Zamani hip hop ndiyo ilidominate charts maredioni mpaka mitaani...enzi za kina prof j, Afande sele, Ngwea nk.
Leo hii amapiano, Bongofleva (copy za kinaijeria) na singeli ndio zinadominate...
Katika post iliyowekwa twitter (X) na msanii ambae pia ni mkurugenzi wa Wasafi media na wasafibet, Diamond Platnumz ameonesha kuwa katikati ya November atatambulisha msanii mpya wa mziki wa kizazi...
Ni aibu kwa msanii mkubwa kama Ally Kiba .... kupata nafasi ya kufanya show ya tukio kubwa kama hili la AFL akashindwa kuandaa wimbo maalum kuhusu tukio .... badala yake anaunga unga na nyimbo...
Ni simulizi inayohusu familia, mapenzi, kazi na safari ya maisha kwa ujumla.
Ungana na mimi katika simulizi hii…..
SEHEMU YA KWANZA
TANZANIA
1995
“Pushhhhhh!!!!!”
“Mrs Hernad jitahidi sukuma...
Sehemu ya Kwanza.
Ilikuwa ni taarifa mbaya, iliyoshtua ambayo ilianza kwa kusikika katika sehemu mbalimbali jijini Las Vegas nchini Marekani kabla ya kuwafikia polisi. Kila aliyezisikia taarifa...
Nyota ya mkali wa Bongo Flava, Ali Saleh au Alikiba imeendelea kung'ara kwenye soka baada ya wi
mbo wake wa Huku kutumiwa mazoezini na klabu ya Liverpool ya Uingereza.
Hii ni siku chache baada...
Wakuu ninashangazwa na kinachoendelea kwenye kinachoitwa Wasafi festival. Ikumbukwe hili ni onyesho la muziki linaloendelea mikoa mbalimbali. Kuna jambo limejitokeza ambalo mimi limenishangaza...
MISS MY DAWGS 🔥
Lil Wayne and YG
Man, I miss my dawgs
The ones I pick up for, ain't never missed a call
Plotting to get it popping, we had plans to get it all
Wishing you was here, dawg, to...
Rigobert Bamundele (28 Agosti 1955 - 26 Oktoba 2023), maarufu kama Rigo Star, alikuwa mpiga gitaa na mtunzi wa soukous kutoka Kongo. Alicheza na makundi kadhaa maarufu ya soukous na muziki wa...
Habari wanajamvi
Naomba mnisaidie kwa wale wataalam wa Series (tamthilia) wanijuze series gani kali ( kuna visa, mikasa, ngumi, mapenzi, usaliti, visasi, visa mafunzo) isiyochosha wala kukinai ...
Kuelekea michezo wa marudiano wa hatua ya robo fainali ya kombe la Afrika (AFL) kesho kati ya Simba SC dhidi ya wenyeji Al Ahly, katika dimba la Cairo imebainika kuwa sheria ya goli la ugenini sio...
Wakubwa nakuja tena kwenu kwa mara ya nne,naomba mtu anayejua mahala nakoweza kupata tamthiliya ya SIRI YA MTUNGI ikiwa imekamilika.
Youtube kuna episodes chache tu.
Kenya wameanza hizi Mambo kitambo , huu wimbo maarufu wa malaika asili yake ulitungwa na mtanzania Adam Salim Ila Kuna mkenya enzi hizo bwana fadhili William anadai Ni wake c kweli, hii kiswahili...
Tuambie list ya Bongo fleva kuanzia 2010 kushika chini unazozikubali.
Lady jaydee machozi na Damu.
Mwanafa Yalaiti
Diamond platnumz kamwambie.
Niambie wewe?
Nimeweka nyimbo 4 za wapiga solo tofauti kwahiyo unaweza kudownload kusikiliza na kuamua kwako nani mkali.
1. Dally Kimoko
2. Diblo Dibala
3. Nene Tchakou
4. Saladin
Twende kazi
Habari wana jamvi?
Kama kichwa kinavyojieleza nimeanzisha thread hii ili itusaidie sisi kujua je hizi ndoto zinatofautiana au sawa kwa watu sawa au wanaoishi maeneo tofauti lakini zinakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.