NYEMO CHILONGANI.
UCHAWI WA BILIONEA BAZOKA.
0718069269
Ndiyo kwanza mwanga wa asubuhi ulikuwa ukitokeza, watu waliokuwa wakifanya kazi sehemu za mbali, wakaamka na kuanza kujiandaa kwenda...
Kwa starehe za kiwango cha kutisha kwa sasa mahali pake ni katika visiwa Maldives vilivyopo ndani ya Bahari ya Hindi huko Asia.
Haipo starehe ndani ya Ulimwengu huu utaikosa huko Maldives...
Nitakuwa naweka hapa nyimbo za kitanzania ambazo mashairi yake ni ya busara na ya kizalendo kuanzia mwaka 1960 hadi leo. Jisikie free kuweka za kwako pia; nitaanza na nyimbo za 1960-1970 halafu...
Hope wote mko salama,na kwa anaumwa basi maombi yangu yapo juu yake
Kumekua na wimbi na kampeni kubwa inayosema KATAA NDOA,
Leo katika kujituliza nikaona ngoja nimsikilize dizasta maradona...
RIWAYA: WAKALA WA SIRI
Mtunzi; Robert Heriel
0693322300
Episode 01
MAABARA YA BORETI.
Jokofu maalumu kwa ajili ya kuchunguzia maiti lilikuwa limezungukwa na Madaktari bingwa wa maswala ya...
SIKUJUA KICHAA ANAELALA NJE YA JENGO LANGU NI MPELELEZI ANAEMTAFUTA GAIDI WA KIZUNGU NILIYEMUOA BILA MIMI KUJUA NI GAIDI😳🔥
Sehemu ya Kwanza ( 1 )
***************
KILA Mtu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥...
MWANAHERI BINTI WA KIJAKAZI 1
MTUNZI SMILE SHINE
WHATSAPP:0688156169
MWANAHERI Ni binti alielelewa na mzazi wake mmoja ambae Ni mama yake baada ya baba yake mzazi kufariki miaka mitano...
Alieangalia hii series asimulie visa vya mulee,,,humu kumejaa usalitiii ,mapenzi,,yaan ni vurugu tupu ,wenzetu wanajua kuigizaa
Nimeumia yule Lincoln kuuawa jamani,ningependa awe hadi mwisho wa...
[emoji625]Indiana jones and the dial of destiny.
imeachiwa leo baada ya kukaa cinema kwa zaidi ya mienzi miwili.
Indiana jones ni moja kati ya movie kali za muda wote kwenye upande wa Adventure...
Salaaam wakuu wa JamiiForums,
Tarehe 10/12/2023 kulikuwa na uzinduzi wa taasisi ya professorjay foundation ambayo lengo lake kuu ni kukusanya michango kwa ajili ya matibabu ya wagonjwa wa figo...
YouTube leo imetangaza kuwa YouTube Music na YouTube Premium sasa zinapatikana #Kenya.
---
YouTube imetangaza kuwa YouTube Music na YouTube Premium sasa zinapatikana #Kenya. Upanuzi huu...
Hongera sana #Kondeboy kwa kuingiza wimbo 1 kwenye top 5 ya nyimbo bora za Afrobeats kwa mwaka 2023 huko Spotify..
Siku zote kazi bora huwa inaonekana, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Ukitoa...
FEMI (play boy) [emoji3590][emoji174]
MTUNZI: PATRICIA ANTONY
SEHEMU YA: 01
MAWASILIANO: 0783642467
Anza nayo.....
Femi kijana fulani hivi machachali ambaye shida anaisikia tu kwa wengine...
KWAAJILI YAKO MAIMUNA [emoji24]
MTUNZI: PATRICIA ANTONY
SEHEMU YA: 01
MAWASILIANO: 0783642467
ANZA NAYO.........
Rehema mwana mama wa miaka 63 aliyejaaliwa watoto wawili wakike na wakiume...
Mezani kuna 'Playlist' ya Nyota hawa wa Bongo Flava
1. Harmonize, Jux & Marioo
2. Diamond, Barnaba & Jay Melody
3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso
Utasikiliza kundi namba ngapi?
Umepewa Playlist tatu hapa zina ngoma za
1. Prof. Jay, AY & Chid Benz
2. Fid Q, Mwana FA & Joh Makini
3. Ngwair, Langa & KingZillah, Utasikiliza kundi gani hapo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.