiko wa East...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Nipo naangalia Clouds Tv hapa wameweka moja ya show ya Chris Brown... Hatofautiani sana na anavofanyaga msanii wetu pendwa Diamond Platnumz... Zile tuimbe wote kama kawa, sauti out of normal...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama ni mpenzi wa Novel za James Hadley Chase Gonga hapa Ku-download
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Poleni na majukumu ndugu zangu. Ebu tuongee kidogo kati ya Drake na Kendrick Lamar nani zaidi kwenye Hip Hop. Napata taabu sana kujua nani zaidi?
1 Reactions
17 Replies
3K Views
1. Michael Jackson- Billie Jean 2. Neyo- When you're mad 3. Bruno Mars ft Damian Marley- Liquor Store Blue 4. Justin Timberlake- Mirrors 5. Kendrick Lamar ft SZA- All the Stars 6. Papa...
4 Reactions
82 Replies
6K Views
1. Corona ya Rayvany 2. Corona ya beka flavour 3. Corona ya Lava Lava 4. Corona ya Dogo Silla 5. Corona ya Mzee wa Bwax 6... 7.... 8.... Binafsi nimeilewa ya lava lava, ina melody kali mno sema...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
"Son, I've made a life Out of readin' people's faces Knowin' what the cards were By the way they held their eyes So if you don't mind me sayin' I can see you're out of aces For a taste of your...
2 Reactions
3 Replies
884 Views
Nilipata kuandika .... LIVERPOOL NA LAANA YA UBINGWA WA EPL NA NIHZRATH NTANI JNR. Ni Jumamosi moja jioni. Naam! ni jioni ile ya Jumamosi ya April 28, 1990. Historia ninayoizungumzia hivi...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Mbosso anaendelea kumkimbiza msanii Harmonize huko YouTube. Mmakonde naona anaprove kwamba nje ya Wasafi yeye bado ni msanii wa kawaida tu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
2K Views
RIWAYA: CODE X 3: THE REAL ME 1 MTUNZI: Tariq Haji SEHEMU YA 1 "Niko wapi, niko mbinguni au" aliongea Alex baada kufumbua macho kutoka katka usingizi wa kifo, "tulia kijana, utafikaje mbinguni...
10 Reactions
110 Replies
17K Views
MWANZO Naitwa Ibrahim Amour. Ni mwenyeji wa Morogoro. Nilisoma morogoro hadi kidato cha sita. Nikafanikiwa kuingia chuo kikuu cha Mlimani jijini Dar es Salaam. Nilipohitimu elimu ya chuo kikuu na...
11 Reactions
99 Replies
25K Views
Hawa wakali wawili kutoka Nigeria muziki wao unasound tofauti kidogo ila bado nawaweka kwenye aina ya muziki inayoendana, wote wana hits kibao. Je yupi ngoma zake zinakukonga zaidi? ****BURNA...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Nipo ndani ya pango, nakungoja mwenye Upendo, Unipe Nuru, unitoe humu ndani... Sina maelezo, nimeishiwa uwezo, nakuomba uliye juu unitoe mi gizani... Nikiwaza Je, itakuwaje maisha yangu ? nachoka...
2 Reactions
1 Replies
865 Views
Angelina Jolie has given a wealth of interviews during her Maleficent: Mistress of Evil press tour where she has discussed motherhood, her kids, and her broadening sense of identity now that...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Waliobahatika kuiona hii movie vipi ni movie Kali?niambieni kabisa maana bundle langu mwenyewe ni la burget
0 Reactions
2 Replies
935 Views
Badala ya Kujenga mlibomoa HAMJAFANIKIWA! Mmewabania sana Wazaramo toka enzi ya mnanda hadi sasa ni Singeli. Hadi RPC aliwahi piga marufuku ngoma zetu, haya sasa ALICIA KEYS Katukubali. KIMBIA...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
dah hii sanaa sio Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
🎵🎤🎤🎤📻📼🎧🎤🎤🎤🎤🎵 Naanza kuwaza/Ujinga wa hawa mafaza.🎶 Sisi ni wa afya bora/wao wa isiyo imara Tupo mbali sana/wao nyuma kinoma Tutatoa misaada/ikitokea kwao maafa🎼🎵 Wako gizani/nuru hawana...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom