Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wajameni! WanaJF wenzangu! Kuna hbr nilizopata majira kidogo iliyokatika ya kwamba jana usiku majira ya saa 4 hapo ktkt ya njia ya toka Morogoro kuja Chalinze kuna ajali ya kusikitisha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika utafiti wangu mfupi nimegundua wakazi wengi wa jiji la Dar es salaam wanachangia kwa kiasi kikubwa nchi hii kutoendelea. Imetokea mara nyingi katika nchi nyingine linapotokea jambo...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
kuna taarifa za mgomo wa wafanyakazi wa kitengo fulani hapa chini kesho hiyo. Mwenye kutaka tuiweke wazi hii naomba tuwasiliane kwa taarifa zaidi ili tukomeshe ufujaji wa mali za umma
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wizara imewasusia kuhamasisha watanzania kupigia kura mlima wakuu wachaga mnasemaje kwenye hilo>?mnakubali wizara na waziri wake wawafanyie hivyo? chezeni wenyewe kwa sababu mnaweza,tunawakubali...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Ni takriban miezi kadhaa sasa wizara na taasisi za serikali zimekuwa zikiteketeza mamilioni ya fedha kwa kile kinachoitwa sherehe za miaka hamsini ya uhuru. Hii ni pamoja na kuandaa mabanda ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tofauti kati ya nchi masikini na nchi tajiri haitokani na umri ambao nchi inayo. Na hilo tunaweza kulitambua kwa kuangalia nchi kama India na Misri. Kwamba zina zaidi ya miaka 2000 tangu kuwepo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Walinzi zana nzito za kivita hazikuweza kumnusuru Gadafi www.youtube.com/watch?v=W0UE4m0b4b0
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jana jioni nikiwa na kazi muhimu umeme umenisumbua sana ile kukatika katika mara kadhaa kwenye majira ya jioni ilikuwa ni kero kubwa. Ilinifanya nikumbuke shida yote hii ilianzia kwenye Richmond...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa nini Jeshi la Polisi linamchunguza kwanza mtuhumiwa kabla ya mtuhumu? Nimeona Polisi wakiwa mstari wa mbele sana kwa kuchunguza mtuhumiwa kwa njia mbalimbali na sijasikia mtuhumu&nbsp...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mambo wana jf? Nlikuwa nafatilia sababu za vita ya walibya na nikajiuliza kwa wizi wa kura wa ccm,(ambao ni sawa na udikteta) kutotoa huduma muhimu kwa raia,haki za raia kupuuzwa,ufisadi na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
nilmetapeliwa na kampuni ya simu ya TIGO katika huduma zake. nimejaribu kuingiza pesa ktk line ya Tigo iliosajiliwa ili kupata huduma ya LIGHT DAY INTERNER kupitia MODEM ya TIGO. nimeingiza Pesa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Imekuwa ni tabia ya wazazi wengi kupima viwango vya shule kwa kuangalia matokeo ya mitihani ya mwisho au wengine kuangalia mtoto mmoja mmoja wanaokutana nao na basi kufikia uamuzi wa kuwahamishia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WAKAZI wa Kijiji cha Chabu wilayani Ileje wanalazimika kutembea umbali wa zaidi ya kilometa 10 kufuata huduma ya afya baada ya kutofunguliwa kwa zahanati waliyoijenga miaka sita iliyopita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Death toll in Turkey quake exceeds 200 Turkish Interior Minister Idris Naim Sahin says the 7.2 magnitude earthquake that hit southeastern Turkey has killed over 200 people while experts...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wa Manchester united mnapaswa kuwa wavumilivu. Wenzenu wa Arsenal walivumilia na sasa mambo ni mazuri. Hata Liverpool nao ni wavumilivu. Najua Manchester a.k.a Mansix mpo kwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
tunashangazwa sana na kitendo cha wizara hiyo kushindwa kuhamasisha watanzania umuhimu wa kupigia kura mlima kilimanjaro, kwa kweli inasikitisha kwa sababu watanzania wengi wameshindwa kujua nini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Live kutoka Nyerere sq Dodoma,Haya matumizi mabaya ya fedha za watanzania na hk KIBATARI CHA UHURU. Karibuni.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeumizwa na kitendo cha serikali kuwabomolea wananchi jumbazao huko dodoma eti kumpisha mwekezaji.Nimemsikia mama mmoja kwenye taarifa ya habari ya ITV akilia baada ya nyumba yake kuvunjwa huku...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Hawa walijaribu kwa nguvu zao zote kuwepo Umoja wa Afrika wa kweli kweli kumbuka yaliyowapata...! 1.0 P. Lumumba -Congo,Kinshasa: Walimuyeyusha kwenye Tindikali 2.0 K.Nkurumah-Ghana,Accra...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mamajusi Choir - Majira ya Jioni - YouTube
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom