Jeshi la polisi la jiji la New York (NYPD) liko katika wakati mgumu sana wa kupambana na makundi ya wahalifu (organized crime) hususan waporaji wa mabenki, wafanya biashara ya madawa ya kulevya na...
habar zenu wanA jamii leo maeneo ya kariakoo,karume,temeke,ilala maeneo ya jiran umeme umekatika leo saa3 hasubuh kutokana na tatizo la kuungua kwa transfoma katika kituo cha sub station cha...
Hii barabara ya Dar lindi mtwara kuna kipande cha kilomita 60 ni kibovu. Imepita sasa takribani miaka 3 toka awekwe mkandarasi wa kutengeneza hicho kipande. cha kshangaza mpaka sasa hiki kipande...
nimekuwa mtumiaji wa huduma katika tigo,voda na airtel lakini nimegundua matatizo makubwa katika kampuni ya tigo na vodacom.
tigo wanachaji gharama kubwa sana kuongea toka tigo kwenda tigo achilia...
Wanachama 25 wa CHADEMA pamoja na wakazi wa Arusha,wameshikiliwa kwenye kituo kikuu cha polisi mjini hapa,habari kutoka ndani ya jeshi la polisi zinasema kuwa wameshikiliwa kutokana na madai...
Wanandgu siku kadhaa zilizopta niliona email ya customer wetu mmoja akidai ameibiwa uk,,nikashtuka na kuhisi anaweza pata msaada kwa waliohuko uk,,bahati nzuri waalikuja watu wana zijuah izi...
Ile habari ya mgomo wa toyo na vifodi arusha umeanza hali ni mbaya wanafunzi wameshindwa kwenda shule,Polisi wanazunguka mji mzima kuzuia uwezekano wa kutokea vurugu, lakini kuna kila hali...
Ki ukweli nimeshangwazwa sana na hii habarihainiingi akilini mabasi yanayotoa roho za watanzania yanaachwa hebu niweke wazi Sumri na Mohamed yamesababisha ajali nyingi sn me nikiwa shahidi mdogo...
Wakazi wa ilala mchikichini ambao wameeamriwa kuhama ndani ya vibanfa vyao vya chumba na sebule walivyokuwa wakiishi kwa zaidi ya miaka 40 wamemtani godbless lema awe mbunge wao ili awatetee kwani...
Mkuu wa Jeshi la Polisi S.A Mwema katika kile kinachoonekana kuendeleza dhana ya polisi jamii sasa ameanzisha post ya "Mkaguzi wa Polisi wa Tarafa". Jumla ya wakaguzi wasaidizi (Assistant...
Ndugu wana Jf
Mimi nashangaa sana tena sana kwa baadhi ya mashirika ya simu hapa Tanzania kutumia hii nafasi ya kuupigia kura mlima kilimanjaro kwa kuwalipiza wananchi kiasi cha shilingi 500 kwa...
hivi hawa ndugu zetu mbona wanaendekeza njaa sana wakiona mtu anaendesha chombo cha moto wanataka kumkamata cjui ni wivu unaowasumbua yani wananuka rushwa tupu utawaona wanakagua kila kitu ili...
hard work will reap benefits,both materially and spiritually,and work will have profound consequences in tz.tukiacha uvivu wa kufanya kazi na kufikiri ndyo dawa pekee ya ubaguz4 wa dina na ukabiwa
jiji la mwanza hapatoshi bunduki mabomu ya machozi yametawala kutokana na vurugu zinazohusishwa na kesi ya waislam na wakristo,maduka yamefungwa mambo hayaendi hapa.wanatakaka mahakama iwakabidhi...
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini (TAKUKURU) asubuhi hii imemfikisha mahakani mkurugenzi mtendaji wa Shule ya sekondari ya EFATHA iliyopo mjini Iringa kwa thumb za rushwa.
Wadau...
Kwa wiki kadhaa sasa kumekuwa na malalamiko kwamba, Gazeti hili limenunuliwa na Mafisadi, wakaendelea kudai kwamba Lowasa hawezi kuandikwa tena. Lakini leo asubuh limetoka na kichwa kisemacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.