Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 24th February 2011 @ 08:20
MTOTO wa aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Tatu Ntimizi, Said Ntimizi amepandishwa kizimbani...
Wadau za leo, katika kuhangaika nimebahatika kukusanya kiasi na sasa nataka na mimi nipumzike kutembea kwa miguu safari ndefu za mjini. Kwa ufupi nataka kununua mkoko. Nimetembelea website za...
AWALAUMU WATU WANAOPINGA MALIPO YA DOWANS, ATAKA MAHAKAMA ZIHESHIMIWE
Raymond Kaminyoge
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema haoni nia ya dhati kwa viongozi wa ngazi za juu wa...
Jamii ya sasa inakabiliwa na changamoto nyingi,mtaongea mengi lakini....Amin nakuambieni,hakuna kitakachomsumbua mwanadamu wa leo kama tumbo lake".Asikudanganye mtu,tumbo lina...
Umeme wazidi kumkaanga Ngeleja
Saturday, 05 November 2011 15:14
Waandishi Wetu
Mwananchi
UJUMBE wa Serikali ulioongozwa na Waziri wa Nishati na Madini...
Yanayojilia hoja za UK kupunguza mkopo tuliozoeshwa kuita msaada wa bajeti kwa Tanzania si ushoga, bali ni ubakaji wa demokrasia nchini. Viongozi waandamizi wa serikali wamekomalia kuongelea...
For the second time in two years WikiLeaks announced it was suspending publication of secret documents due to financial difficulties.
The site has already failed to make good on months-old...
Foreign Affairs and International Cooperation minister Bernard Membe is expecting to attend a meeting scheduled for November 20 in Nairobi, Kenya, to discuss how to help Kenyans and Somalis in the...
Dezidellius patrick amefungua kesi 79/2011 mahakama kuu dhidi ya askofu kakobe kwa kutumia katiba ya zamani ambayo imesha futwa.
Katiba hiyo ilifutwa kufuatia wadhamini kufariki na...
Wana JF, Juzi nilistuka sana kusikia Redioni tangazo la Mganga wa kienyeji llililokuwa linatoa taarifa kuwa tiba zifuatazo zinapatikana1. Kupanda cheo kazini 2. Kuvuta wateja( mvuto wa biashara)...
Habari zenu wakuu ,
arusha as my reference point
kwanza nianze kwa kupongeza harakati nazo ziona ndani ya mkoa huu wa arusha kwa kuonekana jinsi walivyo na muitiko chanya kwenye madiliko hasa...
Daa mmesikia kutoka kwa Membe Mzee wa Kaya alikuwa analetewa balozi amkaribishe sasa akaona mume na mume sijui ni mume na mke lakini wote ni mashoga akasema "toba yarabi" nakuto wakubali mpaka...
Nimetafakari kwa muda nimegundua yafuatayo. Kwamba maendeleo ya kweli kwa TZ yetu kamwe hayawezi kuja ndani ya utawala wa sasa wa CCM. Wengi tunajilinganisha na jirani zetu Rwanda, Kenya, Uganda...
Nilikuwa nasoma hii Habari ya Rais wa Zambia Michael Satta Kumteua Mwamba kuwa PS ila nguvu ya umma imemkataa! Dalili kama hizi nafikiri muda siyo mrefu tutaanza kuziona hapa kwetu hii mambo ya...
George Papandreou, Greece's prime minister, has survived a confidence vote, calming a revolt in his ruling Socialist party with an emotional pledge to step aside if need be and seek a cross-party...
Barua ya wazi kwa rais
Sisi wafanyakazi 12 wa Bodi ya TumbakuTanzania (TTB) kada ya udereva na wahudumu, tunapenda kuwasilisha kwako kero yauchakachuliwaji wa mishahara yetu uliofanya kati ya Bodi...
Jengo la Mackay House lililopo katikati ya mji wa Dodoma ni moja ya majengo makongwe kabisa ya mji huu. Jengo hili linamilikiwa na Diocese of Central Tanganyika. Kwa sasa jengo hili kwa nje ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.