Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
HAVINTISHI 1 HUSQER BALTAZAR (0657762790) Siku moja nimekaa nyumban nikashangaa baba anakuja na shangazi pamoja na mwanaume ambae alikuwa anaonekana kama hajapishana sana na baba, “havintishi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Taja Mwimbaji wa injili na ngoma zake unazozipenda😍😍😍 Sedekia-zote 1. Ni Neema 2. Dunia ya madiliko R. Muhando almost zote Shusho ndio kabisaaa Essence of Worship B. Bukuku-Nakutegemea Mungu...
5 Reactions
121 Replies
6K Views
siku ya jumapili, maskani niliketi. kwa macho yangu mawili, nikifanya utafiti. akapita kimwali,tena alikua fiti. alikua pisi kali, rangi yake chokoleti. sifa anastahili, yuko vizuri pale kati...
1 Reactions
10 Replies
476 Views
Habari ndungu zangu,nimejaribu kupost hi post kwenye jukwaa la dini lakini nimeambiwa "Sina enough permission to post only members" naombeni mwenye kujua majina ya nyimbo za katoliki au link...
3 Reactions
17 Replies
24K Views
Hatoki karb yako, pale ukiwa na hela. Ataacha chokochoko, penzi lote utapewa. Hata ukiwa mnoko, sifa tele wamwagiwa. Utapata madikodiko, na mapenzi utalewa. mke atakuelewa pindi ukiwa na hela...
3 Reactions
9 Replies
422 Views
Wakuu kwema? Alielewa mistari ya Dizasta Vina kwenye Underrated remix ya Stamina. Atugee somo kidogo. Mana daah..😩
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Mgahawa wa Kwanza kabisa Duniani wa Vinywaji na Chakula Unaoruhusu wateja wake kupata huduma ya Chakula na Vinywaji wakiwa uchi Kama walivyozaliwa ni Mgahawa wa The Bunyadi. Wahenga wanasema Kua...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuanzia saa 4 usiku hadi saa 7 ni Rumba, Pachanga, dansi za <1990s Tanzania RFA. kutoka saa 7 mkesha wa wahenga, TBC TAIFA, Mbazigwa hassan na Asossa. For music lovers!
1 Reactions
2 Replies
276 Views
naogeshwa kwa iliki..nafukizwa kwa ubani.. nisiwe mnaafik..ananipenda si utani.. mtoto shokishoki..anatokea visiwani.. tena amejikoki..haniachi asilani.. penzi lake mshikaki..lina tamu milioni...
0 Reactions
3 Replies
311 Views
tena sioni aibu.. kukutaja hadharani.. wew wangu tabibu ..tamu yangu kitandani.. mke wangu mahabubu.. hebu tuache utani.. kwako wew -mimi bubu,nabaki kukutamani.. kila kitu nahusudu ... nje hadi ndani
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Habari zenu wakuu Hope mko powa kabisa. Kwanza naomba ifahamike kabisa kwamba kuwa na UKIMWI sio mwisho wa maisha kwakua wapo watu wengi wanaoishi na ugonjwa huu lakini bado wanaendelea kuishi...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
WAKUU KWEMA. HABARI ZA ASUBUHI. TUKUTANE KIDOGO HAPA NDUGU ZANGU WA HIP HOP. Wakati tunaenda kuumaliza huu mwaka 2023. Nitajie Top 10 ya ngoma zako bora ambazo umesikiliza sana kwa mwaka 2023...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nahitaji series yenye maudui ya magenge ya kihuni, uhalifu, ubabe, madawa ya kulevya hadi sasa nimechekihizi series ambazo kwa hakika zimeniridhisha -narcos (toleo la pablo na la mexico)...
2 Reactions
29 Replies
5K Views
The first day we met ilikuwa last week, on Christmas day, tulikutana kama bahati tu bar fulani hapa hapa Dar. We stay at the same table having some drinks and stories. Baada ya kuzoeana kidogo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwangu mimi mpenda muziki hizi nyimbo zimenivutia zaidi kwa huu mwaka 2023 nimezisikiliza mara nyingi. Sio nyimbo zote ni za mwaka 2023. 1. 23- Burna Boy 2. Renegade - Jay Z ft Eminem 3. House...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
UTAJUAJE NI BONGO MOVIES: 1. Jini akifika barabarani anaangalia pande zote ndo avukebarabara. 2. Matajiri majumba yao yana askari badala ya electric fence & gates. 3. Trailer inachukua dakika...
8 Reactions
193 Replies
30K Views
Uharamia (piracy) sio jambo jipya katika sanaa nchini, lilichangia kuanguka kwa BONGO MOVIE hasa baada ya mapato kupungua leo wasanii wamebaki kulaumu foreign films, TV shows and series wakati...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mapenzi ya leo pesa..usikubali kudanganywa, Usipo kua na pesa..mapenzi yatakuchanganya, Yaani bila hata kupepesa..mke utanyang'anywa. Kama bado huna pesa, hebu anza kupambana, Tena acha...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Back
Top Bottom