Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Hii bendi ilianzishwa huko US mwaka 2005. inaimba indie rock na folk rock (mziki wa asili). walitoa album yao ya kwanza mwaka 2012 inaitwa the lumineers hii ilishika no 2 kwenye billboard 200...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kiba apagawisha arusha....sauti yake ya jukwaani haina tofauti na ya kwenye CD, mziki mzuri tuliburudika sana....hapa na mausingizi baaadae ntatupia zingine...pata starter kwanza.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wadau, Hivi kuna mtangazaji gani unayemfahamu (wa zamani au wa sasa) aliye mkali katika habari ya vionjo mbalimbali vya music anayemzidi Masoud Masoud? Kidogo anafuatiwa na Charles...
2 Reactions
21 Replies
7K Views
Ivi mwaka huu hamna dance 100% au ikoje hii Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
719 Views
AYA: Wimbo wa Gaidi MTUNZI: Hussein Tuwa UTANGULIZI Ni miaka mitatu tangu kuuawa kwa Osama bin Laden nchini Pakistan. Wanamgambo wa Al-Qaida wamesambaratika. Wengi miongoni mwao wameuawa...
6 Reactions
42 Replies
19K Views
Usicoment hapa kama huna vina, hatutafuti majina, natiririka na vina,mpaka wapinzani wanasimama wima, Moyo umekua mwepesi, sababu ya vitu vingi tumevitupilia mbali. Wakati wowote ule unapohitaji...
0 Reactions
19 Replies
19K Views
Nafikiri sio mbaya kwa mchezaji wa Yanga SC kuacha soksi za jezi zao mbele ya ofisi za Simba SC. Eeewaaah si hata mechi zikiisha huwa wanapeana jezi. Me nipo Tabata hapa kwa Kiba nakula Diamond...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hawa jamaa wamenishangaza kwa kipaji chao cha kuweza kuimba kwa pamoja na kupiga vyombo bila kupishana. Walichokifanya humu ndicho wasanii wengi wa siku hizi hawana (HARMONY) CC: Red Giant ...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu... Kwa wadau wa series hebu tuambie unamkubali nani. Binafsi namkubali na kumpenda sana Jack Bauer wa 24 Hrs. Anajua kuvaa uharisia wa hali zote. Ni mzalendo na anajua namna ya kuwavuta...
0 Reactions
2 Replies
800 Views
Nyimbo iliyopigiwa promo ya kufa mtu ya mwanamziki Ally Kiba kumbe ilikuwa na utamu wa Big G! Ndani ya wiki moja imechuja na sasa truck kutoka wasafi record inayoitwa Zilipendwa imepanda chati...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kiukweli bongo fleva sasa ni biashara,vile utakavyoweza kuwateka mashabiki,..haina tofauti na yule mkorea gangnam style,sio kwamba ni good music ila mbwembwe nyingi..same happend to ali kibas...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa wale wanaofaham... Naomba kuuliza Kama kuna fta Chanel zinaweza kuongezwa kwenye muelekeo wa Dstv... Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
951 Views
Habari zenu wakuu ndugu zangu.Ni miaka inazidi kukatika sijasikia habari zozote za Mwinjuma muumini.Yuko wapi?Muziki vp?
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Nakupongeza kwa kurejea. Ulituvuruga sana hapa mashabiki wako wa damu na zile ishu za mafuta... Mambo ya ebitoke na affairs zako nyingine za mapenzi hayatuhusu.. Jana umeguguma sana XXL...
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Back
Top Bottom