Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
MUANDISHI: Dawa yenu STORY: BURIANI SALIMA Mapenzi ni kama ushairi, ushairi wa huba wenye beti murua zilizosukwa kiustadi na kupangiliwa kwa urari wa vina na mizani. Mapenzi ni zaidi ya bustani...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi ,matumaini yangu muwazima wa afya .Kutokana na janga ya Corona lililopelekea kufungwa kwa shule kwa siku 30 , nimeingiwa na mawazo mengi sana na hatimaye nikaamua tu...
1 Reactions
4 Replies
595 Views
Diamond platnumz ameonyesha nijinsi gani tunapaswa kusapot mziki wa Tanzania Tuache u timu Mara timu mwijaku Mara timu mondi Mara timu wema Mara timu harmo Mara timu kiba Amempost kijana kitu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa wapenzi wa vitabu vya Ben Mtobwa, kwa mara nyingine napenda kuchukua fursa hii kuvitangaza vitabu vya marehemu Ben Mtobwa kwamba sasa vinapatika hapa jijini Dar es salaam, maeneo ya Posta...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Kinga ni bora kuliko tiba Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
10. Runtown – Mad Over You (Nigeria) 92M views. 9. P-Square – Personally (Nigeria) 92M views. 8. Tekno – Pana (Nigeria) 106M views. 7. Yemi Alade – Johnny (Nigeria) 107M views. 6. Davido –...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
By Sangu Joseph March 14, 2020 tulishuhudia Mkali Konde Boy, Tembo, Mmachinga wa zamani Harmonize akiweka historia ya kuzindua Albamu kibabe ya AfroEast na haya ni maoni yangu. Kiukweli tangu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
By Sangu J . Katika maisha yangu ya Kitaaluma nimekuwa nikijiuliza sana nani anastahili heshima kwa mwenzake kati ya Msanii na Mtangazaji ni swali ambalo leo nadhani nimelipatia majibu. . Ni mara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, Tuache unafiki tufike mbinguni. Usiku wa kuamkia leo ulikuwa mwanana, na nimefurahishwa na namna Harmonize alichokifanya. Full show was live, na jinsi alivyocheza na stage was stunning...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Waandaaji wa Tamthilia ya HUBA inayoonyeshwa DSTV, mmeanza kuunga unga na kuongeza watu wasio na umuhimu wowote mpaka mmeanza kutuudhi wafuatiliaji. Kwa mfano suala la Uchawi wa kuwatoa kina...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Watu Wanaopenda muziki wa dansi na Wanakwenda kuhudhuria maonyesho Wanajua Namaanisha nini Nikisema una vibe la kutosha na radha ya pekee Tembelea maonyesho ya Twanga pepeta chini ya Raisi Kalala...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Amenikabidhi sumu mke uku mnaona alopewa aniheshimu riziki yake ni pana kuipana kwake ni vigumu mtahangaika sana
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari wadau wa JF, Huwa navutiwa sana na style aliyokuwa anatumia Inspector zamani ya kurudia neno moja kwa kutumia majina tofauti lakini yana maanisha kitu hiko hiko. Baadhi ya nyimbo...
4 Reactions
8 Replies
4K Views
Salaam wana jukwaa. Moja kwa moja kwenye hoja. Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya nimegundua kuwa Dully Sykes ndie msanii anaeongoza kwa kushirikishwa sana kwenye nyimbo za Bongo flavour. Music...
1 Reactions
42 Replies
9K Views
Lyrics: My Darling Si uniambie Una mawazo gani Nielezee ni kwa nini Kuwa na amani Haya mambo yameanzia mbali Yapo hapa tangu zamani Kabla hatujazaliwa We na mimi Yapo ambayo umeshayafanya Na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Juzi kwenye tuzo za Malkia wa Nguvu alipanda kuperfom mwanamuziki Ruby, aisee nilikuwa nasikiaga kuwa Ruby ni balaa sana kuperfom live ndio nikaamini juzi. Anasauti moja matata sana huwezi...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Leo nimeingia YouTube niangalie nin kinatrend Bongo, nikakuta wimbo wa Rayvanny unaitwa Ex Boyfriend, bonge moja la pini. Huyu mwamba nimempigia saluti anaimba vitu real sana na very romantic kwa...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
SIMULIZI FUPI _ SOMA KISHA JIFUNZE_ Mungu wangu, Mungu wangu mbona umeniacha, kwanini umeruhusu Dunia iniadhibu kiasi hiki. Baba wa mbinguni sina...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau inajulikana kwamba idadi ya vidole mkononi au miguuni ni 10 yaani kila mkono au mguu ni vidole vitano Ila wapo wanaozaliwa na vidole zaidi ya 10 miguuni au mikononi Sasa tuangalie watu 10...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Back
Top Bottom