Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hivi vyandarua vya msaada vinavyopunguza nguvu za kiume, nimegundua ni mbinu ya kupunguza ama kuondoa marijali Tanzania na Africa, ili lengo la Cameroun la kuwahalalisha wanaume waolewe litimie...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Closed
WATANZANIA waliopo ndani na nje ya nchi wametakiwa kuonesha uzalendo na kushirikiana kwa pamoja kuupigia kura Mlima Kilimanjaro ili kuhakikisha unashinda na kuwa moja ya maajabu mapya saba ya...
2 Reactions
227 Replies
18K Views
Leo mmetangaza ofa, asanteni ila nimepata problem ya kutuma sms, hakuna inayotoka! Na ni lazima nitume sms hizo. Kweli nimekua disappointed sana na hawa viumbe! Nimeamua kutafuta line yangu ya...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wana jf mnaonaje mwenendo wa utendaji kazi wa serikali?Mimi binafsi naona kuna ubaguzi mkubwa sana kwa baadhi ya mikoa toka kupata uhuru,kwa mfano kuna mikoa kama ruvuma hakuna chuo kikuu hata...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
-WAKUU KWA KWELI MAANDAMANO NA VURUGU ZINAZO FANYWA NA VIJA MATHALANI KULE MBEYA NI HAKI KABISA WAFANYE. LEO NILIINGIA KWENYE HOTEL MOJA YA NAURA SPRING ILIYOKA MITAA YA SANAWARI ARUSHA, BARABARA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jana mkuu wa mkoa alishuhudia live jinsi jengo la ofisi ya mkuu wa wilaya mpya ya Uyui lilivyochaa kwa kipindi kifupi tu tangu lianze kutumika. Kiukweli kuta zina nyufa na milango ipo hoi kiasi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sat, Nov 12th, 2011 Sat, Nov 12th, 2011| Tanzania Kinondoni legislator Iddi Azan Kinondoni legislator Idd Azan (CCM) has advised the government to make a quick research on the efficacy of...
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Nimesoma makala mbili za Nyaronyo Kicheere kwenye mwanahalisi zilinivutia sana, Badala ya kulalamika amewataka waislam kutumia fursa zilizopo kujiendeleza na amewataka Waislamu kuwa kama wenzao...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau risasi na mabomu yanarindima mwanjelwa mbeya kati ya polisi na vijana. Barabara ya kibiashara ilifungwa. Ni hatari
0 Reactions
226 Replies
24K Views
Panic as Maasai morans raid school for ‘wives' They struck at midday, taking the school authorities by surprise. Clad in red shukas (sashes) and red ochre, their swords blazing in the...
0 Reactions
1 Replies
988 Views
Wakati natoka kibaruani jioni hii,mara ikapita gari la matangazo inayotokea upande wa magharibi yaani toka Sakina inakuja kuelekea Mianzini ikitangaza ujio wa JK jumamosi kama tajwa hapo juu...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Matumizi ya nguvu katika mgomo Chuo Kikuu DSM jana, 11.11.11 Poleni wanafunzi na jumuiya ya Chuo Kikuu cha DSM (UDSM), ni aibu kwamba mpaka mgomo na mabomu ndio serikali ichukue hatua kwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Watu tisa waliouawa leo wako kwenye mochwari ya Rufaa. Polisi mpaka muda huu wamekaa kimya wakati ni wao waliowaua kwa risasi. Nimezipiga maiti hizo picha kwa camera ya simu ndo maana...
0 Reactions
73 Replies
11K Views
· Imekuwa ni kawaida ya askari wa jiji kuvamia na kupora bidhaa za machinga. · Hawazipeleki popote zaidi ya kugawana askari wenyewe. · Masoko yanaungua kila siku na...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Baadh ya askari wamevamia chuoni mzumbe na kupiga wanafunzi, wanafunzi hao walikuwa ndani ya eneo la chuo wakiendelea na disko lao wenyewe lakin ghafla askari walivamia eneo hlo na na kuwataka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwasababu maandamano yetu yamekuwa yakizuiwa na polisi kila tunapokuwa tumewataarifu, nafikiri siku nzuri ya kufanya maandamano hayo iwe tarehe 09.12.2011 kwani siku hiyo kumbukumbu ya Jamhuri...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hapa dar es salaam hali imekuwa tofauti kutokana na vurugu za mbeya. Kwa sasa hivi viazi mviringo vya chips vimeadimika na bidhaa nyingine za mbeya.sababu kubwa ni kwamba hamna magari...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hv serikali huwa inafuatilia malipo wanayopata wafanyakazi/vibarua+haki zao wanazopata kutoka kwa wakandarasi wa kichina au ikisha pata mkandarasi wa bei rahisi inampotezea mfanyishwaji kazi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hv serikali huwa inafuatilia malipo wanayopata wafanyakazi/vibarua+haki zao wanazopata kutoka kwa wakandarasi wa kichina au ikisha pata mkandarasi wa bei rahisi inampotezea mfanyishwaji kazi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nasikia Mbeya hakupitiki mwenye taarifa zaidi atujuze By Edson kule udsm wafanye kama huku mbeya...mpaka sasa hali ni mbaya... Jiji la MBEYA limechafuka,hii ni kutokana na mkuu wa mkoa,ABBAS...
5 Reactions
266 Replies
36K Views
Back
Top Bottom