HAPPY AT LAST (FURAHA HATIMAYE)
Eric Shigongo
“Umeolewa?”
“Ndio!”
“Mume wako yuko wapi?”
“Dar es Salaam!”
“Sijawahi kumwona hata mara moja akija hapa hospitali!”
“Ana kazi nyingi sana ofisini...
"JENEZA LA AJABU
Mtunzi; HAKIKA JONATHAN
Whatsup; 0629905923
***SEHEMU YA 01****
Ikulu kwa mfalme ;
"Siwezi kufa kirahisi namna hii, dunia tamu bwanaaa
weeeh, mali zangu hizi nitamuachia nani...
MAJIRA ya jioni nikielekea nyumbani, macho yangu yaligota kwenye wallet iliyodondoshwa njiani. Niliiokota na kuifungua ndan ili kuona kama kuna vitambulisho vitakavyowezesha kupata namba za...
Huyu msimuliaji wa matukio katika hiki kipindi licha ya kusimulia na kuyapanga matukio vizuri na kwa ustadi mkubwa, ila anazidisha mno chumvi.
Hebu tafuta simulizi zake kuhusu Bruce Lee halafu...
Sehemu ya kwanza
ILIKUWA ni majira ya saa nane na dakika kumi usiku. Mitaani, kulikuwa na giza la kutisha. Hali ya hewa ilikuwa ya baridi sana katika jiji la Birmingham nchini Uingereza.
Ni saa...
Simulizi:John ze Mwizi
Na: Humph Isack
Whatsapp: 0742817066
Sehemu ya Kwanza
Koooooh!! koooh!! koooh!!" ilikuwa ni sauti ya babuyake john akikohoa kwa nguvu wakati amejilazakitandani,kikohozi...
SIMULIZI HII IMEKAMILIKA
IMEANDIKWA NA : MAUNDU MWINGIZI
CHANZO : BURE SERIES
SEHEMU YA KWANZA
“Naitwa Hunudu, ni shefa mkuu katika Dini hii tukufu ya WAUFI, Dini hii inaongozwa na Wafalme wa...
SIMULIZI: EQUATORIAL FOREST (msitu wa
Equatorial)
MTUNZI: AISHA KHAN
SEHEMU YA 01
UTANGULIZI: kwa Jina naitwa Najma Abdallah, Nina
umri wa miaka 22 na soma university mwaka wa
pili sasa, wazazi...
WAHUSIKA, SEHEMU, MAJINA NA MATUKIO YALIYO KWENYE RIWAYA HII NI KAZI YA SANAA NA SIO HALISI. UFANANI WA AINA YOYOTE NA MAMBO HALISI NI NASIBU.
____________
1
Kwenye Jumamosi tulivu; mawingu...
"Fanya kama ulivyoambiwa" Alisema mtu yule,mrefu mweusi na mwenye mapana!
Niligeuka nyuma na kumtazama mke wangu,alikaa pale.. kiti cha mbao,mikono nyuma,kamba miguuni,kamba tumboni na kitambaa...
SEHEMU YA 01:
Nilichozoea kusikia ni kwamba kuna majini wanawake wanaojigeuza binadamu na kuwatongoza wanaume.
Wengi wa majini hao hutaka kuishi na binadamu kama mke na mume, jambo ambalo...
Imeandikwa na Hamisi Kibari wa gazeti la HabariLeo
“HUYU ndiye Edi Ganzel uliyekuwa ukimuuliza sana,” aliniambia Mzee Barnabas Maro, akinitambulisha kwa mmoja wa watunzi mahiri wa riwaya kuwahi...
Kila napoona biti ipo uchi naikonyeza,
mizuka ikpanda smetimes naibusu naichombeza,
sisubiri gesti hata chocho naibonyeza,
verse kali naulza ukivaaje unapendeza,
Ni vita ila kama hujui usiwake...
CHAPTER 1
ILIKUWA ni asubuhi tulivu, anga lilifunikwa na mawingu mepesi baada ya wiki nzima ya mvua za vuli . Angalau sasa wakazi wa mji waliweza kutoka majumbani mwao kwenda makazini na maeneo...
SIMULIZI YA MAISHA: USILIE NADIA.
MTUNZI: GEORGE IRON MOSENYA
SIMU: 0655 727325 na 0757727324
SEHEMU YA KWANZA
Mwendo wa kutoka nyumba ya kulala wageni tuliyolala usiku uliopita haukuwa mkubwa...
Habari mambo naitwa Mr Equator Nimeandika ujumbe huu kuku omba swala moja tu!
Mimi nimetengeza website ya ku share story ambayo ni http://www.equatorstory.com/
Je umekuwa ukipata tabu kupost story...
Ni wimbo aliouachia akiwa na Tanasha Donna, ndani ya saa14 umefikisha view 1M
Huku na huku nilijua diamond ameenda kuangukia pua rakini ukweli ni kwamba kijana bado anakimbiza anazidi kuvunja...
Mwimbaji mshindi wa Grammy 4, Erykah Badu (48) ameachia bidhaa za manukato yenye harufu ya Uke wake na ndani ya dakika 19 tu yameweza kumalizika sokoni.
Manukato hayo yaitwayo "Badu's P**sy"...
Kiukwel kwenye filamu za kizungu sijaona mtu anayetisha Kama Scott Adkins kwenye mapigano.Huyu jamaa namkubali ile mbaya, ukitaka kumjua vizuri mwangalie kwenye avengement, incident man.Ninja...
Muziki una mchango mkubwa kwenye ukuaji wa uchumi nchini Marekani, kwani umechangia kuingiza kiasi cha (USD 143 Billion) sawa na TZS. Trilioni 309.5 kwenye pato la taifa kwa mwaka 2019.
Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.