Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Aisee kuna jamaangu alikuwa anachezeaga fimbo kinoma noma , unakuta kila ticha akiingia tu akitoa kazi analoooo Hebu tukumbushane chanzo ni nini?
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wale wazee wa jamvi natoa game za kimataifa head to head niulize game yoyote nikupe mchambuo wote na pia ushauri natoa kwa wale wanao tandika jamvi........karibu tushinde
0 Reactions
1 Replies
472 Views
Huu wimbo uwa hauchuji masikion mwangu kwangu ni kati ya nyimbo nzuri zenye ujumbe wenye hisia ukiachilia mbali hayakuwa mapenzi wa sugu. Kipindi unatoka chid alikuwa chini ya jagged records...
2 Reactions
4 Replies
5K Views
Gwiji la matopeni wavaa njano na kijani JPM limeamua kuingia rasmi kwenye mziki kwa madai unalipa zaidi Juma pondamali mensah(JPM) ni mojawapo ya majina maarufu sana nchini danganyika Ikiwa ni...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanabodi, Mimi ni mshabiki wa tamthilia za ITV Tangu imeanzishwa, walianza na "Egoli" Place of Gold, ndipo wakaja na "Isidingo" The Needy. Kitu ambacho ITV imejijengea heshima kubwa, ni ile...
18 Reactions
43 Replies
7K Views
: BINTI KIPOFU Sehemu:01 Mtunzi: Salma Rashid Walionekana wafanyakazi walioweza kuvalia gauni nyeupe fupi wakijipanga mstari katika jumba Kubwa la kifahari kuelekea mlangoni. "Madam anakuja...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
1. UGONJWA UNAOUA Hadithi hii inamuhusu kijana Fredinho Piscus. Alikuwa miongoni mwa vijana walioishi katika Mtaa Complexo da Mare, moja ya mtaa wa kimasikini uliokuwa katika Jiji la Rio de...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nipo na feitoto, mwenye swali lolote atupie niwasaidie kumwuliza. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Alfajiri imefika anga inang'aa mvua inaanza katika ghafla tumbo la njaa naweka sauti kwa spika nipate umbea wa dar mara simu inaita jina la anko twaha akisema, mama yu hoi kitandani kama si wa leo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rank & Title IMDb Rating Your Rating 1. The Shawshank Redemption (1994) 9.2 2. The Godfather (1972) 9.2 3. The Godfather: Part II (1974) 9.0 4. The Dark Knight (2008) 9.0 5. 12...
8 Reactions
117 Replies
18K Views
Mara unamsikia kijana anaimba “inama nipachike rungu”, mara binti yule nae anaimba “nikikuona nabanwa na haja”, binti huyu nae eti "piga piga piga mpaka ufungulie bomba". Kama uko na wazazi au...
14 Reactions
68 Replies
8K Views
Nimesikiliza na kuangalia kazi yake youtube hakika amefanya kitu kikubwa hasa ujumbe wake,sauti nzuri na mpangilio mzuri wa vyombo (hongera kwa producer) Video kafanya kwetu studios na msafiri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba kujuzwa tofauti kati ya album na mixtape
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Special music. For special people. Enjoy.
3 Reactions
5 Replies
829 Views
Mbosso – Maajab Mbosso nyimbo zake zote zinafanana,melody zinafanana na bado aina ya muziki anayofanya sijamuelewa mpaka was leo.Nyimbo hii sielewi wala Mimi si kisiwi inahusu nini haswa.hakuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nakuomba usije kwetu mamdogo utatia hasara Uyo mdogo wangu mwenyewe toka atoke shule hajala Aaah bwana eh usinifate bwana We si ukalale uwape mbu faida bwana Hivi aliyekwambia uzime taa humu ndani...
0 Reactions
2 Replies
538 Views
nimeafungua my channel jana naanza upload vichekesho, nafanya editing before post naomba mkatazame mnipe ushauli nini ni improve https://www.youtube.com/channel/UCN4QnPaEDDrH0Al9UZtYmAw
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Wakuu Habari Ya Uzima, Nina Wazo Moja, Tanzania na Dar es Salaam Hatuna Ukumbi Mkubwa Wa Kufanyia Matamasha Makubwa Hasa Burudani Mbali Mbali Kuchukua Nafasi Ya Leaders Club. . Sasa Wadau wa...
0 Reactions
2 Replies
753 Views
DJ nguli wa zamani hapa mjini DJ EDIE SALLY ambaye alitamba katika miaka ya 70s na 80s akiwa na marehemu CHOGGY SLY amefariki leo asubuhi
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom