Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Salama humu wadau wa sanaa. Kila mtu ana njia yake ya kufikia malengo yake. Ni wazi Mbosso amechagua njia ya mahadhi yake ili kujitofautisha na wengine na anapenya na sasa ameanza kuingia kwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu sisi wakongwe Kuna ladha tunaikosa sasa kwenye sanaa.tukumbushane nyimbo gani zilibamba kipindi hicho.binafsi mpaka sasa nasikiliza wakongwe tu.hizi ni baadhi ya zilizobamba na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Anaejua kuhack dream league soccer 2019 anielekeze plz
2 Reactions
44 Replies
9K Views
Vyombo karibu vyote vya habari hapa South Africa vimetawaliwa na wimbo wa mwanadada Sho Madjozi - John Cena, japo wimbo ulitoka mwezi wa 8 ila wiki hii umeshika kasi sana kwenye media na kwenye...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari yako ndg! Mpendwa! Naitwa Kefasi Mwasile ,Niko Mbeya Namtumikia MUNGU KWA kuimba na kufundisha uimbaji wa praise team, kwaya, na mmoja mmoja, makanisani na mtandaoni. LEO NATAMANI...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Shawn Mendes ft Camila Cabello- Senorita
1 Reactions
3 Replies
846 Views
Leo nimeona niangalie FNL baada ya miezi kadhaa. Sijui ni nini hiki ninaachoangalia. Hata sielewi!
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Umofia Kwenu wana JF, Jua Changamoto alizopitia mwandishi "Henry Mdimu" katika Story yake ya Mimi ni Shujaa. MIMI NI SHUJAA: PART 1 Uandishi wa habari ni kazi niliyoipenda tangu niko shule ya...
2 Reactions
40 Replies
11K Views
Maisha na muziki hakuna mtu asiyependa kusikiliza muziki ila tunatofautiana kuna wanaopenda hiphop,rnb,pop,reggae,gospel, etc. Tuambie unapenda album gan ya mziki? Na ni ya msanii gani ili na...
3 Reactions
49 Replies
6K Views
Mtunzi: Washawasha Natumai mko poa na jumamosi ya leo,mi Niko swafi hali ya hewa inaruhusu kufanya yake mambo yetu. Kwa jina naitwa Augusto nina miaka ishirini na tano,nimeajiriwa kwenye duka...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Mbunge Joseph Mbilinyi 'SUGU' akitoa Burudani ktk hafla ya Wabunge wa CHADEMA ya kumpongeza Halima Mdee baada ya kumaliza adhabu ya kutohudhuria Mikutano miwili ya Bunge, Mdee alisimamishwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu jamaa mbwembe zote hizi kumbe kakopy na kupest wimbo huo,ingia u tube andika jina la wimbo "soapy" wa Naira Manley ucheke, kwani mi nimecheka sana sikutegemea kuona Mondi kufanya hivyo.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mtunzi; Washawasha Mambo zenu,mi Niko poa kabisa,kwa jina naitwa Maria Rosa,mwenyeji wa mkoa wa Mbeya lakini kwa sasa naishi Dar es salaam,nina miaka 31,leo nitawahadithia zawadi ambayo Mume...
3 Reactions
17 Replies
9K Views
Wimbo uko poa unachezeka hakika na mix nzuri sana.
16 Reactions
155 Replies
28K Views
Wakuu dude linatoka tarehe 25 December Kunawakali kibao Kama. DONNIE YEN SCOTT ADKINS VANESS WU JIM LIU KENT CHENG NICOLA STUART JASON REDSHAW YEU WU
0 Reactions
3 Replies
800 Views
Kuna haya makundi yalichuana saana kwa sababu aina ya uimbaji wao ulifanana. Waliuteka sana ulimwengu wa muziki hasa wadada ndo walipenda sana nyimbo japo na wanaume na tulikuwepo kuwasindikiza...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Kiufupi nianze tu kwa kusema watu wengi sio waumini saaaana wa aina ya muziki anaoufanya msanii Lavalava. Kwa muda mrefu sasa style yake ya uimbaji imekuwa haiendani kabisa na aina ya muziki...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa yeyote anaeweza kuniorodheshia nyimbo hizo za kingereza anaimba binti mmoja hivi sijui aitwa lliiwine. Asee anaimbaga nyimbo zake zinasikilizwaga mara nyingi usiku mkiwa kwa kitandani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naongelea ngoma mpya ya msanii machachali wa bongo fleva Diamond Platnumz ...Baba lao Binafsi naona hii ngoma sio nzuri kabisa nikiweka pembeni ushabiki Sasa swali linakuja kwenu mnaoujia mziki...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Kwenye comment tuache story za kuponda au kusifia, wewe weka jina la mkali wako hapo kisha tutahesabu kura. Unaandika mara moja tu kuliko kurudia rudia. Kura yangu ni kwa: Harmonize - Uno
3 Reactions
163 Replies
21K Views
Back
Top Bottom