Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wale wanaopiga kura kwa Miss Tanzania waendelee kwa nguvu zote. Kaingia Top Ten Leo, mukiendelea na moto huohuo kuna ushindi hapa ukizingatia Africa wameingia wawili tu, yeye na Miss South Africa..
0 Reactions
109 Replies
22K Views
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani huyu Miss wetu si mchezo, Yamebaki masaa machache, tumpigie kura kwa nguvu zote. PIGA KURA YAKO MARA NYINGI UTAKAVOWEZA. Hii ndo hali halisi hadi hivi sasa, inaonekana matumaini ni...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Davido ni mtu mwenye dharau sana!, hivi anatuchukuliaje sisi watanzania!?, yaani hiki kipande katlka wimbo wa my number one sikipendi,ni heri wangekifuta tu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
http://youtu.be/wg8SL3fzC0c Ni aibu kubwa kwa taifa! Huku Waislamu wakiendelea na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, warembo wawili, raia wa Tanzania (Wabongo), wakazi wa Sinza, Dar...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
  • Poll Poll
​ Kipindi cha nyuma nilikua nadhani kila "superstar" ni "role model" hasa nilipokua nafuatilia sana habari za watu mbalimbali maarufu duniani. Tanzania ukitaja Super Star huwezi kumwacha...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa vijana wa zamani. Nazitafuta nyimbo hizi za bendi ya Orchestra Safari Sound enzi za Ndala Kasheba. 1. Mwanakwetu 2. Nifanye nini dunia hii 3. Bakambi Nkela 4. Kupenda ni upofu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Katika miaka ya 90, hii ilikua bora kwangu, https://www.youtube.com/watch?v=jSUSFow70no&list=RDKoz393gAwjQ&index=2 Ipi ilikua yako??? Share... Weekend njema.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Download Into the Woods Full Movie Free https://www.facebook.com/IntotheWoodsDownload P.K. Full Movie Download Free https://www.facebook.com/PKfullmovie
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu. Naomba msaada. Kuna wimbo wa zaman sana,kwa mwenye jina la wimbo tafadhali. Wimbo una maneno haya " ngebe na majivuno,umepigwa na kijana mdogo" sjui ni atomic jazz au nan hawa.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
1 Reactions
0 Replies
655 Views
Stori: Shani Ramadhani STAA Jacqueline Wolper Massawe, ambaye ni muigizaji mahiri wa filamu, amewapiku nyota wenzake wa tasnia hiyo baada ya kufanya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa Jumamosi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimeonja pendo lako nimejua u mwema Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe Nitawaongoza vema waimbe kwa furaha Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe. Ukarimu wako (Bwana), na...
6 Reactions
47 Replies
6K Views
Only days after they were voted this year’s Best African Act at the MTV Europe Music Awards, Kenyan boy group Sauti Sol have been announced top royalty earners in a statement released by the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=dW6bB4_k2rA
0 Reactions
17 Replies
163K Views
Jamani nimekaa nimewaza bila kupata majibu hivi hili shindani la BBA linafaida gani iwa jamii za kiafrika na lina manufaa gani kwa maadili jamii, !?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Itaweza kuja kuingia kwenye tuzo za video bora channel O au ya kawaida sana
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kiukweli ukiusikiliza huu wimbo ni fundisho tosha kwa maisha ya sasa hasa viongozi wetu. Nenda waptrick , search kisha download halafu sikiliza tenzi za huyu jamaa yaani utafikiri hawa viongozi...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Mnamo mwaka 1993. Mwanamuziki kutoka DRC , Aurlus Mabele, na bendi yake ya LOKETO, walitoa wimbo ujulikanao kama EVELYNE.." Baadhi ya maneno yanayo patikana katika wimbo huo...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Back
Top Bottom