Jana Tuliona jinsi Mkulukulu alivyosikitishwa na watu wazima Kujisaidia Vichakani, baada ya kulinganisha hali ile na maisha ya nyumbani kwake, akamuagiza mkuu wa bajeti kutenga fungu la kujenga...
..jamani jeshi la marekani linaruhusu ushoga waziwazi.
..wameondoa ile sheria yao ya "dont ask dont tell"
..itakumbukwa kwenye wikileaks, JK na Kapuya, walikuwa wakimpinga Gen.Waitara aliyekuwa...
Nimekuwa nikifuatilia taarifa za habari kwa siku za hivi karibuni, karibia kila siku kwa nama moja au njingine inaonesha kuna tatizo la nishati hiyo. Ninapata mashaka kidogo ninapowaona viongozi...
Mungu awabariki,Napenda nizungumze wazi nionavyo mimi na wenye akili wataniunga mkono kwa hili,Hebu kumbukeni CCM ilitumia mbinu gani kuidhoofisha NCCR, CUF na sasa CHADEMA pindi vinapotokea kuwa...
wanajamvi wenzangu, hapa tzie tunayo mifuko kadhaa ya hifadhi za jamii nssf ikiwa mojawapo. Nawapongeza sana wafanyakazi mpaka mkurugenzi wake kwa weledi wao na kasi yao ya kuwekeza katika nchi...
Wadau wa jf mim nilikuwa na wazo kuwa yaitishwe maandamano ya nch nzima kupinga ushoga tz.
Wana jf waliopo kila mkoa na wilaya wafanye mchakato wakukutana na kuomba kibali cha kufanya maandamano...
John Bwire
gazeti la raia mwema 9 - 15 novemba, 2011
DALILI za wazi zimeanza kujitokeza kwa baadhi ya wanasiasa kuanza kudharau Mahakama. Baadhi yao, wamekuwa wakifanya hivyo kwa sababu za...
Nimesikitishwa sana na tukio la juzi la wakazi wa Arusha kuamua kwenda kukesha uwanja wa NMC unga ltd.
Nilikuwepo uwanjani mpaka saa TANO nikiwatazama watu hawa na nikawaona wanaelewa...
IMETIMIA MIAKA 22 TOKA ALIPOFARIKI BABA YETU MPENDWA MAREHEM JOSEPH JAMES MSOFFE, TULIMPENDA SANA BABA YETU LKN MUNGU ALIMPENDA ZAID. DAIMA TUTAMKUMBUKA KWA UPENDO WAKE KWA FAMILIA YK NA JAMII...
Wakuu JF,
Nimepewa habari na jamaa yangu wa karibu ambae ni mmoja wa viongozi wa juu wa Chadema.
Kaniambia kuwa Chadema wanajipanga kufanya maadamano makubwa nchi nzima kupinga kitendo cha...
Ni mambo ya kushangaza kuwa kushiriki walisema hili ni shindano la bure lakini cha kushangaza sisi wananchi wa hali ya chini tunaendelea kukatwa kiasi cha Tshs. 550 kila siku hata kama hujatuma...
Poleni na majukum ndugu zangu za ujenzi wa taifa hili ingawa walio wachache wametumia mwanya walionao kubomoa kwa kadiri wanavyoweza, ni kazi kubwa sana mbele yetu na lazima tuwe na moyo wa chuma...
Imeonekana Zitto Kabwe kuwa brain nyuma ya chama hiki kikubwa cha siasa ambacho ndicho kinacho unda upinzani halali katika nchi ya Tanzania. Hii ikitanabaisha ni tofauti na chama cha CUF ambao...
CC Utadhani bongo peke yake lakini kwingineko duniani kumbe hali inatisha? DHARAVI SLUM INAKADIRIWA KUWA NI SLUM KUBWA KUPITA ZOTE DUNIANI WAKATI,KIBERA SLUM INAONEKANA KUWA NI SLUM KUBWA KUPITA...
Kwa wafanya tadhimini bado tunaendelea kuchambua mambo na kweli suala la ukosefu wa elimu ya uraia na udini ndicho chanzo kukuu cha CHADEMA kushindwa uchaguzi mkuu uliopita. Wemgi waliowaislamu...
sikutegemea kwamba mtu kama Ansbert Ngurumo angaweza kuandika habari za kumchafua Rais Kikwete na kubeza yote yaliyofanywa na serikali ya chama cha mapinduzi
tutakumbuka baada ya uchaguzi mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.