Hallow,
Kuna watu ambao hawana wazazi/mzazi sasa wao wameishachoka maisha na kukata tamaa kwamba humu dunian hakuna furha kisa wao ni Yatima, hapana yupo Mungu ambae ni baba wa Yatima. Burudika...
Wakati wapenzi wa boxing tukisubiria kwa hamu pambano la Deontay Wilder na Tyson Furry kabla ya kuwakutanisha Wilder na Anthony Oluwafemi Olaseni Joshua (A.J).
Tarehe 15 September katika ukumbi...
Usiku wa jana mambo yalikuwa hivi katika hoteli ya Gold(Gold hotel zanzibar) iliyopo Nungwi,Simba arts group tuliwajibika kikamilifi. Bado tunakaribisha mialiko yenu tunapatika Zanzibar 0718923981
Kwa siku kadhaa nilizopo hapa Mbeya kumekuwa ma mwingiliano wa mawimbi ya redio yenu (88.5) na redio kiss FM (88.3), kila baada ya muda kidogo. Hali hii inakera. Chukueni hatua tafadhali.
Sent...
Kwa wale woote tunaoifatilia series ya Into the Badlands tukutane Hapa tushare vitu vilivyotuvutia kwenye series hiyo; Binafsi namuelewa sunny & his family Imeniuma saana shemela kudanja pia Big...
wengine wanalia sababu ya kupenda lakini wameachwa... wameachwa wengine wanapigwa bado wang'ang'ana sababu ya mapenzi... wengine wafumania lakini waendelea sababu ya kupenda wengine wajiua wao...
Umofia kwenu wana JF,
Nimeusikiliza kwa makini sana wimbo wa Gozbert Goodluck - Shukrani na Wimbo wa Shalom Chris - My Beautifier naona kama melody zinashabihiana kiaina.
Inawezekana nikawa...
Kuna huu mchezo mpya unaitwa bonanza a.k.a Dubu ni mchezo mpya wa kamali umeletwa na wachina,watu wengi mnanaufam. huu mchezo ningeomba serikali muwaambie hao wachina waweke sehemu maalum ya...
Baada ya kutulia na kusikiliza nyimbo za miamba hawa wawili toka pale Jiji la Kinshasa huko Jamuhuri ya Congo DR. Sasa ni rasmi huyu Mwamba Ferre anaMuziki wa kulevya sana. Pia nyimbo zake nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.