Hili kundi naona limepoteza muelekeo sikuiz,matangazo nayo yamekua part ya program, hata kipengele rahisi cha songi la leo kila siku kurudia tu.
Ushauri wangu kwao ni kua wasione aibu kutangaza...
Kinachoendelea kwa sasa katika kituo cha redio cha Clouds ni shamra shamra za uzinduzi wa Tamasha la Fiesta chini ya udhamini wa mtandao wa simu wa Tigo.
Kati ya watumbuizaji wa tamasha hilo ni...
Moja ya nyimbo nzuri kwa mwaka huu ni pamoja na ya huyu kijana. Kwangu mimi, huyu ni moja ya vile vipaji halisi katika tasnia ya burudani...
Ngoma yake mpya ya Libebe kamalizaa
Pitia youtube...
Wanandugu nimekuwa na maswali mengi bila majibu kuhusu hiki kinaitwa fiesta,
Wao wanaita msimu wa fiesta naona hata baadhi ya viongozi wanalinadi jambo hilo,
Sasa mimi Labda ushamba wangu wa...
habari humu ndani wapendwa. mimi ni msanii wa bongo fleva ( sijajulikana bado)nafanya R&B,Hip hop (commercial) na aina nyingine. natafuta management ili niweze kutoa kazi zangu nilizo nazo na...
Hivi humu ndani kuna watu wanao tazama jumong?
Ni tamthilia nzuri mno ya kikorea, na inahusu siasa zaidi kuliko kingine. Natamani wana jf wote wawe wanatama jumong, ina fundisha vitu vingi sana...
Wakuu nauliza kama una series na uko mwanza naomba aje pm ili tuone namna ya kubadilishana for free ntakufata popote ulipo ili mradi usiwe mke wa mtu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]...
Dah bonge moja la nyimbo, sometime hili beef la watu wawili (kiba na mondi) linatuharibia gemu watangazaji na radio nao wamekuwa mashabiki, mpaka nyimbo kama hizi zinakosa airtime
Naomba msaada kama kuna mtu yupo "ARUSHA MJINI" na ana complete POWER season 4" full HD format, naitafuta.
Pia kama ana series zingine ambazo zipo on trend kwa sasa.
Nakumbuka kipindi cha nyuma Kenya walikua wakituongoza kimuziki katika ukanda wa East Africa.Kwa bahati nzuri baada ya revolution kufanywa na vijana wa Bongo Fleva Tz tumefanikiwa kuongoza East...
Je, ni kutaka kuonekana kwamba wanaujua mziki tangu 80's au wanadhani wateja ndo tunazopenda?
Nyimbo mpya ni nyingi sana hata ukizipiga masaa 24 haziishi...
Nipo hapa Maisha Club makumbusho...
Mwenye uelewa anielekeze jaman mm nataman kutambua advantage ya push up [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau,
Katika tasnia ya muziki Africa ni vigumu kutoitaja Congo. Nimepata kuishi kambi za wakimbizi wa kikongo na huko nilishuhudia namna muziki ulivyo damuni. Kuna kanisa moja la asili wakati wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.