Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Katika kuhangaikia maisha aliyosema rais wetu naniii kwa kila mtanzania vijana wawili wamenyakwa jioni hii wakitoeka oman na oman air wakituhumiwa kubeba madawa ya kulevya na muda huu...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamii forum wenzangu,najua kila mmoja wetu ana mtazamo wake.Tuweke itikadai zote pembeni,bado utabaki MTZ na mzalendo.Sasa,imetokea kama bahati Uso kwa Uso na Rais.Labda tu amekuita au...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Jamani mwenzenu mara tatu nimenunua kuku wameoza shoprite ni wale ambao wanakuwa wamekaangwa. Pia majuzi nimeenda kununua Keki zile kama za sherehe za watoto nikashangaa yule mama ananifungia keki...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Jana kulikuwa na mazishi ya mtoto mdogo huko Ifakara maeneo ya Maendeleo. Awali mtoto huyo alipotea nyumbani kwa wazazi wake kwa takriban siku mbili. baadae alipatikana kando ya mto Lumemo akiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna taarifa za chini kwa chini kwamba wengi wa wakaazi wa Pwani wanaishi na kujenga kwenye aridhi ambayo tayari wawekezaji wameshakabidhiwa. Kwa mfano, bwana mmoja hivi karibuni alivamiwa katika...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
MKE wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, Mama Awena Sanani, ameitaka jamii ya Wazanzibari kuacha kuwanyooshea vidole vijana waliojiingiza katika matumizi ya dawa za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama nilisikia vizuri nchi ya Tanzania imetoa tamko la kuunga mkono uamuzi wa serikali ya Kenya kuingia Somalia ili kuwasambaratisha Al Shabab, hivi naomba kuuliza kulikuwa na manufaa yoyote kwa...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
WANAFUNZI WAWILI WA KIDATO CHA KWANZA WAACHA MASOMO NA KUAMUA KUOANA. Mkuu wa mkoa wa Mbeya mh. Abbas Kandoro ***** Na mwandishi wetu. Wanafunzi wawili wa kidato cha kwanza katika Shule...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau najaribu kutafakari hii slogan ya mzee Pinda ya kilimo Kwanza, kila siku gharama za chakula zinapanda kila siku zinapanda mfn:- Sukari imetoka 1600 - 2500/=Tshs, ,mchele toka 1000 -...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nijambo la kusikitisha kuona wanafunzi wanakosa haki yao ya kufundishwa eti ni kwa sababu ya chuo kimeshindwa kuagiza malighafi ya kufundishia kwa wakati, hadi hii leo wanafunzi hawajafundishwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Alhamis iliyopita nilimpeleka mtoto akapate chanjo kwenye hospital ya pale ukonga magereza,wakasema ijumaa na j3 ndiyo wanatoa,nikaona niende j3 jana,waka2ambia dawa za chanjo hakuna mpaka wiki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
haya,tujiandae na kila jambo juu ya misaada tuipokeayo kutoka nchi wahisani kuwa shoga hutaki nakata misaada tembea uchi hutaki nakata misaada uza madini yako hutaki nakata misaada tumia...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
kwanini tunakubali kutumia dalla na kuzika shiringi yetu. afu eti tasherekea miaka 50 ya uhuru. uchumi wetu unaelekea wpi na hii miaka 50
0 Reactions
1 Replies
923 Views
Wakuu Naomba kuuliza Ni lini itakuwa sikukuu ya Eid al hadji kwa hapa kwetu TZ kwa mujibu wa Bakwata??? Najua wale wengine itakuwa Jumapili
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tue Nov 1, 2011 10:33am GMT By Fumbuka Ng'wanakilala DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania's coffee prices rose at last week's auction, with a shortage of high-quality arabica beans in Colombia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana Jamvi, Japo nilipata SMS nyingi kwa October lakini hii kwangu nimeiona ndio the best, wewe yako ni ipi? Ina maana gani? A Pencilmaker taught the Pencils five (5) Important Lessons; 1...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana JF salaam Siku zote huwa ninawaza nafikiri pengine ni sahihi panahitaji utafiti tu mwepesi kupata takwimu muhimu. Inasemekana kuwa kadri jinsi polisi anavyokuwa katili (inhuman) na ndivyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapo wengi walio chochea watu kuziacha hosipitali na kukimbilia kwa mganga wa kienyeji tena wkionywa kwa nguvu kubwa na viongozi wa kilokle na kiisilam. Wengine tulifikia mahali pa kuwatukana kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Naomba kwa wale wenye ufahamu wanisaidie hili swali langu muhimu sana. JE KATIBA YETU YA TANZANIA INASEMAJE KUHUSU NAFASI NA MAJUKUMU YA FAMILIA YA RAIS WA NCHI YETU katika shughuli za...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jirani zetu wa rwanda wameshajenga nyumba za kisasa kwa raia wake ndani ya mwaka 1 kwa asilimia 85.lengo ni kuondoa kabisa nyumba za nyasi ktk nchi yao.Huwezi amini hapo bagamoyo kuna shule ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom