Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wana Jami forums naomba ni wasalimu wote kwa heshima zote. Leo nakuja na story ya kweli ya mtoto wa waziri maarufu kwenye awamu ya nne. Huyu kijana ambaye Sasa ni mtu mzima. Nimekutana naye...
10 Reactions
59 Replies
5K Views
Habari za weekend, leo nimekumbuka tukio moja la 2012. Sisi wenye damu ya uchakalikaji huwa tunakutana na 'mazali ya mentali' mengi sana. Sitoelezea ilikuaje hadi nikaenda Paris-France, lakini...
12 Reactions
21 Replies
2K Views
(Kutoka kwa mwandishi wa stori za kusisimua zilizowahi kuchapishwa hapa JF za Taxi; Kizungumkuti!; Laiti Ningejua!; Hekaheka!; Hadi Lini! na nyinginezo) Na Bishop Hiluka 0685 666964 |...
14 Reactions
1K Replies
124K Views
India ni nchi yenye utatibu wa kuwa na sherehe za kuvutia zinazosherehekea utofauti wake uliopambwa na utajiri wa kitamaduni. Rann Utsav eneo la Kutch katika mkoa wa Gujarat bila shaka ni...
0 Reactions
3 Replies
385 Views
Habarin wanajamii mm nasumbuliwa na kitu kama acid kooni unakuwa unahisi kama kitu kimekukwama Nishaenda hospitalin kama mara 6 wanashia kunipa dawa tu, kuna muda walishauri nipime madonda ya...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Kama mnavyojua tena Koffi Olomide akiwa na kundi lake la Quarter Latin amefanikiwa kutoa album nyingi na nzuri, leo nataka tujue kizazi kipi kwa kofi kilikuwa bora na kilimng'arisha sana kofi. I...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Generation Z ni kizazi kisichotaka mambo mengi kwenye maisha, mfano nimekutana na hiki kipande cha mchekeshaji Chard Talent akiweza kuimba kwenye beat iliyopigwa kwa kutumia Guitar na msanii Hamis...
0 Reactions
0 Replies
355 Views
Kwa wale wa kizazi cha kabla ya Y2K watakumbuka miaka ya 90 hadi mwanzoni mwa 2k kulikuwa na nyimbo kali sana za R&B. Kuna baadhi ya nyimbo ukisikiliza zinasisimua mpaka mifupa. Binafsi kuna...
18 Reactions
901 Replies
24K Views
Wadau natafuta series zenye ladha kama hizi; Six Flying Dragon na Gwaggaeto, zenye siasa na mapigano kwa wingi.
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Naona Clouds media wametuma wawakilishi wao kwenda Rwanda Kigali kwenye usiku wa tuzo za Trace Music Awards Festival zinazofanyika hii leo. Clouds media kupitia team XXL naona wameshikilia sana...
2 Reactions
10 Replies
693 Views
hey buddies Nimeona reviews na comments mbalimbali kuhusu genre za movies(action,thriller,horrors et),.lakini sijapata wadau wa movie za psychological thrillers, movie za psychiatric na asylum...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
RIWAYA…..THE MAGIC RING ( 01 ) MTUNZI….. HUSSEIN O. MOLITO TRANSLATION….. GIFT KIPAPA Upepo mkali ulioambatana na radi huku rangi ya mawingu ikizidi kuwa nyeusi . muwako na muungurumo mkali...
3 Reactions
28 Replies
7K Views
Huyu msanii wa kike anajua sana kuimba kuliko wasanii karibia walio juu kwenye chart za mziki Tanzania. Natumai atapata push ya kutosha kwenye industry ili aweze kufikia level anayostahili...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Mtunzi Nyemo Chilongani Sehemu ya 01 Ukimya ulitawala ndani ya Jiji la Dar es Salaam, yale magari yaliyokuwa yakipita kwa kasi katika barabara nyingi jiji humu yalikata kabisa. Watu wengi...
22 Reactions
590 Replies
107K Views
Kwanza kabisa mwanzo wa yote wacha niweke msimamo wangu kuwa mimi sio mtu wa dini yoyote(sina dini). Turudi kwenye dhumuni la uzi huu ambalo ni kuwapa pongezi zao Seventh Day Adventist(SDA) kwa...
28 Reactions
164 Replies
11K Views
Inahusu mtu na mumewe walikuwa wanafanya biashara ya kuuza nyama za ng'ombe sasa walikuwa kama na mikosi hivii unajua kwa nini nyama zilikuwa azitoki yaani aziuziki zikibaki wakimpa mbwa wao...
9 Reactions
39 Replies
2K Views
Riwaya: Anga ya Washenzi Imeandikwa na Gilbert Evarist Mushi Phone: 0765824715. Msimu wa Kwanza, Sehemu ya 01 SURA YA KWANZA Jumatatu Tar 07/04/2022, Saa 04:00 Asubuhi. Hali ya hewa ilikuwa...
7 Reactions
104 Replies
18K Views
Hatimaye wasanii wanowania tuzo za muziki za Kilimanjaro(KILI MUSIC AWARD )wametajwa MWIMBAJI BORA WA KIKE VUMILIA LADY JAYDEE MWASITI KEISHA ISHA RAMADHANI MWIMBAJI BORA WA KIUME...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Habari wadau, kila kukicha wasanii wa bongo fleva wanaongezeka lakini hakuna cha maana wanachoimba zaidi ya kukopiana nyimbo, hebu tujikumbushe nyimbo za Bongo Fleva zilizotamba kipindi hiko. Mimi...
7 Reactions
672 Replies
481K Views
Kama hauja itazama itafute unakosa mambo mengi sana ina muhusu bwana mdogo edi mora ambaye alikuwa maskini choka mbaya sana hadi kukimbiwa na mkewe baadae anakuja kukutana na shemeji yake ana mpa...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Back
Top Bottom