Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Tungo hiii muumbaji wa kike anaitwa nani na wimbo huu unaitwajee yeyote wimbo umetoka muaka ya 2000 ---2005 Tutulie mpenzi wangu, mimi wako daima, wasikutishe kwa maneno, mimi ni wako daima
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Testamao ya Pascal-Emmanuel Sinamoyi Tabu! RIP one of my day-life musician ever ! The voice of lightness ! Tuta kukumbuka kwa vitu vyako vikali kama Mase, kaful mayay, Muzina, Mokolo...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Amo Blaze 'Foko Jembe'. Mwenye kujua huyu jamaa alipo anijuze. Dah mchizi kitambo sana alikuwa anafanya vizuri sana kwenye radio. Sauti nzito n anaujua muziki pia. Ningefurahi ningemsikia tena...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
http://www.mg.co.za/articlePage.aspx?articleid=322400&area=/breaking_news/breaking_news__national/ Lucky Dube shot dead in Jo'burg Mail & Guardian Online reporter and Sapa | Johannesburg...
0 Reactions
48 Replies
10K Views
Nimeikuta mtandaoni nami naileta kama ilivyo: Few minutes ago, mwanamuziki LADY JAYDEE ametangaza kujitokeza kwa msanii ambae anadai alishafanya single yake ya sasa inayojulikana kama JOTO...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
leo ndio hawa jamaa kulwa na Doto wanatumbuiza mamia ya wana Dsm,kwa sisi tulio mikoani tunaikosa burudani hiyo. Wale mnaohudhuria show hiyo tupeni UPDATES ya kinachoendela kutoka huko. Picha za...
0 Reactions
117 Replies
26K Views
Mpaka muda fainali hazijaanza, Tbc wanachofanya tangu saa tatu Usiku ni kupitisha ujumbe kwenye luninga kuwa fainali zitaanza muda wowote Ngoja tusubiri lakini inaelekea kuna shida mahali
1 Reactions
121 Replies
16K Views
Nyimbo za bandi zetu za zamani zilizofanyiwa remix kama makumbele ,watoto wamekuja juu,tulizaliwa wote kijiji kimoja na nyingine nyingi zikiwa kwenye non stop ya 79 min link ya kudownload hii...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
RIWAYA:BALAA MTUNZI: Ibrahim GAMA SEHEMU YA KWANZA “Mahabusu na Wafungwa simamaaaaa, kofiaaaaaa towaa! Selo salama kabisa Bwana mkubwa , tupo tayari kwa mafungio. Tunafungiwa mahabusu mia...
1 Reactions
0 Replies
8K Views
Hiki Ndicho kilichomsibu Msanii BERRY WHITE alipochoma moto Gari ya demu wake baada ya kuhisi kuwa Anasalitiwa Penzini..!! ​ Berry ambaye jina lake halisi ni Mbaraka, alikuwa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hi Wadau! Natumai hamjambo, kuna wimbo mmoja wa Monika Seka sijui unaitwaje ila nakumbuka kuna sehemu anaimba "guantanamera guantanamera....." naomba kwa mdau yoyote alionao aupload au aweke link...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Ninafahamu kiingereza ni lugha yetu ya tatu, hivyo sio ajabu mtu kutokuifahamu kiufasaha.. Lakini unapofanya kazi yako ya sanaa, iwe kuimba au kuigiza na ukataka 'kuchomekea' au kutumia neno la...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Kwa jinsi alivyoibeba movie nzima ya prison break kwanza kabisa haikupaswa afe,pili naona wamezingua sana juu ya kifo chake..kwani wametuonesha tu kabuli lake.bila kujua alikufaje??? Hii movie ni...
1 Reactions
26 Replies
8K Views
Vote for Hisia to save him at #TPF6...sms TUSKER 12 send to; 15324 - If you are in Tanzania 21001 - if you are in Kenya 8338 - if you are in Uganda +254739966811 - If you are in Burundi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wadau wa burudani naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia nikapata nyimbo za mwanamuziki wa siku nyingi anayeitwa SAM FAN THOMAS (hata sijui ni wa nchi gani) nakumbuka nikiwa mdogo tulikuwa...
8 Reactions
34 Replies
7K Views
Wpendwa mie ni mshabiki sana wa hope channel. Natumia dish la kawaida. Sasa nina mpango wa kutumia dstv or any other tv providers inayokamata. Satr times wanyo ila huwa ikatika katika sana siyo...
0 Reactions
2 Replies
829 Views
kuna nyimbo mbili ambazo zote ni soundrack nyimbo za Mario Winans moja ilikuwa soundrack ya filam ya Edie Murphy ya DR Dolitle.. ingine ilikuwa tv movie inaitwa 'the red sneaker' nimezitafuta...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
salaam wakuu...wiki iliyopita nilitumiwa nyimbo kama nne hivi za msaniii mmoja anaitwa baba kundambanda...jamaa ameongea maneno makali sana lakini pamoja na yote ameongea ukweli......mi nasema...
2 Reactions
6 Replies
7K Views
Mwanamziki Justin Bieber ni msanii ambaye anavuma sana haswa kwa vijana na akina dada. Staa huyu wa miaka 19 ameweza kuiteka dunia kwa nyimbo zake. Je wazifahamu nyimbo zake? Waweza kugawa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom