Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Mimi naamini kwamba katika nchi iliyojaaliwa vipaji vya kila aina basi nchi yetu ya Tanzania nayo imo, tena top ten. Kuanzia mziki, actor's wazuri wa film nk. Lakini kitu kikubwa tunachoshindwa ni...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kiufupi tu, tunaomba huyu kijana mrudisheni apambane. Mnataka kipaji gani, kama mnataka pesa uwepo wake mnahisi utawaharibia ushindani kwakua anajua sana kwaiyo watu hatutapiga kura semeni.
2 Reactions
88 Replies
11K Views
Kwa wanao mfahamu huyu msanii ni moja kati ya wasanii walio chora tatoo nyingi sana mwilini mwake. Haya sasa inasemekana zimeanza kumpa shida anatia huruma. Aisee acheni kabisa.
5 Reactions
50 Replies
14K Views
Ilikuwa asubuhi nzuri sana iliyojaa uchangamfu wa aina yake. Hali ya hewa ilikua rafiki kwa kila mtu, mawingu mazito yalitanda anga zima la jiji la Dar es salaam na kulimeza jua lililokua kero kwa...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
MTUNZI: IRENE MWAMFUPE NDAUKA SEHEMU YA 01 Jumapili moja baada ya kula chakula cha usiku, baba mzazi wa kijana Nelson ambaye wengi walipenda kukatisha jina lake na kumwita Nelly, Mzee Reli ya...
4 Reactions
56 Replies
15K Views
Huyu kijana kutokea kigamboni, ambaye ni mshiriki wa Bango Star Search (BSS) anakipaji sana, yaaani kauimba wimbo huu kwa uhalisia sana pamoja na heshima yake kwa majaji namuombea tu afike mbali.
11 Reactions
39 Replies
5K Views
Gospel ime-move on sana. Kutoka kuvaa redimedi, skirt za kaniki na kuvalia nguo zinazofunika mpaka visigino mpaka kutupia vitop, suruali za kubana na skirts kali zinazoushikilia mwili haswa! Enzi...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Mtunzi: Washawasha Ilikuwa ni jumamosi moja tulivu,nikiwa nimetulia mjengoni naangalia match ya man utd ambayo nayo alipigwa na kuzidi kutuchanganya sisi mashabiki wake wa kuvuta kwa manati...
4 Reactions
13 Replies
11K Views
Katika wimbo wake mpya unaoitwa Nakaza roho, Ferooz ametapika sana nyongo! Kikubwa kasikitishwa na ndugu zake wa karibu Prof J na Chege kumtenga na kutotaka hata kumsikia. Ameenda mbali zaidi na...
6 Reactions
108 Replies
24K Views
Kwa muda mrefu nilikuwa napenda kusikiliza kipindi cha "Je Wajua?" cha RFA ambacho kinarushwa Jumapili saa 9:30am (sijui kama bado kinarushwa). Nilikuwa nafurahia habari za kushangaza na kusisimua...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Roma Mkatoliki amerudi upya jamani. Ametoa wimbo mpya unaitwa "Anaitwa Roma". Ni Roma yule tuliyemzoea enzi za Mrisho akitamba na vibao vyake matata. Je Basata watauacha huu wimbo? Utafute mapema...
51 Reactions
391 Replies
77K Views
Habari zilizo chini ya kapeti ni kwamba Harmonize bado yupo Wasafi ila kinachoendelea ni drama ya kuhakikisha Ali Kiba anayeyushwa kwenye gemu. Mashabiki wengi wa Kiba watavutwa kwa Konde Boy...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nikitambo sasa
0 Reactions
4 Replies
766 Views
Hivi kati ya huyu Taylor Swift na huyu Beyonce nani zaidi? Moja nyimbo za Beyonce Moja ya nyimbo za Tyler Swift
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Habari wakuu, Kuna kijana anaitwa Hamisi ,alikuwepo kwenye mashindano ya BSS. Ni kijana ambaye kwa muda mfupi watu wamempenda sana. Lakini kwa sasa ameondolewa kwenye mashindano hayo. Naombeni...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Amani iwe nanyi. Wakuu, huwa najiuliza sana kuhusu hili tamasha la Mziki Mnene ni nini. Sijawahi kuona viingilio vikitangazwa wala wadhamini wa Mziki Mnene, ila huwa naona tu wanaenda sanaa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wana JF kuna wimbo mmoja hivi nlivokua mdogo nlikua nauskia na nautafuta sana una lines kama hizi.. Haya maisha nayoishi mimi , yananichanganya saana sijui niendapo wala nitokapo nini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ulikuwa ni wimbo wa miaka ya 2006 hivi, sikumbuki jina lake wala aliyeuimba, ila una bit flan nzur, na kati kati ya wimbo kuna maneno: Daily unanipa promise tutananilii kesho, unaishia kunipa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
kitendo cha huyu jamaa kuhamia kwenye kutiririka mi sikielewi kabisa, au ndo muziki wenyewe huu wa sasa ...wauonaje wimbo wake huu Ferooz ft Shaz Dear - Ndege Mtini | Muziki.net ?tiririka........
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Kuna mtu ana nyimbo za Shari Martini (Tana River gospel singers); Msanii wa gospel music toka Kenya. Kama kuna mtu anazo naomba anisaidie!!!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom