Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Huu ni wimbo ulioimbwa na Mwanamuziki wa Africa ya Kusini Mwanamama Yvonne Chakachaka moja ya nyimbo bora dunian na zenye maudhui ya kuiambia dunia kuhusu upendo. Huu wimbo uliimbwa na Mwafrika...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu naombeni mdondoshe movie kali[emoji116][emoji116]
2 Reactions
58 Replies
5K Views
Anonymous (437d)
Ni kwa miaka mitatu sasa bodi ya filamu nchini Tanzania imekuwa ikiandaa tamasha la filamu nchini. Na kila mwaka kumekuwa na maneno ya kukatisha tamaa kwa waandaaji filamu nchini kutokana na hisia...
1 Reactions
1 Replies
442 Views
Habari wakuu, tunahitaji mpiga bass guitar wa kila Jumapili kwenye ibada kanisani, muda kuanzia saa tatu mpaka saa tano na nusu. Masaa mawili na nusu kila Jumapili, kwa bei ya 15000/= kila...
0 Reactions
2 Replies
403 Views
SITASAHAU NILIVYOPATA UMAARUFU BAADA YA KULALA NA MAITI MOCHWARI LAKINI BAADAE YALIYONITOKEA SIKUTEGEMEA~01 Ni miaka mitano imepita[emoji800]tangu nilipokuja Dar es salaam kutafuta maisha haikua...
8 Reactions
100 Replies
10K Views
So far tunaelekea june kuugawa mwaka, mpaka sasa movie gani ya mwaka huu 2023 imekubamba? Mimi mpaka sasa kuna hii The covenant
9 Reactions
92 Replies
9K Views
Nimekileta hapa kwa idhini ya mwandishi John Wisse-0758321627 Download PDF
0 Reactions
13 Replies
11K Views
Kama kawaida, siku hii muda huu huwa ni muda wa Manju wa muziki, Masoud Masoud. Uzuri wa kipindi hiki ni mchangamano wa Muziki na historia. Leo ni special kwa ajili ya christmas na nyimbo zake...
1 Reactions
3 Replies
490 Views
Habari wanajamii,napenda kuuliza maswali yafuatayo; Kila Mbongo wa Extra Musica yu wapi sasa bend hyo maendeleo yake yakoje na huyu Ramatoulay ndio yule aliyeimba ule wimbo wa alaj maana majina...
0 Reactions
89 Replies
48K Views
Wakuu kwa Sie wahenga miaka ya 87-95 kuna instrumental zilipigwa siku za vipaimara nk ni za Dini sina uhakika ila za mamtoni pls mwenye Nazo
1 Reactions
4 Replies
278 Views
Wadau kati ya oval na sister's ipi ni series nzuri ya kuangalia
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwanza kabisa Wife nisamehe kama utasoma uzi huu.....lakini pia nisifie kama utasoma uzi huu..... Nilikuwa najichukulia dhaifu(according to kamwili kangu,...na vile sina ka ist...)kumbe kuna...
3 Reactions
5 Replies
450 Views
Kama hujaicheki itafute kisa chake kina husu mdada mmoja hivi ambae alikuwa akizinguana na mumewe na kupelekea kupata msongo wa mawazo sana na pia bi dada alikuwa ni mwalimu wa chekechea sasa...
2 Reactions
3 Replies
402 Views
Tafuteni Movie Moja Inaitwa FAR FROM HOME ni Wanigeria walioigiza. Yaani Movie imefanana na zile Movie za Kimarekani Kabisa asilimia 100 mpaka wamewazidi, sijui hapa kwetu tunafeli wapi...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Bongo star search (BSS) kimekosa mvuto na sijui hao wakina Master Jay na Salama jabiri wanatafuta vipaji vya namna gani?? Kama ningepewa nafasi ya kupendekeza Basi @NALIANGWENA ningependekeza...
1 Reactions
4 Replies
534 Views
Wanabodi, Niko kwenye dala dala naelekea viwanja vya Mnazi Mmoja kusafishia macho siku ya "Wanawake Duniani", dereva kaweka Radio One Stereo, kipindi cha Mtaa wa Mangoma kinachopiga nyimbo za Old...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
SEHEMU YA KWANZA.(utangulizi) Sam, saam , samsoniii, huko unakoenda hakikisha unakula huko huko, maana huwezi kunisumbua kila siku , kwanini husikii weee mtoto Sasa nikwambie tu kuwa leo hakuna...
17 Reactions
1K Replies
150K Views
Nimehudhuria sherehe ya maadhimisho ya miaka 3 ya The Legend, DJ JD John Dilinga Matlou hapa Isumba Lodge. Sherehe zilifana sana, zilitaka kuingia dosari pale JD alipotangaza pia tunasherehekea...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Katika kikao kilichofanyika huko Jijini Accra, Nchini Ghana, kilichoandaliwa na wasanii wa Afro beat kutokea Nchini gani, kimezua taharuki baada ya wasanii hao kuchachamaa na kutaka Sehemu zote za...
1 Reactions
5 Replies
839 Views
Back
Top Bottom