Jana nilikuwa nasikiliza kituo kimoja cha radio hapa Arusha nikamsikia lema anasema mkuu wa mkoa ni mjinga asifikiri Arusha ni Bagamoyo vipi wana jf imekaaje hii?
Monday, November 14, 2011 8:35 AM
Makahaba 14 wa nchini Malawi ambao walikamatwa na polisi na kulazimishwa kupimwa ukimwi na kugundulika wote wameathirika na ugonjwa...
Maandamano yajayo tusiwaachie wamachinga na wapiga debe kwani kila maandamano yanapoitishwa machinga na wapiga debe hujitokeza kwa wingi na wasomi kama maprof, Dk,
Phd huwa watazamaji tu. Sasa...
Mwanasiasa mashuhuri anayegombea tiketi ya urais ya chama cha Republicans nchini Marekani, amekanusha madai mapya kuwa alijaribu kumlazimisha mwanamke mmoja kufanya mapenzi naye...
Igp MWEMA kada wa chama cha mapinduzi,tamko lako linamuhusu Nani JKT AU CHADEMA.
Kikundi ambacho ungekipga mkwara huo Ni Police wako ndo wavunjifu wa Amani Hapa TZ.
Pamoja na CCM kuwatumia...
Mbunge wa Jimbo La Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu km SUGU, Ametoa taarifa kwamba:-
"MBEYA HALI NI SHWARI WANANCHI WANAENDELEA NA SHUGHULI
ZAO KAMA KAWAIDA...NA WANANCHI
WOTE 386 WALIOKUWA...
Wana JF
Natambua kwamba watanzania tunamtambua Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
kama baba wa Taifa letu kutoka na key role aliyoiplay katika harakati na hatimaye
watanzania kupata uhuru kutoka...
Taarifa: Mbeya hali ni shwari wananchi wanaendelea na shughuli zao kama kawaida...na wananchi wote 386 waliokuwa wanashikiliwa na jeshi la polisi sasa wako huru,ambapo kati yao 34 wameachiwa kwa...
Tanzanian taxpayers are set to pay a Lebanese aviation company a total of Sh22.64billion ($12.58 million) for service that wasnt delivered, The Guardian on Sunday can reveal today.
The amount...
Hali ni mbaya CRDB kwa kushindwa kuwapa wateja wao ATM kadi zao kwa muda wa wiki tatu kama wanavyowaelekeza
Kwa sasa nina listi ndefu ya wateja wa CRDB ambao wameshindwa kupata ATM card zao kati...
From PETER TEMBA in Moshi, 13th November 2011 @ 11:20, Total Comments: 0, Hits: 250
KILIMANJARO Christian Medical University College (KCMU) in Moshi will get a 130 million US dollars (about...
Ndugu wana JF, ulinzi shirikishi una manufaa mengi kwa jamii hasa kuwalinda wananchi na mali zao na kuwafanya waishi kwa amani. Hata hivyo, ulinzi shirikishi ukitumiwa vibaya utazaa kura...
Huyu Kandoro yeye ndo Mwiba wa kutengeneza fitina za wahangaikaji waliojiajiri kwa nguvu zao wenyewe.Yeye kwa sifa na sera ya safisha jiji basi ndo Kuwaumiza wengine.
We kandoro unamatatizo gan?
Jeshi la polis wakishirikiana na askari wasaidizi wa chuo kikuuu cha dar es salaam wameendelea na operesheni kamatakamata na hivi leo majira ya saa 4 asubuhi kiijana mmoja anaywjulikana kwa jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.