Kwa wale wadau wa movies,
Kama kuna anayefahamu spy movies au ant terrorist movies mpya zilizotoka kati ya May -August 2014 anifahamishe tafadhali.
Ahsanteni.
Ni tukio ambalo kamwe sitalisahau katika maisha yangu. Mke wangu Maria Benard, umenivumilia kwa mambo mengi sana kiasi kwamba a fake wife can't stand those episodes.
Wewe ni mrembo...
Hivi karibuni takribani mwaka huu wote hadi tulipo leo TBC1 na Komedi ya Masanja, Choti etc haina mvuto kabisa kwa watazamaji kiasi cha watu kukimbilia EATV kule kwa bambo ambao wanaonekana kuziba...
Wakuu, navutiwa sana na hii soundtrack inayotumika kwenye kipindi cha BONGA STAR TV kama ambavyo unaweza kuisikia kwenye clip hapo chini kuanzia 0:00 hadi 0:10.
Naombeni msaada, kwa yeyote...
- Wananchi 6,000 au Elfu Sita walijitokeza kushiriki kwenye ile Party yangu niliyoitangaza siku za nyuma hapa JF, ukumbi ulikuwa na uwezo wa kuchukua watu 4,500 tu kwa hiyo wengine 1,500...
Habari zenu wanajamii katika kipindi hichi cha skukuu ya eid nyimbo ambazo zilibamba Club na kufanya kila mtu mzuka kuwa juu na kucheza bila ya kuchoka ni hizi 20 bora.
1.Mafikizolo ft Davido...
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akikata utepe wakati akizindua rasmi albam ya Rose Muhando mwimbaji wa muziki wa injili inyoitwa Shikilia Pindo la Yesu katika onesho kubwa la uzinduzi...
Ngoja nijinoe mbavu kwani baadae Golden Tulip itakua ni "sheedah".
Jana niliwashuhudia wachekeshaji Anne Kansiime, Omond na Mc Pilipili katika vyombo vya habari. So, leo ndio leo inabidi...
Kuna muvi niliwahi kuangalia, nataka niitafute tena niiangalie ila kwabahati mbaya nimeisahau jina::: ilikuwa inahusiana na marriage, wamecheza wamarekani weusi, inavyoa anza kuna wadada...
Hii niiliyo translate in English
The Tanzanian hip hop is broken, what could save him, young people who want to save him and his ideas were.
The hip-hop variant Bongo Flava stood for the...
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=174796&d=1406983122
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=174796&d=1406983122
Hizo nimezirekodi kwa kutumia simu lakini...
Akitangaza Tamasha kubwa la Kumshukuru Mungu Kwa Kanisa lake Kupata Helkopta mpya Kwa Ajili ya Uinjilist Tanzania, litakalofanyika Kwenye viwanja VYA Kawe-Tanganyika Packers, siku ya Jumapili...
Jamani mimi huwa nayafuatilia sana,yanaonyeshwa EATV Jumamosi saa moja usiku na j5 saa moja.
Ila siwaelewi majaji hua wanaangalia vigezo gani kwa washiriki.
Utakuta washiriki wanadance vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.