Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Habari wana jf kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu nahitaji msaada jinsi gan ntaipata video ya xxx(triple x ) the return of xandar cage iliyochezwa na mtaalam van diesel,ton ja na...
6 Reactions
68 Replies
28K Views
Ebhana hali ya hewa sio nzuri mitandaoni na ac za simu hazifanyi kazi kwa vitu vinavyoachiwa saizi....tujaribu kuachana na mziki wa team tufanye kumsikiliza beka flavour na mr blue... #iwe ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naweza kupata wapi Cd,audio cassett au video ya band ya Ngorongoro heroes-Wana sukuma push?.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hakuna kitu kinauma kama kufungwa match mfululizo Huyu jamaa kachoka atupishe...Yaani Bado kidogo tu tunapiga kama Ruvu na Simba Jana. Chonde chonde Kwa mashabiki wote wa Arsenal5 duniani Tuseme...
2 Reactions
9 Replies
904 Views
MUZIKI WA BONGO FLEVA USIWE CHANZO CHA KUARIBU TAIFA KWA TUNGO CHAFU.. Na Mgeni_wa_Jiji Sanaa ni ajira iliyowainua vijana wengi duniani na sasa Tanzania tunalishuhudia hili. Ikiwa sanaa ni ajira...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nimekuwa nikisikiliza mashairi ya wimbo huu na kuniacha nikitabasamu eti Mwanaume mashine! Ninacholingia Mashine..!! hivi wanawake wao ni nini? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimekuwa ni mfuatiliaji wa miziki ya Kikongo ( DRC ) tokea nikiwa darasa la Kwanza mpaka hii leo nipo katikati mwa Ujanani na Uzeeni lakini sijawahi kuvutiwa na Nyimbo hizi zifuatazo za midundo ya...
1 Reactions
20 Replies
8K Views
Nilifarijika sana leo wakati natizama movie inaitwa aquos PEOPLE kiukweli niliipenda na ikabidi niirudoe mara kama 3 hiyo scene mahali mama katika movie hiyo aliikua anaucheza huo wimbo kwa madaa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafta movie mpya ya season yeny mautundu kbao na maufundi ya kutosha naombeni majina yake plz Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
33 Replies
19K Views
baada ya leo mchana kupost picha ya wimbo wa diamond na kutopost wimbo wa alikiba.. Na baadae kupost mpambano wa ngumi ya TMT Sent from my Linux ubuntu mobile
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ijapokua wengi hua wanapata taabu sana kumuelewa Mrisho Mpoto lakini hakuna atakaebisha kua jamaa anaitendea haki fasihi, hebu sikilizeni huu wimbo wake mpya halafu mlete mrejesho. kiiitendwiiiili
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Jacqueline Wolper msanii wa bongo movie anawaonea huruma wanaume katika mapenzi Msanii wa bongo movie Jacqueline Wolper awaonea huruma wanaume
0 Reactions
7 Replies
2K Views
anatia hamasa hata usingizi usije ameimudu disc vyema ma dj wanawake wanaweza sana kumbe na anapangilia nyimbo vizuri
1 Reactions
28 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Taja movie unazopenda wengne tuzitafute
1 Reactions
87 Replies
11K Views
Katika maisha yangu nimebahatika kuwa na kampani ya watu wa hulka na tabia tofauti tofauti. Nimepata fursa ya kuhudhuria katika maeneo ya starehe ,sherehe harusi sehemu ambazo inabidi nicheze...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
aliongea Baraka da prince wakati Ben Pal ametoa nyimbo TATU iliyokua mbovu na hata audiance haijaipokea vizuri kabisa kua ni Bora kumshauri rafiki yako msanii asitoe nyimbo kabisa kuliko kumsifia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau mimi siyo mfatiliaji sana wa series, ila nikiwa na muda huwa napenda kuangalia series zinazohusiana na ujasusi pia siasa ndani yake! Mpaka sasa nimeangalia 1. 24 hours 2. Homeland 3...
2 Reactions
42 Replies
8K Views
Ivi kuna watu humu ambao huwa wanacheza game la BOOM BEACH? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Back
Top Bottom