Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Nimeutafuta Sana YouTube hakuna version nzuri. Mwenye nao tafadhari
0 Reactions
0 Replies
1K Views
o_Oo_Oo_O
0 Reactions
2 Replies
812 Views
Wadau kuna wimbo nautafuta sana, ni wa zamani kiasi na bahati mbaya sijui unaitwaje lakini kuna kipande kama sio chorus ina maneno “tulia wangu mpenzi tulia, tulia nami nipate tulia...”. Mwenye...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari za mda huu..bila kupoteza muda,nimekuwa mdau mkubwa wa makala za huyu gwiji wa habari za michezo kwenye magazeti na mitandao,yupo vizuri,yupo kisasa zaidi,he is very smart... Huwa napatwa...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Huo ndio ukweli!!! Siku tukiacha siasa kwenye maendeleo ya mpira wa miguu tanzania ndipo labda tutaweza kupambana na senegal angalau,...hakuna tajiri mwenye pesa zake atakua wazi kuwekeza pesa...
0 Reactions
1 Replies
851 Views
MUZIKI NA UCHAMBUZI Wimbo: Kesho yetu Msanii: one the incredible Albamu: Soga za mzawa Mtayarishaji: texas Studio: mlab ( tamaduni music) Muziki unaowakilisha utamaduni wa hip hop , umekuwa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
mimi simuelewi kabisa anachoimba, hv nyie mnajiita team diamond na wote mnaompenda,huyu ndugu anaimba nini? mimi simuelewi kabisa nilikua fan wake mkubwa lakini kwasasa naona kama anacheza...
5 Reactions
54 Replies
6K Views
Hii mutu naikubali sana,hii mutu ya watu kabisa na ni mutu ya mupira
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ngoma Kali Sana kiukwel diamond unatupa burudani tunayotaka nimependa Sana content ya wimbo.
7 Reactions
89 Replies
11K Views
Wakuu njooni tufurahi pamoja, Mimi napenda sana hii mchezo kuuangaluia hasa kwemye mashindano ya kimataifa ambapo kuna wanawake wa kiafrika.Nashindwa kuweka video maana ziko YouTube zimenishinda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Steringi wa hii filamu alikuwa ni demu mweupe mzuri mwenye nywele ndefu, huyo demu Mara nyingi alikuwa anapendelea kuendesha farasi, hlf huyo demu alikuwa anajua kupigana sana, hlf filam nahic ni...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
*IJUE YANGA* Wakiwa na pesa wanajiita *DAR YOUNG AFRIKA* Wakiishiwa wanajiita *TIMU YA WANANCHI* Wakikosa kombe wanajiita *MABINGWA WA KIHISTORIA* Yani wanailazimisha furaha hata kama haipo...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
hii ni taarabu ya zamani kidogo anaye kumbuka jina"HALUFU MBAYA IMETAWALA MWILINI NAELEkEA SAYARINI WAPO WALIO RUKA KWA UNGO KIMAZINGALA WAUWAJI ''
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Aisii hivi hawa wanaopewa kazi ya kukusanya madeni ya hawa jamaa huwa wanawaokota wapi. Maana wako shallow sana.Wanafeli.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu Kitabu chenyewe ni PROJECT MANAGEMENT by Author Jack R meredith Picha yake hapo chini
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna jamaa walikua wakiitwa Atomic na wengine walikua wakiitwa Wembe... Hawa jamaa wa Atomic walipiga wimbo mmoja unaitwa "mzee Nanga"... Yeyote mwenye nao huu wimbo pamoja na zingine, za Atomic...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hawa wadada wamejitahidi sana, humu ndani sauti ya Victoria imetulia sana. Stella Mwangi naye amechana vizuri sana, instrumental imetulia sana na imekaa kibunifu sana, kiufupi kazi ni nzuri sana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
"Nipe nafasi ili niwe mpangaji wa kudumu ndani ya moyo wako, moyo thabiti uliojaa mapenzi sawasawa na yako..Tuishi sote milele Beatrice, tuishi sote milele kama watoto wazuri wapendezao" hicho ni...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Kwa wapenzi wa vitabu vya Ben Mtobwa, kwa mara nyingine napenda kuchukua fursa hii kuvitangaza vitabu vya marehemu Ben Mtobwa kwamba sasa vinapatika hapa jijini Dar es salaam, maeneo ya Posta...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom