Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wazima wana jamvi? Linapokuja swala la nyimbo za mapenzi wengi hutaja R'n'B na Pop kuwa ndo kuna nyimbo nzuri za mapenzi. Je umeshasikiliza nyimbo za hawa watu kwenye muziki wa country? Je...
1 Reactions
58 Replies
15K Views
Msanii R.O.M.A mkatoliki a.k.a Ninja amedondosha bonge la track kwa jina la Maumivu akimshirikisha msanii Bob Junior na ndie producer wa wimbo huu toka sharobaro Record. Wimbo umetambulishwa siku...
2 Reactions
7 Replies
9K Views
"Wapendwa mashabiki wangu na wapenzi wa miduara kwa ujumla nifursa nyingine naitumia kutekeleza ahadi yangu kwenu ya kukupatieni ngoma mpya kila tarehe 15 ya kila mwezi.Leo hii nadondosha mduara...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamii naomba msaada mnipe link ya kupakua hii series ya kikorea ya Swallow the sun ikiwa na english subtitle. Maana nimetafuta bila ya mafanikio,nimeingia hadi kwenye torrents hola au unakuta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Historia ya mwanamziki maarufu Diamond kabla hajafikia umaarufu wa sasa unaijua? Kama huijui isikilize hapa Mwanamziki Kide akiielezea kwa njia ya wimbo. <br>
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Umofia Kwenu wana JF, Msanii aliyetamba miaka ya 2005 na kundi la Nako 2 Nako lord eyes amegongesha taya na watangazaji wa E.A radio kupitia segment ya Nyunyuzi kwamba next week anaachia ngoma...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Nimekaaa nimemfatilia sana huyu jamaa bado simuelewi elewi mpaka sasa,unashangaa anatoa video kali sanaaa na yeye ndio mwenye wimbo ila kwenye huo wimbo sioni anachoimba au mimi ndio sijui mziki...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimeusikiliza huu wimbo mpya wa Mpoto Kwa kweli ni ujumbe muhimu sana unaotakiwa kumfikia Rais. Kama bado hujausikia bofya hapa chini http://m.youtube.com/watch?v=3OZF1yr41Sw
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hamjambo kila mtu ! I like this Tanzanian song called "Vifuu Tundu" : https://www.youtube.com/watch?v=v3OJJRnnsQs Could some one help me by writing the lyrics down, please ? Nimeanza kusoma...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tukiwa tukijiandaa na W.end Kesho unawenza kuandaa vitu vyako safi na murua. Series hizi ni mpya pia ni nzuri sana. 1. Tyrant hii imefikia epsode 1-8 2.Extant hii ipo 1-6 3. Dominion 1-7...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna msanii wa kike sijui ni Mkongo ama vipi lakini huimba kilingala anaitwa Ayila, ana sauti nzuri sana nilipata kuziona nyimbo zake Clouds Tv wakati iko kwenye majaribio ya kuruka...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
1.riyama ally(fungu la kukosa) 2.wastara juma(kijacho) 3.monalisa(my sister) 4.aunty ezekiel(mrembo kikojoz) 5.irene uwoya(baamedi) 6.mainda(hekima) 7.davina(ukurasa mpya) 8.cathy rupia(money and...
1 Reactions
13 Replies
12K Views
jamani naombeni msaada wenu nimetafuta ninavyojua nyimbo ya Nemo baby sema ila sijafanikiwa so nahitaji mnisaidie link or mahala p kuipatia hiyo nyimbo.
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Nimefanya uchunguzi mdogo tu nimegundua kuwa wasanii wengi wa music Tanzania ni wafupi, sijui kwanini? Au kuna uhusiano wowote ule kati ya ufupi na kipaji? Au ndio ile theory ya kwamba watu wafupi...
0 Reactions
76 Replies
14K Views
Nisalimie sana Humphrey Bogart Lauren Bacall was among the last of the old-fashioned Hollywood stars and her legend, and the legend of Bogie and Bacall - the hard-boiled couple who could fight...
1 Reactions
0 Replies
835 Views
Umofia kwenu igwe na oga wa JF, Msanii Emmanuel Mgaya aka Masanja Mkandamizaji alijipatia umaarufu kwenye tasnia ya uchekesheji ameamua kutoka na album ya "MTOTO WA MFALME" yenye jumla ya nyimbo...
0 Reactions
30 Replies
13K Views
Wanajukwa kuna wimbo mpya utazinduliwa hivi karibuni umeibwa na msanii anaitwa linex unajulikana kwa jina la wema kwa ubaya, linex katungiwa na Zitto Kabwe, hatujui kwa nini wameamua kuupa jina la...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Msaada wadau..kama unaifahamu movie yoyote ambayo kuna star wa prison break...wale akina michael,linc,sara,killerman,mr kim,tbag,sammy,au sucre anitajie ili nidownload...nawapenda sana hawa jamaa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
At least 2.2 million people have already watched "The Expendables 3." The problem for the movie's distributor, Lions Gate Entertainment Corp., is that its big-budget action movie doesn't open...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii Nimeiona mahali hivi Mtangazaji wa kipindi cha sporah show ametuhumiwa kwamba anapenda kukuza mabeef ya wasanii tanzania ama ni yeye kuwa na elimu ndogo ya utangazaji kiasi kwamba anakosa cha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom