Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Mimi sio mpenzi sana wa kuangalia filamu, ila mara chache tu huwa naangalia hasa kwenye mabasi ninaposafiri. Kitu kinachonikera kwenye hizi Bongo movie hasa za JB ni kutumia wahusika wale wale...
3 Reactions
66 Replies
13K Views
Wajameni nisaidieni kunijuza jina la Msanii na la Wimbo; Huwa naufumania tu radioni ukiishia, Ni mahadhi ya mchiriku na mashairi ni "Unajiamini kwa uwezo wako na unajiona kama vile uko peke yako...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jamani kama kuna mtu anaweza kunisaidia nyimbo za SOS B za miaka hiyo... maana da huyu jamaa nampenda sana... nimeziangalia kwenye intanet ila duu sijazipata...naombeni msaada jamani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwanamuziki kutoka Mwanza,Bob Haisa ameanza ku-shoot video ya wimbo wake mpya 'Lamsondo' akiongea na blog hii alisema "Jun 15, 2014 Niliuachia rasmi wimbo Lamsondo kupitia mitandao mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wasalaaam! Wana jamvi ni ukweli ulio wazi kuwa hapa kwetu music wa dance haupewi muda wa kusikika hewani kama ilivyo bongo flavour! Na pamoja Music huo kupewa muda wa hewani bado hukaa masikioni...
6 Reactions
146 Replies
27K Views
habari za kazi wakuu, nina shida na jina la romantic movie moja jina nimesahau ila naweza kuelezea kwa mtu atakayeweza kukumbuka naona aniambie ili niitafute. nilishawahi kuangalia mara moja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hebu check hii video kama wewe unapenda kutengeneza beat. Huyu jamaa katisha na studio ya jikoni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wale wenzangu wapenzi wa muziki huu hasa 'gangsta rap' au g-funk kama wanavyoiita si jina geni Snoop Dogg na pia nadhani mnaikumbuka albam yake iliompa umaharufu mkubwa inaojulikana kama The...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
cc:georgeusmimi,malkia,mamayoy o,eiyer,measkron, Blessed,BAK, sr bachelorhttp://youtu.be/zIBsnuDpMuk?list=PL4A99669E7CB FD969
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilitafuta sehemu yenye kichaka nikijificha,ule mwanga mkali wa gari ulizidi kukaribia mahali nilipokuwepo,niliomba sana ili wasiweze kuniona,maana sikujua lile gari lilikuwa ni la watu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watch Bollywood Movie Love in Jungle Full Length Movie on you tube with HD quality
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Msanii wa Bongoflava ambae amerudi kwa nguvu sana katika tasnia hiyo Leo katika mechi ya mpira wa miguu kati ya Bongo Flava na Bongo Movie iliyochezwa katika "Tamasha la Matumaini" lililofanyika...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
wanandugu zangu humu jf hamjambo? nimeipenda sana jf maana hata kama una mawazo ukiingia tu humu tayari unakuwa kama umekunywa tu bia kadhaa twa kuchangamsha akili,wajameni mie nimejiunga majuzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo katika pitapita zangu nimekutana na ngoma hii #Komaa Isikilize au kuishusha hapa hapa JF
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Mie binafsi napenda sana kuwashkuru AZAM Tv kwa kurusha Live Tamasha la Matumaini. Ni matangazo ya ubora wa hali ya juu sana. Mechi zimeisha Za Bongo movie na maswahiba zao,wabunge wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau ningependa kupata idea inakuaje movie inavuja online kabla ya kuachiwa rasmi. Hii inatokana na movie ya the expendables 3 kuvuja ikiwa zimebaki wiki 3 ili itoke rasmi. Pia kwa wapenda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mtangazaji wa kipindi cha The Colbert Report, Stephen Colbert jana amempa shavu waziri mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda wakati akikikosoa kitabu cha mke wa rais wa zamani wa Marekani, Hillary...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wote hawa ni Maproducer wakubwa ni moja ya mapeoducer wa Mwanzo kabisa walionza na mziki wa bongo fleva wote hawa wana mchango mkubwa katika kuku kwa mziki wa bongo fleva Master Jay akitokea...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Licha ya kuwa ni radio yenye kuchukiwa na wengi kwenye mitandao ya kijamii Radio Clouds Fm ya Tanzania imeingia kwenye Top 20 ya radio bora Africa. Source...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
TrendyAfrica Magazine President Barack Obama and First Lady Michelle Obama greet with H.E. Paul Kagame, President of the Republic of Rwanda, and his daughter. By Dami Odetola for Trendy...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom