Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nakumbuka hayati baba wa taifa mwalimu Nyerere aliwahi kueleza kuwa ili tuendelee tunahitaji mambo manne: 1. Ardhi 2. Watu 3. Siasa safi 4. Uongozi bora Swali, kwanini hatuendelei? what's missing?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Watu wasiojulikana wamemkata mkono binti mwenye ulemavu wa ngozi(albino),kisanga hicho kimetokea usiku wa juzi kuamkia jana,inadaiwa kuwa watu hao walitumi jiwe kubwa maarufu kwa jina la...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
KUMEKUA NA MJADALA NA MITAZAMO MBALIMBALI NA HASA BAADHI YA VIONGOZI WA C.C.M KUSHINDWA KUJUA AU KUWA NA TAFASIRI HALISI YA NINI HASA MAANA NA MADHUMUNI YA OEPRATION YA KUJIVUA GAMBA, NINI HASA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
BARAZA la Wakilishi Zanzibar (BLW) limeukataa muswada wa sheria uliohusu maslahi na mafao ya viongozi wakuu wa nchi akiwamo rais na makamu wake baada ya kustaafu. Mwenyekiti wa Kamati ya...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Ni kama wiki ya tatu sasa karibu mtaani kwetu hatuonagi tena hewani channel ya ITV ikiwa hewani tangu kipindi kile ya uchaguzi juzi pale Igunga. Je? Mwenye kujua tatizo anijuze wajameni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Basi la Mohamed Trans lililokuwa linatoka Dar kwenda Bukoba limepinduka eneo la Kyetema kilometa chache kabla ya kufika Bukoba na kusababisha kifo na majeruhi. Kamanda wa kikosi cha usalama...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Hivi majuzi mfanyabiashara mmoja mwenye asili ya kichina hapa Tanzania aliuawa na majambazi na kuporwa kiasi fulani cha fedha! Askari polisi walifanya msako na baada ya siku chache wakafanikiwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Sijui ya jeshini mie - Dk. Mwinyi Na Alfred Lucas - Imechapwa 19 October 2011 WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, hajui “kinachoendelea” eneo la kambi ya jeshi ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
HILI SUALA PIA LIMEKAA KISIASA nimepitia judgement ya dowans,aisee kumbe wanaharakati walio enda kuweka pingamizi pale High Court kupinga malipo yasifanyike sijui hawakusoma kwanza sheria...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hivi TBC wameingia mkataba na Dr Bana?ni mara nyingi sana TBC wanamtumia kama mchambuzi wa mambo ya siasa.ina maana hakuna wasomi wachambuzi wa mambo ya siasa zaidi ya Bana?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kila siku kunatokea mauaji kila kona ya nchi, ufisadi wa mabilioni, yani shida kila kukicha, eti KUNA MNAOJIITA VIJANA TAIFA LA LEO! LEO IPI? MNASHINDWA HATA KUPIGANIA HAKI ZENU MNAKAZI YA...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kATIKA pita pita zangu gafla nakutana na haya maneno kuwa OFISI YA CDA DODOMA INA WAFANYAKAZI WAZEE. sijajua UZEE WAO NI KUZIDI MIAKA 60 bado hawajastaafu. UZEE wao ni kuchapwa na maisha,laana...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Jana nilikuwa pale Hoteli ya Holiday In nikivuta subira foleni ipungue, nikasikia tetesi kuwa mashirika ya ndege ya KLM na Emirates wanafanya mazungumzo na uongozi wa Holiday In ili Crews wao wawe...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Salaam wana JF, Kwa wote wenye mapenzi mema na Tanzania. Lazma tuishinikize serikali kuilipa Dowans mapema, hawa wote wanaojifanya kuipinga Dowans wana maslahi ndani yake. Mwanzoni deni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I am counting down the seconds, Jumamosi nawakaribisheni wooooooote pale Azania Front Cathedral, Bujibuji nitakuwa nafunga ndoa siku hiyo ya tarehe 22/10/11 saa kumi jioni. Asanteni sana.
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Jamani kuna mkopo unatolewa na hazina kwa watumishi ila wao wenyewe wanaita salary advance kwa sababu haina riba, je kuna mtu ana taarifa nao za kina au anaweza kutuweka hata fomu zao ili tujue...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamii Forum Nimejikutana najaribu kutafakuri kuwa kwa siku hizi nyimbo zile zilizokuwa zinatungwa na Majeshi yetu na Band ya Mwenge,JKT na Nyinginezo kwa niaba ya wananchi hakika zilikuwa na...
0 Reactions
9 Replies
13K Views
Habari za wakati kama huu wanajamii wenzngu, natumaini mtakuwa wazima ila mnasumbuliwa kihisia jinsi taifa letu linavyopelekwa na watu tulio waamini. kikibwa leo ni kupenda kujuzwa ni vipi lile...
0 Reactions
1 Replies
957 Views
Hivi Tanzania tunaelekea wapi kiuchumi coz badala ya maisha kuwa bora yana kuwa bora maisha sasa tunaelekea wapi mafuta yakula pia ya kuendeshea injini bei inazidi kupanda bei ya vyakula juu sijui...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom