wakuu kama kunge kuwa na Tuzo ya mpambanaji wa mwaka hasa kipindi hiki tunapoenda kumaliza mwaka basi mimi ningependekeza hao hapo juu wa pewe kila mmoja.Nianze na Saed kubenea ni mwandishi mwenye...
kuna hamishahamisha inaendeleo huko ngaramtoni, wananchi wamegoma kupisha eneo ambalo hospital isiyoweza kupima hata maralia inataka kujengwa ni ya aga khan..polisi imebidi waongeze nguvu kutoka...
11/11/11 in pictures: an auspicious day around the world
Twin babies born at at a hospital in Ahmedabad. The girl (left) was born at 11:11:11am on 11/11/11, and the boy (right) at...
DAKTARI CHUNYA KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA KUKATA MGUU WA MGONJWA NA KUUTOROSHA
WAZIRI WA WIZARA YA AFYA DR.HAJI MPONDA
HOSPITALI ya wilaya ya Chunya mkoani Mbeya imeingia lawamani kwa...
hi serikali ya Kilawa na wenzake ni majuha sana yani Mpaka leo hawajawatoa wenzao 46 akati hawana makosa na wameshkwa ndan ya chuo. wadau kilawa na wenzake wapigwe dwn
Ni mara chache sana kwangu kuangalia mijadala ya bunge letu 'tukufu' kupitia tv. Hata zile mara chache ninapoangalia
bunge nikikutana na wabunge hawa lazima nibadilishe channel:
Magreth...
Mjusi Kafiri ana tabia ya kukaa kwenye jiwe na/au kupigapiga kichwa chake juu na chini. Kwa kawaida ni muoga mno kwa binadamu. Ila ukimfukuza hadi akachoka uoga wake huisha na kugeuka na kuanza...
Napenda kuchukua fursa hii kuwataka UDOSO,kutoa Tamko kabla ya j5,hatima ya Wanafunzi 511,waliosimamishwa Masomo Udom.
Nakutambua Rais wa UDOSO hata kama ni Wewe ni msichana Onyesha unaweza.
I recommend that the ruling party either changes its name to make it no longer reflective of nothing (since no revolution/mapinduzi is on record as being behind its birth back in 1977) or retain...
Tulipo taka kuandamana kupinga malipo kwa Dowans mlitupinga kwa kisingizio cha tishio la kushambuliwa na Al Shabab.
Siku ya mechi ya Simba na Yanga mlikuwepo wengi tu pale uwanja wa Taifa.
Sasa...
Hivi kwanini wanasiasa uwa wanaamini kuwa hoja zao ni za ukweli kuliko za watu wengine.
Hebu kumbuka selina kombani aliposema hakuna haja ya katiba mpya iliyopo inatosha. Alikua sahihi kwel?
Kumetokea mapambano makali muda huu na yangali yakiendelea. Mapambano hayo ni kati ya askari wa JWTZ na Polisi.
Mapigano hayo yalianza baada ya kusemekana kuwa wanajeshi walikuwa wanapiga raia...
Wakuu leo nimepata kusikia kituo kimoja cha redio kikitangaza kuchangia damu mnazi mmoja kwaajili ya akiba kwa wagonjwa na wagonjwa huwa wanapewa bure pindi wanapohitaji. Naomba kujua kama kuna...
Ndugu zangu nasikia bado vurugu zinaendelea tena huko mbeya.tafathali mwenye talifa zaidi atujuze.
KWA MSAADA WA EMT wa JF:
Mkuu wa Mkoa Abas Kandoro akiwa na waandishi wa habari muda mfupi...
10. ASIS Australia
FORMED13 May 1952
HEADQUARTERSCanberra, Australian Capital Territory, Australia
ANNUAL BUDGET$162.5m AUD (2007)
MINISTER RESPONSIBLEThe Hon. Stephen Smith MP, Minister...
hi wana JF, Please vote for... kesho wanatangaza washindi
mpo nimeangalia design za swahili fashion na mtu anayejituma kujifunza zaidi na kuweka muda na kutumia mengi ili ajue nini zaidi...
Vurugu zilizofanyika jana na mapema leo zimesababisha watu 235 wakamatwe..Mkurugenzi asema chanzo sio Wamachinga kama habari zinayosambazwa, ila ni kikundi cha watu wametumwa na kushawishiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.