SWAHILI UNIVERSE INAKULETEA FILAMU ZA BONGO KILASIKU
SAPOTI FILAMU ZETU KWA KUSUBSCRIBE LINK HII: Swahili Universe - Latest Bongo Movies USIPITWE
Hii ni channel yako namba 1 kukuletea visa na...
Habari viongozi,
Jana nimetoka kumsikia mtoto aliyezaliwa kwenye miaka ya 2004 (15) akiimba wimbo wa Kilimanjaro Band uitwao Boko.
Sasa najiuliza hawa vijana, wanawezaje kuimba nyimbo ambazo...
Hivi wasanii au mtu anapoweka video yake Youtube analipwa Shilingi ngapi za Kitanzania? Kinachoongeza kipato ni namba ya views, downloads au na urefu wa wimbo pia?
Kwa mfano video ya dakika 4...
wadau naomba tutoe maoni yetu kuhusu nani mkali zaidi ya mwenzake kati ya magwiji hawa wawili wa reggae, alfa blondy na lucky dube.
baadhi ya nyimbo za alfa blondy
1. jerusalem
2. masada
3...
Kwa wale wa nyimbo za country tukutane hapa, liwe jukwaa la kushirikishana mambo mbali mbali yahusuyo Music huu ikiwa ni pamoja na kushare nyimbo zenyewe wale wenye hisia za aina hii...
Wengi wanauchukulia mziki wa hiphop kama mziki wa wahuni ila ni moja kati ya miziki yenye facts nyingi compared to other kinds of music. Wasanii wengi wa hiphop wana IQ kubwa. Kusikiliza hiphop ni...
Wakuu heshima yenu,
Nowdays kumekuwa na tabia kubwa sana ya wasanii wa kileo wa Bongoflavour nyimbo zao nyingi wanazotoa ni sex song na sio love songs,nyimbo nyingi zinazungumzia jinsi ya kufanya...
Wapendwa habarini za jioni/usiku.
Naombeni msaad wa namna ya kuipata muvi ya san andreas ya tetemeko la ardhi iliyokuwa inamhusisha dada aliyeanguka kwenye bonde la san fernando california then...
Habari ya muda huu ndugu, jamaa na marafiki.
Naomba msaada kama kuna mtu ana wimbo tajwa hapo juu wa Drake.
Nmejaribu kuutafuta YouTube lakini nimekutana na cover tupu.
Shukurani
Sent using...
Unaikumbuka movie maarufu ya Kihindi inayohusisha kijana masikini mwenye akili sana aliyetekwa na familia maarufu ya kitajiri kusoma kwa niaba ya kijana wao?
Ndio, ile movie maarufu sana ya...
Kucompare watu maarufu si kitu kibaya, mara nyingi ni kuangalia mazuri na kuyaendeleza na yale mapungufu kuyarekebisha.
Kwenye suala la hadithi(riwaya) za magazetini, mimi nilijitahidi sana...
Kuna movie niliangalia miaka kidogo imepita ila jina siikumbuki, naomba nisimulie kidogo story kisha kwa atakaeweza ifahamu naomba anisaidie kukumbuka jina la movie.
Story inaanza (ntasimulia...
Habari wakuu,
Katika miaka ya 2015, nimekuwa nikifuatilia Series moja inayokwenda kwa jina la FRINGE.
Ni season kali sana ambayo sijawahi kuona tena kwa upande wa Series za kisayansi.
Hii ni...
Napendelea sana kuangalia movie na series za commedy na baadhi ya series commedy nashauri wapenda commedy wenzangu waziangalie (hapa nitataja kumi bora tu)
1. Friends
2. Seinfeld
3. The Big Bang...
Jamani kuna wimbo wa bongo flava unakipande kinaimbwa "hivi ni nini kimefanya unipendeee, unazidi kunipa mawenge" nimeutafuta bila mafanikio. Msaada plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Nduguzanguni naombeni horror movie (movie yakutisha) ya kizungu yenye maudhui kama Final Destination.
Sitaki iwe na maudhui ya zombie, vampire au kishetani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.