Nimehangaika kwa muda mrefu kuzisaka nyimbo za omary kopa mtandaoni ila sijafanikiwa kudownload hata moja kwani natumia simu,naomba mwenye link ya direct download au aliyenazo azishare hapa...
Habari zenu,, naitwa jayffa ni msanii wabongo flaver!! Nahitaji mtu atakaye weza kunipa support ili niweze kuinuka kimuzki unaweza kunipata 0758082840 ili tuweze kusaidian
Alianza msanii mmoja iaka michache ilopita akaigiza filamu iliyoitwa "SHOGA" na baraza la sanaa likaizuiwa lakini hata iliporekebishwa bado muktadha wake haukuwa na faida kubwa kwa jamii ya...
Pls share: Tazama video mpya ya joh_makini "Najiona Mimi (I See Me)" HAPA -http://youtu.be/g9cB8LVJyro- ikiwa ni kazi ya Director Enos Olik Toka Kenya na Audio mkono wa producer Nahreel, Powered...
Tumeona movie zinachezwa na mastaa mbalimbali duniani wakiigiza maisha ya Viongozi na watu mashuhuri, mfano ‘Long Walk to Freedom' aliyoicheza actor Idris Elba akiigiza kama Hayati Nelson...
Aisee hivi kile ni nini au ni macho yangu ki ukweli li kipindi halivutii hata kidogo haichekeshi hata kidogo nimeshangaa sana ina maana nyinyi ndo mlikaaa miez kadhaa mkajipanga ndo kmmerudi kwa...
Pls Share: Follow nikkimbishi therealnikkimbishi & download wimbo wa "Tulia" ft Lydia HAPA https://mkito.com/song/tulia-ft-lydia/7512 produced by ringtone toka Street Sound Music powered by...
Mshiriki wa Bigbrother mwaka 2014
Idris Sultan mshiriki wa mashindano ya Big Brother hotshots.Toka Tanzania ameibuka kidedea wa mashindano hayo yaliyokua yakifanyika nchi Afrika Kusini.
Idris...
Habari zenu wanajamvi, ule mgogoro wa chinichini ambao unasifika kwa kukuzwa na media hatimaye umehitimishwa rasmi baada ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kufanya kikao cha upatanisho baina ya mastaa...
Saa tatu kamili ET kipindi cha Eaten Alive kitarushwa kwa mara ya kwanza na stesheni ya Discovery.
Eti jamaa alienda Peru kusaka joka la Anaconda ili aweze kupata tajiriba ya kumezwa na joka...
Ningependa nitangulize pongezi nzito kwa kijana Idris kwa USHINDI na mchango wake mkubwa kuleta ma $$$ Tanzania.
Tanzania's Idris Beats Out Nigeria's Tayo To Win Big Brother Africa Hotshots...
kipindi cha nyuma kidogoo kam miaka mi5 sasa imepita niliona akipiga picha kwenye pool akisema
mjengo wangu unaendelea hivyo
so far sikuona kingine wala mkamiliko wa ile nyumba
naomba pia...
Mpigie kura mshiriki pekee wa Tanzania Idris na kuleta ushindi nyumbani. Tuma Idris kwenda 15426, gharama yake ni Tsh 600. Hii ni kwa wateja wa Tigo tu. Kuwa mzalendo.
KWA WA ZALENDO WA NCHI YANGU TANZANIA.
Na hii ndio Zawadi kwa Taifa langu kadri ya uwezo wangu. Jiamini Wewe na Mimi tu Watanzania, tukijua hivyo tutailinda AMANI yetu na Upendo tuliyoachiwa na...
Ikiwa tunaelekea mwisho wa mwaka 2014, tumeshuhudia mengi kutoka kwa wasanii wa hapa Tanzania, Juhudi na jitihada zimefanya wasanii wetu kuvuma kwenye media nyingi wakiwa na support za mashabiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.