Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu nimeona alama nyingi sana kwenye bararabara za Dar ambazo wanataka kuintroduce ili magari yasipite pande hizo. Zinatisha sana! Zimewekwa kila mahali na kama zitatekelezwa hivyo hakutakuwa na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana jf kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV wafanyakazi wa tanesco watangaza maandamano nchi nzima kupinga malipo ya DOWANS je ni uzalendo umefika
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Haiingii akilini kwamba Kenya wanaweza kuingia kwenye vita leo hii? Sidhani kuna any push factor to this extent mpaka wanaamua hivi! Na sidhani kama wana uchumi mzuri kiasi hicho wa kuafanya...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Kuna waraka rasmi umetolewa na serikali kuwaomba Askari polisi wawe wavumillivu kwani mishahara yao itachelewa kutoka hadi kwenye tarehe za katikati za mwezi ujao. Askari polisi niliongea nao...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hii ni aibu ya mwaka!nadhani tanzania tuna ngombe mbuzi wengi kuliko kenya kwa ajili ya ngozi.Cha ajabu wakenya wanakuja kutupa msaada wa viatu vya watoto wa shule wilayani mkinga tanga.na huku...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
UPDATES. Kwa niaba ya familia yake Matwi ametoa shukrani nyingi kwa wote waliofanikisha mazishi ya marehemu baba yake kwa njia moja ama nyingine. Anasema amefarijika sana. Taarifa kutoka kwa...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Wadau, nipo Kwenye chumba cha mahakama arusha ambapo ksi ya maandamano ya arusha inayo wakabili viongozi waandamizi wa CDM inaendelea. Katika Hali isiyo ya kawaida, wakati wakili mkuu wa srikali...
3 Reactions
78 Replies
7K Views
KESI ya kufanya maandamano bila kibali inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na wafuasi wao 19, jana ilianza kusikilizwa huku wafuasi wa chama hicho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KUKOSEKANA kwa uzio katika Shule ya Msingi Nyahanga, wilayani Kahama, kumewapa mwanya wahuni kutumia madarasa ya shule hiyo kama sehemu ya kuvutia bangi na kufanyia mapenzi baada majira ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Maoni ya katuni Tunaambiwa na tumeshuhudia kwamba ile mipaka ya nchi moja moja duniani kwa sasa haifanyi tena kazi. Hii ni kwa sababu maendeleo ya sayansi na tekinolojia ambayo yanasukumwa zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwandishi wetu KAULI za Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, kuhusu tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana nchini, imepokelewa kwa hisia na mitazamo tofauti, huku baadhi wakihoji kuhusu sababu za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Imeandikwa na Hellen Mlacky; Tarehe: 21st October 2011 SERIKALI inatarajia kuongeza Balozi za Tanzania nje ya nchi kutoka 32 hadi 50 ifikapo mwaka 2020 kwa lengo la kuwafikia wawekezaji wengi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
JESHI la Polisi mkoani Iringa limepata msaada wa pikipiki nne kwa ajili ya vituo vyake vidogo vinne vinavyokabiliwa na tatizo la usafiri katika jimbo la Ismani, wilayani Iringa. Vituo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
British firms have been urged by Defence Secretary Philip Hammond to head to Libya to secure contracts for its reconstruction. With the military campaign all but over after the death of Muammar...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The Citizen (Dar es Salaam) Bernard James 18 October 2011 Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) says it would not afford to pay $65 million (nearly Sh110bn) in compensation it has been...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama alikua muumini safi mpaka kufikia hatua ya kujenga misikiti,,kwanini hili jina sio popular? Kama hajawahi kwenda kuhiji, kwanini ali-abandon, nguzo hii muhimu ya uislam? kama alipuuzia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hebu soma hiyo link hapo chini alafu tujadili je simu za blackberry zinapoteza mvuto? Maana hata thamani ya hisa zake inaonekana kushuka kwa sasa,kulinganisha na wakati uliopita. POPOTE TZ...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeikumbuka kasha anayopewa mzee Beny Mkapa, ya kufanya biashara akiwa ikulu, nikakumbuka na kisa cha bi.Siti Mwinyi, na leo hii cha Ridhiwani na mama Salma. Kimsingi tutakubaliana watu wote hawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa sisi wa humu humu huwa tunapata story kuwa Ulaya Nyumba za Ibada zilikosa waumini, zikageuzwa Nyumba za starehe nk. Hapa kwetu leo viwanda tumegeuza sehemu za kufanyia harusi , video shoo ...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wanajf wenzangu,hv hawa bodi ya mkopo mbona wanakosa utu,yani mm mwenzenu nimemaliza 4m6 na nilisajiliwa kwa njia ya nacte(nlsoma pre-entry)nachukua civil engneer,but mpaka leo bodi ya mkopo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom