Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Jamani nimesikia series ya Money heist ni nzuri sana lakini Me kwa kweli wanavyoongea kiispania nimeshindwa kuifatilia.. Je kuna Episodes zake ambazo wanaongea Kingerezaa???? Yani zimetafsiriwa...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
kazi na muziki. namcheki tu boss wangu alivyonuna mi nakula ngoma. na kazi zinaenda yan full kuipa faida kampuni. anaoujua huu wimbo atuambie kisa chake maana si kwa utamu huu si uimbaji si midundo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
[Verse 1] See the way you love me See the way you care for me You carry my matter for your head oh All: Ine me Obi nasom Like a little baby You watch over me You no deh carry me de play ooo All...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu naimani my wazima. Nilikuwa naomba mwenye link ya video ya nyimbo hiyo hapo juu, maana nimehangaika kuitafuta mitandaoni na YouTube zipo fupifupi na Mimi nilikuwa naitaka ile ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu natumai mu wazima wa afya. Ombi langu kama hapo juu ni kwamba nilikuwa naulizia mahali ninapoweza kupata duka liuzwalo vitabu vya fasihi za kiswahili hasa za kipindi hicho maana...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
The eye-watering sum was distributed through the Douglas Foundation, which aims to “help those who cannot otherwise help themselves” Kirk Douglas left his entire fortune to charity - with not a...
2 Reactions
5 Replies
758 Views
Hatimaye zimebaki siku chache tuweze kushuhudia mpambano wa marudiano kati ya Deontay Wilder (Bronze Bomber) na Tyson Furry (Gypsy King). Katika pambano lao la kwanza lililofanyika mwaka 2018 Dec...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ghetto, ghetto Ghetto, ghetto livin' These streets remind me of quicksand (quicksand) When you're on it, you'll keep goin' down (goin' down) And there's no one to hold on to And there's no one to...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Filamu zozote mpya/nzuri za muigizaji DENZEL WASHINGTON....Any recommendations?
2 Reactions
47 Replies
6K Views
It Knows Me I seek the water I seek the trees I seek the heavens But I'm brought down my knees Yeah I know anger I know peace Yeah I know darkness And it knows me It knows me I felt the fire...
3 Reactions
0 Replies
391 Views
Mimi ni mwanamziki,Nimewaza sana mtu ambae naweza fanya nae collabo nikagundua huyu mwana mama Anaweza Kusimama vzr kwenye Chorus yangu , Tatizo nimejaribu kumtafuta kwa namna yoyote ile ila...
1 Reactions
1 Replies
840 Views
Msikilize kijana anakuja na styles za akina Roma Mkatoliki.. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
517 Views
Natafuta muvie ya Sarafina ila ambayo ni ndefu( Extended). Maana hii ya sasa ni tofauti na niliyokuwa naangalia miaka ya 90. Iwe na kile kipande wanachoimba kanisani, pia kuna kile kipande jamaa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwanza naomba ni declare sina ubaya na huu wimbo wao wa #Gere bali najaribu kutoa maoni tuu ili kuboresha tasnia hii ya music. Inasikitisha sana wimbo wenye jina la kimwambao(Gere) kuwa na vionjo...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Hii inawahusu wale wanao fuatilia mziki wa rapp Kenya kuna rapper maarufu kabisa kwa jina la Khaligraph Jones. Lakin nimekuja kujua kuna Group flan lipo Kenya hawa jamaa wana jiita AFROCENTRIC ...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo nilikuwa nasikiliza wimbo wa Bongo Dar es Salaam wa Prof. Jay nikiwa nahusisha na hali ilivyo sasa na ilivyokuwa kipindi huu wimbo umetoka, I think ni early 2000's; vingi vinavyotajwa kwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I can do what I want, I'm in complete control That's what I tell myself I got a mind of my own, I'll be alright alone Don't need anybody else! I give myself a good talking to No more being a fool...
2 Reactions
5 Replies
799 Views
Wadau nataka ni download movie ya kihindi inaitwa chalte chalte 2003. Nimeshindwa kuipata, nimeambulia triler tu. Wadau Naomba msaada wa kujua ni website gani nitapata kudownload full movie ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna ngona moja hiv nasikia Sana mtaani na moja Kati ya mistari inasema hiv Naisikuibiwa,nachanganyikiwa nimechoka kusubili mbona utokei. alafu chorus yake ni "kaputa" sijui nitakuwa nipo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom