Jina la tamthilia hii ni be careful with my heart " ila wengi wamezoeya kuiita MAYA asili ya tamthilia hii ni katika mji wa manila uko amerika ya kusini,tamthilia hii imepata umaarufu sana hapa...
Baada ya kusota akiwa ndani ya kundi la Weusi msanii G Nako ameamua kujiondoa kupitia kupunjwa malipo. Ikumbukwe kuwa kundi hilo lilikuwa linaundwa na Joh Makini, Nikki wa Pili, Bonta, Lord eyes...
Huu wimbo ulinifanya nikujue wewe...
chorus.
jipe moyo (jipe moyo) utayashindaaaa
saa ya mwisho (saa ya mwisho) vumiliaaa
sasa dah! nimesikia umeenda kisutu! so umeshindwa kufanya kile...
Nyota ya Diamond inazidi kuwaka nchini Nigeria. Wimbo wa coco baby wa Waje aliomshirikisha msanii bilionea Diamond platnumz ndio the most requested song nchini Nigeria kwa sasa.
Hii ni kitu cha...
Katika Makala yake aliyoiandika kwenye gazeti la Mwanaspoti la wiki hii... Baada ya kuisoma kwa utulivu na umakini nimegundua Edo ni moja kati ya hazina kubwa ya wachambuzi Tanzania tunaopaswa...
What happened to Amplifier we used to listen maana naona jamaa siku hizi story zake ni za kidaku and all about Diamond Platnumz mara Diamond this mara Diamond that ujinga mtupu, come on Millard...
Tanzania's Diamond gets Nyota Ndogo mistreated in Mombasa By Stevens Muendo Updated Monday, December 15th 2014 at 09:07 GMT +3 0 inShare The embarrassing treatment of Kenyan artistes has Tanzanian...
Wanajamvi,
Kuna huu wimbo unaitwa nadhani "Laiti Moyo".Sina hakika umepigwa na bendi gani ila nadhani ni Bima Lee na sehemu ya maneno yake yako kama hivi"Laiti moyo ungekuwa ooh,nakifuniko radhi...
Hi wadau.......
jamani samahani naomba kama kuna mtu anajua kwaya moja au kikundi cha waimbaji waliimba wimbo wa ''amani''
juzi kwenye maazimisho ya miaka 53 ya uhuru. naombeni wimbo au jina la...
Akiwa nchini Uganda, amechaguliwa kuwa best African entertainer kwenye tuzo za IRAMWA zilizofanyika nchini marekani. Congratulation kwake kwa kuitangaza nchi.
source...
"jambo linalonitisha hivi sasa ni huo mzigo ulio nao. Utafanyaje Sauda. Mimba hyo imeshakuwa kubwa la kufanya hulion,utamwambia nin Mumeo" kwa mwenye jina ama mtunz wa hu wimbo wa zaman tafadhal...
aaaaah!hawa vijana wanastahili pongezi japo sijui hiyo maana ya 'nitakupwelepweta'
...una sifa ya kuogopwa kama defender
...sitaki nizikwe na kilo mbili kwenye mfuko
...sitaki familia ilie kwa...
Anaitwa Brina. Amefanya albumiitwayo "Sauti za kiswahili" nyimbo zote ni za kiswahili. Anaimba kwa kiswahili, ingawa yeye mwenyewe haujui kiswahili. KISWAHILI NI LULU.
Sikiliza...
Ndugu WanaJF,
Siku chache zilizopita mashindano ya Miss World yamefikia kikomo huko London, UK, na kushuhudia mlimbwende kutoka nchi ya Afrika ya Kusini akinyanyua taji hilo. Lakini kabla ya hapo...
Ni maneno ya nyimbo moja ya kale. Nyongeza ya hayo maneno ni."mimba hiyo imeshakuwa kubwa,la kufanya hulion,utamwambia nin mumeo, jambo linalontisha hv sasa, ni huo mzgo ulio nao sauda." Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.