Jamani imefika wakati kuangalia vipaumbele vyetu japo msisitizo upo kwenye soka tusisahau vipaumbele vyetu na fani ipi angalau imeonyesha kutukubali! Pasi shaka burudani ama kwa kuigiza ama...
leo weusi wameachia remix ya gere ikiwa na wakali kibao wa Africa Mashariki.
Link hii hapa download then tupia comment
https://mkito.com/song/gere-remix-ft-collo-navio-nazizi-rabbit/9742
Wale wapenzi wa Tv series karibuni kwenye hii thread tufanye kubadilishana mawazo, mimi ntaanza kwa kuzitaja series nilizoangalia na ninazoendelea kuangalia.
1: 24
2: Prison Break
3: Breaking Bad...
Kuna wimbo wa band fulan ckumbuk, unamaneno anaanza Muumin Mwinjuma,
"Petro alimkana bwana Yesu mara tatu,kabla jogoo hajawika,
lakin petrooo alisamehewa,
Kosa langu lipi dada lisilosamehewa...
Kwa wale wapenzi wa movies tujuzane ni movie gani kali ya mwaka 2014 iliyokusisimua?
Binafsi napenda action movies iwe military,spy na hata karate movies,
Mi binafsi nazipenda sana love story zao na hii ndo orodha ya movie ninazopenda mimi.
1.Ghajin (Amir Khan)
2.Vaada (Arjun Rampal)
3.Fanaa (Amir khan)
4.Akele Hum Akele Tum (Amir Khan)
5.kuch...
Za kwangu ni.
1.Blacklist..tarehe 1 feb.
2.Suits.......tarehe 29 feb
3.Viking.....tarehe 19 jan
4.Banshee. tarehe 09 jan
5.24............ tarehe 21 jan
6.Gotham....tarehe 05 jan...
Niko kwenye gari nasikia mwanamuziki Roma Mkatoliki anaimba muziki wa vijana. Anasema mimi nakuabudu sana, eeh Mungu, lakini hujanisikiliza. Anaendelea kushangaa inakuwaje unawabariki watu waovu...
aliendelea kuzifuatilia zile nyayo na baadae akakutana na mdugu jamii ya kaa.lakini alivyoenda mbele zaidi ndugu zangu wapendwa alikutana na nyoka.nyuki huyu tabia yake kuu huwa akipatwa na njaa...
boney m_mary's_boy child,_oh my lord. is my favorite x-mas song
nafarijika sana kila nikuusikiza huu wimbo na kujiona mweye thamani kubwa sana kufika kusherekea kuazimisha siku ya kuzaliwa kwa...
wakuu habari zenu...
naomba msaada kwa yeyote amabye ana move hizo nazihitaji sana nizione kwa kufunga mwaka huu, au kama naweza pata msaada wa namna ya kuzipakua itakuwa vizur zaid
Staa wa Filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba Dude.
Na Hamida Hassan
Staa wa Filamu za Kibongo,
Kulwa Kikumba Dude ameibuka na kusema kuwa kuelekea mwisho wa mwaka mastaa wengi wana ngoma na...
Leonardo DiCaprio as Jordan Belfort in The Wolf of Wall Street
The Wolf of Wall Street, Martin Scorsese's true-life tale of corrupt New York stockbrokers, was the most illegally downloaded movie...
Hello ~Everyone! I am working in a Chinese mobile game company and our games are all for western gamers. However, I am not a professional gamer and dont know well about western game market I...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.