Bondia asiyepigika Floyd Mayweather ametangaza niya yake ya kupambana na Khabib pamoja na Conor McGregor kwa siku moja ambapo amepanga kuanza kumtandika Khabibu mchana kisha kummaliza kabisa Conor...
Wadau wa JF naomba nipate official website ambayo ntaweza kudownload movie ya CHALTE CHALTE 2003. mana nikijaribu kuutafuta napata triler. Naomba msaada kupata web official ya movie ya chalte...
Kwenye ule wimbo wa baddest 47, unaoimbwa hivi, sijui nikagongee nyagi au nikagongee veve,, sijui nikagongee banana au nikagongee yokozuna, anaejua maana ya kihuni ya yokozuna ni nn atuambie...
Nimekuwa muhanga wa kudownload series mzigo mzima halafu mwisho wa siku najilaumu baada ya kuona nilikosea kuchagua!Mara nyingi huwa nasoma tu short story ya series,itakayonipendeza naichukua...
Wapenzi wa series iliyovuma kipindi cha 2016-17 Homeland na mwana Dada Kerry Matson imerudi upya na kwakishindo kikubwa Soul Katekwa na talebani itafute.
Utangulizi:
Pengine umejaribu kuangalia series ya Game of Thrones lakini umeshindwa kuielewa kwa sababu mbalimbali.
Hapa nakupa utangulizi wa baadhi ya mambo yaliyotokea katika dunia hii ya...
Only lengendary understand this seasons
Ipi ilikukoshaa na hasa tukio gani huwezi lisahau.
Changia tuone picha itabaki kuwa ni dhahabu.
Only Lengendary wanazielewa hizo picha
Naanza GOT John...
Habari zenu wakuuu...!!!ni hivi nilikuwa na shida moviee yeyote ya kibongo ambayo ni nzuri nicheki mda huu nimemiss movie za kibongo kwaiyo kama,
Kuna yeyote anayejua jina la bongo movie nzuri...
Yani nipo sehemu napata upepo mara unapigwa wimbo wa Juma Kakere. Kama ni mfuatiliaji wa muziki wa dance utaujua. Sasa ni wimbo mtamu sana, tena wa siku nyingi. Najiuliza, kilichomfanya kuimba...
TAHADHARI!! Kama huna kichwa cha kuelewa na kuchambua mistari ya hiphop bora upite kushoto, hutakaa waelewa Fid Q na Joh milele.
Asee nimesikiliza hii nyimbo zaidi ya mara 3 yani alivyozungumza...
Yani kuna ngoma kibao zimewekwa ndani WCB, lengo lao kutaka tu kupinzana na Konde Boy.
Eti Rayvany Mr Nyegezi katoa ngoma 5 bada ya jeshi kutoa. Sasa Diamond anasubiri siku tu Harmo akitoa ngoma...
Jina la Kamili: Seydou Koné
Jina la kisanii: Alpha Blondy
Nchi: Ivory Coast
Alizaliwa :1 Januari 1953 ( miaka 62 kwasasa) Dimbokoro, Ivory Coast
Aina ya muziki : Raggae
Kazi yake : Muimbaji...
wadau huu uzi maalumu kwa wapenzi wote wa nyimbo za mwambao za kuanzia mwaka 2000 kurudi nyuma hadi 1918 nimemkumbuka sana asu misambano,bi shakila,bi malika,mushrooms wazee wa embe dodo, , ...
Spac Dawg ndiye msanii anayefanya Kiswahili cha Arusha kiwe na maneno ambayo yanatumiwa Zaidi na watu wa kule. Maneno kama ‘Mafekeche’ ‘Fasi ya dwasi’, ‘Fyade’ ‘Yechu!Yechu!’ nk ni maneno ambayo...
Mimi najiuliza kuhusu hivi vipindi na umuhimu wake kwa jamii.
Jamani watangazaji wanajinogesha kama wako kitandani duh!havichochei ngono kweli?Mambo yanayoongelewa ni vichocheo tosha.
Nani...
Hakuna kitu kibaya sana humu duniani kama shida
Haichagui mtu, siku wala mwaka
Haina katu taarifa shida huingia shida bila hodi
Si mtoto wala mkubwa wote shida
Kila siku shida shida haiishi mpaka...
Wana jamvi habarini za majukumu,
Kwa wale tuliotekwa na kuangalia tamthiliya pendwa ya Wounded Love inayoonyeshwa na Azam Two, sasa ipo ukingoni.
Ni muigizaji na tukio lipi lilikuvutia katika...
Wale wapenzi wa twanga pepeta,akudo impact na fm academia nyimbo zao kuanzia 2002 mpaka 2012 tukumbushane enzi
Mimi nakumbuka
Mtu na pesa zake-twanga pepeta
Password- password ya maisha yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.