October 11, 2014
List of most viewed YouTube videos of Tanzanian artist: List of most viewed YouTube videos - Wikipedia, the free encyclopedia
African Divas - Tanzania - Tribal Twerk - Shaa -...
Anaitwa ---- Yeung ( Tamka ---- Yang).Tulio kulia miaka ya tisini tutakuwa tunakumbuka umahiri wa huyu jamaa. Nilikuwa nikiangalia movie halafu stering akakumbana na huyu...
Hili kundi linazidi kunifurahisha na jinsi linavyoachia ngoma baada ya ngoma, leo nimesikia wimbo wao ila jina siujui wanaimba "ni..ni..niue mahaba niue", naomba mnipe link niweze kupakua.
SPECTRE Explained: All You Need to Know About James Bond's Big Bad
Sean Connery, as James Bond, demonstrates his disarming charms to Charles Gray's SPECTRE chief Blofeld in 1971's Diamonds Are...
Naomba msaada wa kujua mambo muhimu katika kuimba,vitu gan nahitajika kuwa navyo na mengine muhimu...0758082840 unaweza kunipata whatsapp kwa ushirikiano zaid
Kuna comedians ukiangalia movie lote unaboreka heri uliache, hivi nani kawadanganya kubana pua au kuigiza sauti ndo kuchekesha? Sijawahi kuona watu kama kina zumbekuku wamechekesha na sauti zao za...
huyu dogo anajua sana kuimba. leo nimesikiliza wimbo alioshirikishwa na niki wa pili unaitwa hatuendani nimmemkubali sana. ana nyimbo kali nyingi sana kama ladha ya penzi, masogange, wanitaka na...
Tanzania's top afro pop music icon, Nasibu Abdul, popularly known by his stage name as Diamond Platnumz this afternoon arrived from South Africa to a rousing welcome, as hundreds of fans lined up...
Hivi huyu msanii kizee wetu alietamba na nyimbo zake muda fulani hivi yuko wapi
Mwanzoni alisema hawapi tena wasanii nyimbo zake coz hawamlipi vizuri akajinadi kua anaimba mwenyewe sasa nina...
Ikiwa ni miez minne tangu ALLY KIBA atoe video yake ya Mwana Dar es salaam huku mpaka naandika uzi huu ikiwa na views 144,776 (Upload Months ago) mwenzake DIAMOND siku tatu zilizopita aliachia...
Ngoma imetengenezwa Bagamoyo katika Baobab Studio na pruducer Kingston. Wenyewe wameipost mitandaoni wanasema,"Ngoma ni ya leo leo na ya bure bure, haina kwere hata ukikutwa nayo unaongezwa na...
Eti wadau wa series,nimekua nikibishana na wenzangu kuhusu hili jambo. Je,kati ya 24 na prison break ipi ni series bomba? Kati ya michael scofield na jack bauer nan balaa?
Yamoto band beibe;
Leo jamani nataka niwaongelee hawa madogo, big up mkubwa fella. Nimetoka kusikiliza nyimbo zao hapa naweza sema hivi, hawa ni tishio jipya kwa tasnia ya mziki Tanzania. Kwanza...
Nimeumiza sana kichwa kwa kubishana na pple juu ya series bora kati ya 24 na Pb, kwangu 24 ni noma na hakuna kama hii,
Sababu ya kuinyima prison ni cuz matukio yake ya kusisimua ni ya dk kadhaa...
kwa hesima na taadhima nakuja tena kwenu wakuu kuomba msaada jinzi ya kuupata huo wimbo tajwa hapo juu ni baada ya kuutafuta sana nimeukosa naombeni kwa yeyote anae weza
kunisaidia jinzi ya...
Wakuu habari ya jion..mm n Mgeni hapa mwanza ila kwa mwenyeji naomba anijuze sehem za starehe kama zile za dar mana muda mwingi najihisi mpweke..hivo ni sehem gan hapa mwanza zpo km :- mlimani...
Nimeachwa hoi na huu wimbo wa Yemi Alade-Kissing kwenye kiitikio chake: "...imani zala -----, mimzaramo nala -----..."
kama unabisha usikie mwenyewe hapa: Yemi Alade...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.