TAARIFA KWA UMMA
KUANZA KWA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA KAMATI YA KITAIFA YA TUZO ZA MUZIKI TANZANIA (TMA)
Baraza la Sanaa la Taifa linapenda kuufahamisha umma wa Watanzania na wadau wote wa...
Mwenye wimbo wa mwanamke hulka full ulioimbwa na Mwanahawa Ally anitumie.
Binafsi nimeutafuta bila mafanikio, ambao ninao unaishia dakika 13:53.
Ambao anao uliokamilika autume.
Sebene lake...
Habarini za Muda Huu
Nimeona Tangazo la Kutafuta Hawa Bongo Star Search Nikabaki Nashangaa wanatafuta Comedian au Nini?
Yaani Watu wanaoonyeshwa Kwenye Tangazo ni Wachekeshaji na Watu wanashindwa...
Kupitia hapa leo naomba tuangazie bifu 30 Kali zaidi kuwahi kuwakumba wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya nchini, kiasi cha kugonganisha vichwa vya wadau wa muziki na pengine kwa kiasi...
WIMBO unaitwa Juicy. Mali ya Notorious BIG. Ni release ya kwanza, albamu ya kwanza, Ready to Die.
Intro; Biggie anasema:
"Albamu hii ni salamu kwa walimu wote waliosema sitofanikiwa.
Ni kwa wote...
Unaanzia since primary hadi chuoni mpaka nimepata ajira ya TAMISEMI nikiwa Kama Tabibu Daraja la II. Kwa ufupi nimemaliza chuo mwaka jana 2022 December, ila mwaka huu nimepata ajira.
Vijana kuna...
Nisikuchoshe na usinichoshe,tusichoshane!
Aiseee leo nimekumbuka vituko vya miaka ya nyuma wakati nasoma shule ya msingi pale Rebu!.
Ni miaka mingi nimepotezana na rafiki yangu kipenzi wa miaka...
Diamond Platnumz amefanikiwa kushinda tuzo ya the Best African Act Award katika sherehe ya utoaji tuzo hizo ya (the 2023 MTV EMAs).
Amekuwa msanii wa kwanza wa Afrika na Africa mashariki kushinda...
English series
1. Game of thrones
2. Prison break
3. Breaking bad
4. Blindspot
Korean Drama
1. Jumong
2. A man called god
Spanish series
1. Money heist
Indian movies
1. Movie yoyote ambayo...
Kinywaji cha Pepsi kinadaiwa kutamba sokoni na kutishia market share ya mtani wake wa jadi Coca.
Derby hii inadhaniwa unywaji wa Pepsi kwa kasi ya mwanga umekolezwa na Mondi kui-brand...
Based on a true story.
CHAPTER 1
Zamani kidogo kipindi iko nipo A - level form 5 naelekea form six ile likizo kubwa nilienda kwa Mama likizo mkoa X.
Mama anaishi mkoa X ila mimi naishi na dada...
An injured, unconscious man washes ashore in a small French town. As he recovers, it becomes quite clear, someone is trying to kill him.
Nimeanza kurudia kuangalia upya, angalia nami kwa...
Kama unafuatilia muziki kwa umakini utabaini kwamba Bongo hamna music chart ya kueleweka, the likes of Billboard.
Hapa Bongo kila kituo kina charts zake. Clouds ina Clouds FM top 30, EA Radio ina...
Prison Break kurudi bila Michael Scofield na Lincoln Burrows.
Kulingana na Radio Times, sio Dominic Purcell wala Wentworth Miller wanaotarajiwa kurejea.
Mfululizo huu unaripotiwa kuandikwa na...
Sehemu ya 1
Ninaitwa Kapeli ni mtoto wa sita kati ya watoto saba familia yetu ni ya kimasikini kama waadhirika wengine wa vita nchini kongo
siku nyingine tungepitisha siku tatu bila kugusa...
https://youtu.be/JG0FZOO9OdE?si=Xt3nJH9GWXxKPUmM
https://youtu.be/rJWdfDPZ9Ck?si=HhcCRZ6t-0udTwrU
Marafiki ni watu wanafiki wengi wao wanakuja muda wa raha tu.
Kama wewe ni Mpenzi wa Series za Kijasusi na Kigaidi, utakubaliana na mimi kwamba Series ya The Girl From Oslo ni moja ya Series kali sana. Inagusa nyanja ya Kijasusi, kiintelijensia na Kigaidi...
Natafuta Dj alopiga nyimbo Kali za kitambo, iwe Bongo fleva za Kongo au za kibongo za wazee was zamani. Nahitaji kwenye platform ya boomplay au youtube ila ziwe audio. Msaada jamani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.