Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Nimezikumbuka sana mipini iliyomo mule na hii sikukuu na hii hali tulizo nazo bora tu kujifariji na magoma ya zamani maana hakuna namna. Mshahara umeingia sawa lakini huo mgawanyo wake naona...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Huyu jamaa nimemskia leo nikaanza kumfuatilia. Anaitwa Coyo anarap style ya kipekee saana, anakufanya uendelee kumsikiliza. Na ukifuatilia trend za tracks zake anasogea tu. Dope lyrics...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nnemsikia jana nikiwa kwenye gari ya mshkaji alikuwa anasikiliza radio. Sikuweza mwambia abadilishe station sipend kuingilia uhuru wa mtu. Zilipigwa nyimbo zake mbili. Sikuelewa alikuwa...
3 Reactions
73 Replies
6K Views
Verse I; Bonge la mtoto/bonge la zigo/ Naamini sioti coz naipenda hii ndoto/ Sitoi boko/na naamini hayuko soko/ Ntamvisha pete leo leo/ Sio wa mchezo ka kazi ya kwenye video/ Ananikaanga...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wawe wamekufa au wapi.Kama Kuna mdau atatupatia picha zao ingekuwa Safi. Karibuni sana
0 Reactions
4 Replies
987 Views
Kuna audio fulani ni ya muda hivi, jamaa anaitwa chika i think, anasema "nimeshafika dar sasa tuonane" Mwenye nayo au link atupie
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama Wewe Ni Mpenzi Na Mdau Wa Korean Drama Basi Kuna Huu Mzigo Umetoka Feb Mwaka Huu. Drama Inazungumzia Maisha Ya Captain Wa Jeshi La South Korea Alie'Fall-In-Love Na Doctor, Wote Wawili Badae...
2 Reactions
89 Replies
20K Views
Mimi sio mpenzi sana wa singeli lakini kuna nyimbo za singeli nazipenda sana mfano ni hii ya babu na dogo nigga-uzee mwisho chalinze Kuna nyingine dulla makabila-mpenzi wako namba ngapi moja Na...
0 Reactions
40 Replies
12K Views
ni udhaifu sana simba mmeonyesha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu kwa wale wapenzi wa mziki wa Kitanzania tunajua kuna wasanii waliwahi kuvuma na kupotea kusipojulikana ambao umewamiss na unahisi pengo lao halitawahi kuzibika unless otherwise...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya Mobdro kufungiwa je app gani nitumie kutazama football live? Msaada Tahadhari
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hizi series zinakuwaga nzur hasa pale mmarekani anapopambana na middle east countries mfano Syria and Yemen. 24 legacy The brave Homeland Hebu nitajie nyingine ambazo ni Kali.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Zangu ni hizi hunipa faraja sana zimekuwa kama dawa kwangu. hata sasa nimeamini nyimbo inaweza kukuponya.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jina la Mtunzi: Emmanuel Venance Hatari Jina la Simulizi: Ni Yeye Pekee. Sehemu ya: 1. WhatsApp: +255768753437. “Kila siku huwa na bahati yake” ni maneno aliyojisemea kijana Paul Gabriel...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wadau nataka kuangali movie au series online msaaada wa channel ya kuangalia
0 Reactions
2 Replies
578 Views
Chiku nilimkubali kuanzia nikiwa naye Chuo cha Uandishi wa Habari cha Royal(RCJ)-DSM tukisoma ka CHETI ka Uandishi Kahabari mwaka 2003. Niliposikia kaingia kwenye gemu la Mziki nilifurahi sana...
0 Reactions
6 Replies
905 Views
KUELEKEA MSIMU WA SIKUKUU; NAWAKUMBUSHA WATUMIAJI WENZANGU. Kanuni za kunywa mvinyo kistaarabu "Mvinyo ni kama maisha kwa watu, ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila mvinyo? umeumbwa ili...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi hizi hadithi zilikatazwa.. Kama jibu ni hapana, je wapi naweza pata vitabu vyake au audio zake.??
1 Reactions
13 Replies
11K Views
Katika Muziki Wa Hip Hop Kuna nyimbo nyingi nzuri za Msanii mmoja mmoja, za kushirikiana na hata za makundi... Zifuatazo Ni nyimbo Tano Bora Kwangu za Kushirikiana. 5.We Ndo Mchizi Wangu Remix -...
1 Reactions
12 Replies
9K Views
Back
Top Bottom