Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
R & B 90's
1 Reactions
2 Replies
897 Views
Wote ni wanamuziki kutoka Jamaica,wanaimba muziki ambao una ladha nzuri kabisa sweet reggae/riddim,binafsi napata wakati mgumu kujua nani mkali kati yao. Chini ni baadhi ya nyimbo za kila mmoja...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
who z da best amongst da mentioned above na anakufanya u enjoy da show unapomckiliza?
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Nimeona tiketi za concert ya Justin Beiber katika tour yake tarehe 29 Nov, 2013 atakayofanya Sydney Allphone arena nimeshangaa the way hiyo tiket inauzwa!! na sio mwanamziki maarufu ama legend...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je unaishi Dar-es-Salaam..? Unakipaji, Uwezo na Elimu ya kupiga picha, kushoot Video na kuedit...? NOTE:- 1)Uwe na Uwezo wa kutumia Camera zote Old na za kisasa.... 2)Uwe na sample za kazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=XvFYhm7_MIk
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Lionel Richie - To Love A Woman ft. Enrique Iglesias - YouTube To Love A Woman lyrics-Enrique iglesias ft LIONEL RICHIE Enrique: I don't know what it is but she drives me crazy I don't know what...
0 Reactions
1 Replies
713 Views
Kama kuna mtu anauza hizi muvi/au anatoa bure naomba tuwasiliane tafadhari.... 01. Final destination, part1.......hadi mwisho 02. Wish Master, part1......hadi mwisho 03. Wrong turn...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Word Up!!! Hopefuly weekend mswano.....kuna jambo naliona sana siku hizi kwenye majukwaa ya matamasha mbalimbali pindi wanapopanda wasanii wa muziki wa Hiphop,suala la kutokuwa na watu wa kubreak...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi guru's any one with this movies complete series.Kindly share with me.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Pasi shaka kwa wapenzi wenzangu wa 24 (nimeirudia mwanzo-mwisho 3times) kuna baadh ya matukio ulitokea kuyakubali sana. Hebu tushee hapa: Kwa upande wangu, mwanzoni kabisa hakuna...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wandugu ninaomba anaeujua jina lake halisi wimbo wa African Stars band a.k.a Twanga pepeta International we vionjo vya "SUGUA KISIGINO" naomba atupie jina lake hapa ili niweze kuutafuta.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wasalaam wana jamvi!! Naomba mwana jamvi mwenye nyimbo hizi mbili zilizo katika high quality aziupload nitadownload nimetafuta kwenye net lakini nimepata zilizo na low quality nyimbo zenyewe ni...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
IRENE UWOYA "SHIGONGO ANANICHAFUA KWENYE MAGAZETI YAKE SABABU NINA KESI NAYE MAHAKAMANI" Ukurasa wa mbele wa gazeti la Risasi la leo Jumamosi (Sept 14) umetawaliwa na habari...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Duh wakuu leo karibia siku nziMa nimekuwa nasikiliza wimbo huu hakika ulinifanya nimchimbe muimbaji wa nyimbo hii Ti kwenye google kwanza nimekumbuka mbali sana hasa mashairi na chorus aliyoimba...
0 Reactions
1 Replies
844 Views
..."we Tatu kidonda chako kwangu maradhi" SIJAMUELEWA DOGO, ISIJEKUWA FUMBO LA TUSI!
0 Reactions
12 Replies
4K Views
First time I heard house rhythms in 2010 when I was in Botswana,very popular kinda of music down there, it was a bit annoying at first...As days went on I fell in love with this kind of tone...
0 Reactions
4 Replies
941 Views
http://www.youtube.com/attribution_link?u=%2Fwatch%3Fv%3D_y4QUr1AltY%26feature%3Dshare&a=_wgcTY2xr7MZCtiT8WudVA
0 Reactions
13 Replies
3K Views
kama hujaona hii sinema itafute uangalie to me it is worth to sitdown and watch 2 Guns ya Mark Wahlberg na Denzel Washigton
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Back
Top Bottom