Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Katika watangazi wa vipindi vya Kijamii vya mchana vya aina anayo endesha huyu biMAMA. huyu dada ni mpiga kelele kama alivyo MC PILIPILI kwenye Comedy. Katika list yangu ya ubora wa hawa...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Katika radio station zilizokuja juu kwa fujo ndani ya muda mfupi kupata wasikilizaji wengi ni wasafi fm. Hii ni kutokana na kupiga miziki mizuri na kipindi cha sports arena. Baada ya kupendwa...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Mtunzi Bishop Hiluka 0685 666964 DONDOO Laiti ningejua kuwa alikuwa na siri nzito namna ile aliyokuwa kaihifadhi kifuani kwake, nisingefanya upuuzi. Ona...
19 Reactions
193 Replies
27K Views
Hivinajiuliza hawa wasafi wameshindwa kuwa creative? Mbna kila kipindi au mradi wanakopi? Kuanzia kivumbi cup-ndondo cup Block 89-fnl Wasafi festival-fiesta Superwoman-malkia wa nguvu Sports...
2 Reactions
3 Replies
943 Views
Bongo hapa tunawasanii wengi sana wanaofanya vizuri nje na ndani ya Bongo. Pamoja na mazuri yao wasanii hao wengi wao huwa na Gambia za ajabu ajabu sana. Mfano kila msanii na yake. 1. NIKKI...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hii imekaaje kama Wilder atafanikiwa kuwa mwanafunzi wa Floyd Mayweather? screpa
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Buza! Buza! Buza! ni nini wamewakosea wakazi wanaoishi nyuma ya Airport ya Kimataifa? Kwa mashairi haya msanii huyu kadhalilisha sana wakazi wa Buza maana yeye ni msanii maarufu na ni kioo cha...
6 Reactions
72 Replies
11K Views
Natafuta sana hii slow motion ya na nani kama tafadhali alioimba Christian Bella nadhani hii aliomba mwenyewe.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
RIWAYA: Jestina MTUNZI: Tariq H. Haji MAWASILIANO: 0624065911 SEHEMU YA 1 KWA MWENYE UHITAJI WA RIWAYA HII, INAPATIKA KWA SHILINGI 2500 YOTE. WASILIANA NA TARIQ KWA NAMBA HIZO HAPO JUU...
4 Reactions
35 Replies
8K Views
Hii show ya Mopao kila kitu kinapigwa live kwa Kweli inadurahisha , wasanii wetu wanabidi wajifunze
1 Reactions
1 Replies
682 Views
Kwa wote waliokuwa wanautafuta wimbo wa "Farida - oh pesa" sasa umepatikana. Kazi kwenu. Deadbody, STUNTER, Shark
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Huyu mutu ya Kongo, naona kama anataka isimamisha nchi kwa muda kidogo hasa kwenye burudani ya mziki wa dance, sasa hivi kila upitapo utasikikia papa mobimba yeee papa mobimba yeeee, Mara papa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Yaani tokea Harmonize ameachana nao wanajaribu njia zote kumzima kwa sababu wanajua akipenya tu ndiyo utakua mwisho wao. Harmonize alitoa nyimbo ya singeli wakaona umepenya sana. Wakamchukua...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Meghan ameamua kuvaa gauni la blue bahari lilitengenezwa na kampuni ya mitindo ya Victoria Beckham gharama za gauni ni £950. Hii ilikua hatua yake ya kumaliza ugomvi wake na Victoria. David na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, natumaini mko poa. Kuna muvi nimeiona inaitwa IN THE TALL GRASSES ila imenichanganya sana tena sana. Haya ni baadhi ya mambo yaliyonichanganya i)Je, yule mdada mwenye mimba...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Hivi wenzangu nauliza. Huwa mnawaelewaga hawa watu kweli? Mbona sisi tupo karne ya 21 wao bado wapo karne ya 18? Huwa mnacheka kweli mkiwaona hawa watu? Hivi yule BABU MKOMBE yupo wapi?
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Sehemu ya 01 Mtunzi Ally Katalambula Waswahili wanasema uchungu wa mwana aujuaye mzazi lakini kwa mama yetu ilikuwa kinyume. Sikuamini mama yetu mzazi kuwa chanzo cha matatizo ya familia yetu...
14 Reactions
281 Replies
67K Views
Kuna nyimbo mpya unavyoanza jamaa anaimba “She call me in my phone atakuja geto...” Mbele anakuja kuimba mwanadada Anayeijua iyo nyimbo anitajie Portfolio | 2020
1 Reactions
15 Replies
2K Views
file attached
1 Reactions
48 Replies
48K Views
JUMBA LA WACHAWI Mwandishi/mtunzi; Zulfa Huseni SEHEMU YA 1 UTANGULIZI; Gari lilikuwa likiendeshwa kwa kasi mno, ni kwenye barabara ya Alhasan mwinyi, ni gari dogo aina ya Hyundai ya rangi ya...
9 Reactions
93 Replies
27K Views
Back
Top Bottom