Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakazi wa Songea hawaamini macho na masikio yao baada ya SAUT kufungua chuo kikuu katika mji huo na wa Bukoba sasa hawatafunga safari ndeeefuuu tena kufuata elimu dar na kwingineko kufuata chuo...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Nadhani umefika muda wa kuongea ukweli na kuacha siasa kutawala mihimili yote ya kiutendaji! Ni jambo la kushangaza sana kuona kila kukicha shilingi inapoteza thamani, kwa wale wenzangu na mimi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika pitapita yangu kule FB nimekutana na ushauri huu wa Mbunge wa Nzega HK kwa Benno Ndulu, governor wa Benki Kuu, je una tija ama Mb huyu anacheza makida? Hamisi Kigwangalla Free advice...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Heshma magreat thnker,leo mchana nkiwa chuon kulitokea mjadala mkubwa sana kuhusu vyama vya siasa,ashukuriwe mungu nilitangaza sera za chadema na nkafanikiwa kushawish vjana karbu wote kuwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanajamvi habari za asubuhi? Kwa masikitiko makubwa,leo ni siku ya 4 wananchi wanaoishi maeneoya mianzini jirani na idara ya maji ya Arusha,hakuna maji safi na salama (MAJI YAMEKATWA).Wananchi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni siku chache tangu majambazi yalipofunga mtaa wa kingugi kata ya mbagala wilaya ya Temeke, leo hii asubuhi majambazi kwa mala nyingine wilayani temeke wamemuuwa kwa risasi Daktari wa hosp ya...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Haya makubwa, maana ya kudai haki inaeleweka, lakini hii ya kumchapa mwalimu mkuu kwa sababu ya kukataa kuvujisha mtihani ni jambo lisilokubalika hata kidogo, na labda siku za nyuma jambo hilo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
************************ MODERATOR'S WARNING: Hii ni scam, usidanganyike ukaibiwa kirahisi! ************************ NDUGU ZANGUNI WAPENDWA KUNA MWANA MWENZETU AMEKUTWA HUKO UK LEO ASBH TUNAOMBA...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
George Kikami | NATION Mr and Mrs Loffler in traditional attire are joined by the community during their traditional Giriama wedding held at Mwangirani Giriama cultural centre in Kilifi Town on...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Ngeleja anasema kuwa wa China washapewa mradi wa kuleta gesi toka songo songo, pia tunaambiwa kuwa hata upanuzi wa airport ya zanzibar kwa sababu pesa zinatoka china bas, contractors na sub...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
nimejiunga na internet banking but naweza kuona balance tu bahama ya activities zote. Nimewapigia mara kibao but hamna kinachochange. Amkeni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
:kiboko anakaa majini lakini anaogopa mvua.mvua ikinyesha akiwa nchi kavu anakimbilia majini.hata mamba pia :tembo na matiti mawili kama binadamu kifuani. ni hayo tu. mia
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MTU anayedaiwa kuwa mgonjwa wa akili amevamia shule ya msingi Kabutaigi wilayani Muleba na kumuua mwanafunzi wa darasa la nne na kisha kuwajeruhi walimu wawili kwa mapanga. Mkuu wa Wilaya hiyo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeelezea "wasiwasi wake" juu ya suala la kuenea kwa silaha nyingi nchini Libya zilizonunuliwa wakati wa utawala wa Kanali Muammar Gaddafi...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Ni siku chache tu zimepita Tangu wana kijiji wa Endamana wilayani Manyara walipo amua kutembeza msako wa boma kwa boma kukamata wapika Gongo,zoezi lilifanikiwa lakini chakusikitisha,jamaa wameamua...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndg zangu wanajf jana niliona polisi wanaponda utaratibu mpya wa kuingiza salary zao kupitia bank ya NMB. Eti wengine wamepata kitambo na wengine mpaka leo hakieleweki na kutrace kujua mshahara...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
haiwezekani mtu unazunguka mji mzima kisa ATM.kama hamuezi kuvitumia virudisheni mlipovitoa sio kutuletea dhiki.kwanini hamzikarabati na kutuwekea hela zetu?hela tunazitafuta kwa shida hata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kama kawaida wawekezaji wanapo ingia nchini wanakuja wakiwa wameinama na ahadi kibao,lakini wakisha kubaliwa matakwa yao wanaanza kutoa makucha yao wakishirikiana na wazawa mwekezaji wa mmea wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa hali ya uchumi ilivyo, kulikuwa na haja ya ku-allocate fund kusherehekea miaka 50 ya taabu,mgao wa umeme usioisha,ufisadi,njaa,ujinga,maradhi ,ukosefu wa ajira n.k ? Kwa nini viongozi wetu...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Just a second, let this not bore you, I wish to make a point! - Wanaforum let us look at this issue of Halloween critically with the aim of doing what morally is right in the light of whom we are...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Back
Top Bottom