Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kama mfuatiliaji wa muziki wa bongo kuna vitu tunakubaliana kuwa Kiba na Harnonize kwa nyakati tofauti wamenufaika sana na uwepo wa Dai. Alikiba amekuwa mshindanishwa wa Diamond kwa muda mrefu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wale team sumbula , team gula ,team daihatun burudani imerud Tena Leo saa 2 kamil
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MUZIKI ni biashara kubwa sana katika karne hii ya 21 ambapo tumeshuhudia vijana wadogo wakitajirika kwa namna ya ajabu. MUZIKI umefanikiwa kukamata nyanja mbali mbali za uchumi, kupitia biashara...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Wadau wa muziki wa Pop hivi nani anaweza kuziba pengo la Michael Jackson katika anga ya muziki wa Pop duniani.
0 Reactions
3 Replies
960 Views
Mambo vipi wadau, Wale wapenzi wa Pub G Mobile season 10 imepamba moto. Vipi tunaonaje game msimu huu. Server ya Africa iko mbioni kuwekwa. Niambie unapenda sana server gani, Sanhok, Erangel au...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii ni thread maalum kwa wapenzi wa filamu za kiswahili hasa za kitanzania. hapa utapata nafasi ya kujua muvi gani ya kiswahili imeingia sokoni, muvi gani inafanya vizurri. kila siku utapata...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hii ni uzi maalum kwa wapenzi wa movie za ki-Nigeria. Utapata updates za movie kali zenye story nzuri, movie za kichawi, mapenzi ngumi nk. ungana na sisi kwa burudani kali kila siku.
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ni hawa waliomba wimbo huu hapa: Au huu hapa kwa mp3 format:
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Samahani wadau naweza vipi pata wimbo huu?
0 Reactions
2 Replies
8K Views
1. Thriller - Michael Jackson (MJ) 2. Year of the Gentleman - Ne -Yo 3. Blue print 3 - Jay Z 4. Uwe Macho - Rose Mhando 5 Bad - Michael Jackson (MJ) Je ni album zipi 5 ambazo unaamini ni kali...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Wadau mambo Vipi? Nawasalimu wote na Poleni kwa Pilika za hapa na pale za kuusaka utamu wa Ugali na maisha Ahueni. Imekua kitambo sana tangu niondoke hapa Jf (Kiukweli nilipakumbuka Jf). Leo...
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Ukiangalia katika semina zake huyu mtumishi hua kuna tunyimbo tuzuri sana anatuimba twa kipekee, kama ''KWA IMANI TUTASHINDA'' ..''OHH SAYUNI SAYUNI'' N.K Kama kuna mwenye hutu tunyimbo tuzuri...
3 Reactions
32 Replies
8K Views
Naomba kujuzwa ghalama ya chumba cha kupanga 'self contained room'. Kodi ya Frem ya biashara mtaa wenye mzunguko wa fedha. Nataka nihamie huko ko nategemea ushirikiano wa mnaojua hayo maombi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeukumbuka huo wimbo wa Wazulu walati wanapambana na Makubulu kule South Africa. Ni wimbo mzuri sana huo wa kupambana na Makabulu mambo leo.
0 Reactions
5 Replies
881 Views
Kwa wale wote wanaofuatilia tamthilia hii pendwa ningependa kufahamu, ni ujumbe gani muandaaji anataka kufikisha kwa jamii?
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Hallo, How is everyone in here? I hope mko poa ndugu zangu watanzania. Leo nafuraha sana, maana ndio kwa mara ya kwanza kushuhudia concert za wasanii wa ndani. I'm enjoying for sure! Kama kuna...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Nikiangalia hizi show wanazotoa hapa Wasafi Tv kwenye Wasafi Festival nachoka kabisa. Wanachoweza wao ni kupiga makelele, kuwasumbua watu wanyanyue mikono juu na kuuza sura na makalio.
6 Reactions
28 Replies
3K Views
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna nyimbo nyingi mno miaka ya karibuni ambazo ni maarufu kupita kiasi ingawa hazikuwahi kupewa airtime na Clouds FM. Inashangaza mno. Hivi wimbo unawezaje kuwa maarufu bila kusikika kwenye...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Nashangaa watu wana-diss kwamba fulani katoa wimbo mbaya and blah blah! Kwa upande wangu kama wimbo siupendi siyo kigezo kwamba ni mbaya, kila mtu ana mapenzi yake ndiyo maana binadamu...
0 Reactions
1 Replies
960 Views
Back
Top Bottom