Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kuna wimbo wa msaga sumu sijui sana jina unaitwaje hasa ila kuna mistari anaimba kuwa naipenda simba mshabiki wa damu, mwenye nayo naomba audio...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Afande Sele_Mashikolomageni. Ulitoka 2012 Kwanza Records Morogoro nisaidieni kuupata
0 Reactions
1 Replies
584 Views
Maneno haya "" utajua kwa nini wazaramo walimuua mwizi kwa kumsuta kwa maneno"" yana maana gani
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WASAALAM……….. Wakuu najua sasa hivi jukwaa lipo bize kujadili mara hallelujah, mara vevo mara youtube mara zamaradi mara ruge mara nini sijui…lakini nakuombeni mpite hapa pia ili kama kuna...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
SEHEMU YA 01: Eddy ameamua kuondoka nyumbani kwa wazazi wake na kwenda kupanga, kwa bahati nzuri anapata chumba katika nyumba moja yenye vyumba sita maeneo ya Mwananyamala kwa Kopa. Nyumba hiyo...
2 Reactions
19 Replies
19K Views
kuna huu wimbo unaitwa aidama "aidama yoyo yoooyoo aidama aidama yoyooo yoooh aidama wawili wakipendana,aidama yabidi wafunge ndoa aidama " sikumbuki niliusikia wapi ila niliupendasa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dully Sykes _Bwimbwi anabembea. Inazungumzia madawa ya kulevya nisaidieni kuupata
0 Reactions
0 Replies
441 Views
Ottu jazz band_Udini na ukabila. Wimbo unazungumzia madhara ya vita. Tunaomba amani eeh! Dunia yote iwe na amani........Ni wa zamani kidogo anaujua anisaidie kuupata
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanamuziki kumi wanauwezo wa kutoa nyimbo zinazofanana na jamii ikashtuka kuwa wameibiana mawazo. lakini washairi mia moja wanaweza kuandika wazo moja na watu wasitambue kwa haraka kuwa...
0 Reactions
1 Replies
868 Views
Wanipa sababu za kupenda, nimeshasahau maumivuu Daima milele nitakuganda, nikikosea niadhibuu Mr.computer nipange vinanda,nizikwe na wewe zainabuuu Nje kuna kiza kimetanda, we nuru Fanya...
0 Reactions
0 Replies
410 Views
hio ni katika progect ya one8.. Ashukuriwe huyu braza na avikwe taji analostahili..
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Asalam aleikum ndugu wana JF Leo ningependa uchangie labda hata kwa mawazo nijinsi gani tufanye ili tukuze soko la filam kwa nchi yetu maana soko la filam kwa nchi kama Tanzania limeshuka...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Kama mkulu alitangaza, hakuna kukaa uchi, sasa kuna majamaa apa azam two sijui yako ukumbi gani yanatunisha kila kiungo, adi makalio. Vipi ili katazo haliwahusu hawa, au ni la kina gigi mane tu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wapendwa kuna uwimbo unaitwa NIMEPATA SALAMA, umeimbwa na dada mmoja kutoka Kenya anaitwa HULDA VAGEN mwenye kuujua au mwenye nao naomba saaaana anipatie, naupenda mmmmno nimejaribu sana kuusaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habarini... Naimani wazima wa afya tele.. Wakuu nina shida na nyimbo inaimbwa.. "when i come back home,everything gonna be alright, so mamy don't go,everything would be just fine" Sikumbuki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Kwa wale wapenzi wa kusikiliza redio,hasa vipindi vya burudani naomba tutaje kipindi cha redio ambacho umevutiwa nacho kwa mwaka huu wa 2017 Mimi vyangu ni The Cruise..kinachoruka east africa...
0 Reactions
44 Replies
10K Views
Habari wana jf kuna tamthiliya Fulani inaitwa pasion and power inarushwa ITV kila j3,j4 na j5 SAA 4 usiku.wameekti wamexico ila ni ya English sasa nikijaribu kuidownloa d nakuta wanatalk Spanish...
1 Reactions
43 Replies
8K Views
Madude ya longtime lakini bado ni mazuri kuyaangalia, mtaalamu Scott Adkins anachombeza mpola mpola. Hii movie ilichangia sana kumpa Adkins umaarufu.
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Habarini wakuu, hivi mfano mtu anataka kuja kuwa muimba mziki au muigizaji, je ili atimize ndoto yake hiyo huwa kuna time limit mfano labda ni late 20's au early 30's au huwa haina limitations...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom